taja elimu yako........

aah kumbe chitchat bwana, elimu ni darasa la kusubiri maisha yawe mazuri, maana babu aliasa eti maisha ni foleni
 
nimependa yule anaeuza mihogo bunju, amenikumbusha mbali sana, coz siku za mwanzo kufika jijini basi nikatembezwa na braza kidemu chake kilikuwa kinauza mihogo mitaa hiyo, nikatambulishwa na kupewa mihogo full kuigonga, mh cjui usikute ni ww! braza anakupa hi
 
nimependa yule anaeuza mihogo bunju, amenikumbusha mbali sana, coz siku za mwanzo kufika jijini basi nikatembezwa na braza kidemu chake kilikuwa kinauza mihogo mitaa hiyo, nikatambulishwa na kupewa mihogo full kuigonga, mh cjui usikute ni ww! braza anakupa hi

Nimecheka mpaka basi.
 
Nimsarandie wakati kila siku vitatu vinamhusu?
Muulize anavyofurahiaga ikifika saa tatu kamili usiku!

kwani Erickb52 nivifurahie hivyo vitatu Bishanga hana?hivyo viazi viwili vya kukaanga na sosage moja vinifanye nichizike kwako na huku kwa bepari ana viazi viwili fresh na tango vipi kati ya vitatu hivyo ni bora?
 
Mimi Elimu yangu ni Darasa la 4 nilifaulu kuandika tu kutoka kwenye Penseli kwenda kwenye Kalamu ya Bic. CV yangu nillikuwa muuza maji yakikatika wananitwangia wahindi wa magorofa ya Kariakoo kwenye kasimu kangu na wapelekea hii kuandika ndio inaniweka mjini najua na kutype meseji. Ila kazi imeota mabawa mkokoteni wa kukodishwa umepanda bei ila nimepiga hesabu za kichwa kwenye pesa ni kuuza majeneza na kuchimba makaburi. Nimemalizia Shule inaitwa Majuto "si" Mjukuu.
 
mie nimesoma hadi darasa la sita B.......changanyikeni..:A S 465::A S 465:

:biggrin1::biggrin1: ukaona kuendelea mpaka darasa la saba wanakuchelewesha kuingia mitaani :happy:

aisee elimu ziko za aina mbili..kuna zile orijino na zile za kuchakachua...so tuanzia na zipi :happy:
 
Duh Bishanga mbona umebadili Elimu yangu ukaifanya yako?
Hapa niko nahangaikia PhE then niendelee na PhF coz PhD ninazo za kutosha.
Pia naifahamu elimu ya Mr Rocky yeye ana PhD ya Majungu, Preta na BADILI TABIA wana PhD za kuchukua wanaume wengi kwa mara moja, Filipo ni Std 4 alifeli mtihani wa kuingia la 5, Hata C6 pia ni Std 4 ila mkewe charminglady sijajua ana elimu gani

mi ni nesi.....nitakuchoma sindano........chezeya mimi.......
 
Sasa kwa nini tusiseme wakati ndio anapata kula yake kupitia hilo kanisa
Na hapo hapo anagombea uenyekiti wa mtaa wa Chama cha mabwepande wa mtaa wa kimanzichana The Finest usikasirike bana sweetlady ndo kaniambia niseme

Hahahaha kijana mjanja kama The Finest yuko kwenye hilo lichama?.......ngoja nimwite Masanilo aende akamvue gamba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom