taja elimu yako........

Mimi elimu yangu ni ya ngumbaru mkuu Bishanga.

Ndo maana unanibania kwa Preta kumbe elimu ndogo..owkey...nina dipl kutoka chuo cha nyuki pale Tabora,certificate ya foot and mouth disease kutoka pale ukiliguru mwanza,na nimemaliza la saba pale manungu pr school...lol
 
Last edited by a moderator:
x wangu vile vyeti vyako si ulikwapua kule harua wakati ule ukiwa mstari wa mbele kumfukuza nduli au umesahau.

Mamndenyi umenikumbusha ule wimbo wa jkt mafinga wana john's corner....'tulipokuwa arua wazazi wetu eh...unaukumbuka ex wangu? Na ule wa 'vijana wenu tumerejea vita imemalizika,kachokoza tanzania vita imemuwakia'....na tuliimba tukiwa na mori kweli kweli those old good days enzi za Mwalimu!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom