taja elimu yako........

Bishanga nimetumwa kwako na Asprin kuwa pale ulipoanza andika thread hii ulikosea jina lake na ana hasira sana ndio sababu kaniomba nikujulishe na nishakwambia halafu MJUMBE HAUAWI NA HAOJIWI. Just edit it!
 
Last edited by a moderator:
BADILI TABIA Yummy na cacico wote P7 tena UPE.
Asprina darasa la nne,taaluma mrina asali,rafiki yake Kaizer fom fo shycom ef ef ef ef kazi fundi makanika.
Tuje kwa bishanga sasa:
Kidato cha sita IST masaki.
BA in economics London schoolo of economics,fest class
MBA harvard
Masters in international economics California berkeley
Phd in macroeconomics,Yale
Phd in micro economics St mary's college,oxford.
Ngoja nikafurumue na digrii zangu nyingine masandukuni.
In the meantime na wewe taja elimu yako.
Ooooooops nimesahau.. The secretary,Bsc nursing,st Thomas medical school,london.
Erickb52,division zero fom fo uru sekondari class of 1971.

x wangu vile vyeti vyako si ulikwapua kule harua wakati ule ukiwa mstari wa mbele kumfukuza nduli au umesahau.
 
Elimu yangu ni Nursery. Najivunia haswaa sababu masters yako hainisaidii kitu chochote

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ugomvi wewe! Hivi ile phd yako ya kujamiiana ulishaimaliza? Nataka madesa
Hahahahaaa King'asti huna haja ya kukomaa na madesa....mi tayari ni mwalimu kama hujui Kujamiiana njoo ntakufundisha na utalipenda sana somo....yan utakuwa utakuja kwenye kipindi saa nzima kabla ya kipindi kwa mshawasha wa somo.
Muulize BADILI TABIA na Remmy wakati nawafundisha watakuambia. Kipipi kasema ukianza kusoma anaomba nae ajumuike na wewe so kama utaweza wataarifu na akina cacico Madame B Kongosho Remmy YNNAH marejesho Yummy Catherine ummu kulthum
 
Nitamwambia.
 
Mimi ni Sista Mstaafu.
Nadhani inafaa nijifunze hlo somo la kujaamiana mapema.
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana.....hilo somo linatolewa bure hakuna ada wala nini....
Kwa kuwa wanafunzi wameonekana kuwa wengi nimeomba nyongeza ya walimu so patakuwa na akina BAGAH Nicas Mtei Ruttashobolwa Filipo Asprin Kaizer Arushaone nilitaka na Bishanga awepo ila ameshachuja zana ndo maana wamama wanamkimbia siku hizi so mbadala wake ni St. Paka Mweusi na Baba V
Ujumbe kwa Mamndenyi

Waje waje mkuu Erickb52 tutawafundisha bure hao ila maswali watalipia, afu mie ndo profeshno wa practical,
 
Last edited by a moderator:
BADILI TABIA Yummy na cacico wote P7 tena UPE.
Asprina darasa la nne,taaluma mrina asali,rafiki yake Kaizer fom fo shycom ef ef ef ef kazi fundi makanika.
Tuje kwa bishanga sasa:
Kidato cha sita IST masaki.
BA in economics London schoolo of economics,fest class
MBA harvard
Masters in international economics California berkeley
Phd in macroeconomics,Yale
Phd in micro economics St mary's college,oxford.
Ngoja nikafurumue na digrii zangu nyingine masandukuni.
In the meantime na wewe taja elimu yako.
Ooooooops nimesahau.. The secretary,Bsc nursing,st Thomas medical school,london.
Erickb52,division zero fom fo uru sekondari class of 1971.

Bishanga nilikuonya kuhusu wake za watu hukuskia, umeona sasa wamekuchezea akili kila ukiamka unakuja na kioja kipya, jiangalie kuna siku utakuja hapa utasema wewe ndo baba ake Rizmoja,
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaa king'asti huna haja ya kukomaa na madesa....mi tayari ni mwalimu kama hujui kujamiiana njoo ntakufundisha na utalipenda sana somo....yan utakuwa utakuja kwenye kipindi saa nzima kabla ya kipindi kwa mshawasha wa somo.
Muulize badili tabia na remmy wakati nawafundisha watakuambia. kipipi kasema ukianza kusoma anaomba nae ajumuike na wewe so kama utaweza wataarifu na akina cacico madame b kongosho remmy ynnah marejesho yummy catherine ummu kulthum
mgaagaa na upwa! Hali wali mkavu! Mzima wewe erick?
 
Back
Top Bottom