Una uhakika pesa zimewafikia ?Nimeangalia Kumbe walishalipwa? Mgomo huu ulitakiwa uwepo wakati wa Malipo kwa sasa kuendelea kukaa hilo eneo ni Uhalifu kama uhalifu mwingine.
wakati tunasubiri majibu ya mkuu wa wilaya
inabidi tujiulize je tuna watu wenye uwezo wa kutafakari humo maofisini? hasa katika hizi ofisi ngazi ya kati na chini plus mashirika na taaisisi za serikali? --- yani tuna watu waku-predict tatizo, kuliandalia mazingira ya kukabiliana nalo na suluhisho lenye manufaa?
Kuna mama hapo anasema wamelipwa lakini wamelipwa kidogo rudi tazama tena hiyo video ana negotiate compensation baada ya kula na kumaliza body language inaonesha hakutumia hiyo fidia kama ilivyokusudiwa.Una uhakika pesa zimewafikia ?
walikubali kwa pamoja kuondoka kwa kulipwa ?
Haya mambo ya kuhamishwa sehemu walizokaa watu muda mrefu msiyachukulie kirahisi rahisi
ngazi ya juu nimeshindwa kuishambulia nikiwa na sababu maalumu.Kwani ngazi za juu wapo?
Kuna mama hapo anasema wamelipwa lakini wamelipwa kidogo rudi tazama tena hiyo video ana negotiate compensation baada ya kula na kumaliza body language inaonesha hakutumia hiyo fidia kama ilivyokusudiwa.
Hii si kazi ya serikali mkuu you’re the boss of your own money. If aliyelipwa ana miaka 18 na kuendeleaNgwathra kwa muktadha wa hoja ile niliyoilenga incase kama hii hoja ya fidia ni kweli ilifanyika ,
waliotoa fidia walitakiwa kua na mpango kabambe kwamba fidia itatoka muda gani na mazingira maalumu ya kuilinda ili wasije wakaitumbua na baadae tatizo linazidi kua kubwa kama hivi
hoja yangu nimeanza kuijenga toka post #6 + #13Hii si kazi ya serikali mkuu you’re the boss of your own money. If aliyelipwa ana miaka 18 na kuendelea
Hapo ni kutoa notice ya siku tatu then Grader inapita sijaona hata nyumba ni mbavu za mbwa zote.hoja yangu nimeanza kuijenga toka post #6 + #13
ukizisoma hizo naimani utanielewa, unahosema wewe unaweza kua sahihi ila on the long run kinaleta matatizo yepi? si umeona shaba zimelia , full defender na mitutu ya moto? kama hao wananchi wameshindwa kujiongoza mzigo si bado unabaki kwa serikali
alafu baadae mje kusema wananchi sio wazalendo?Hapo ni kutoa notice ya siku tatu then Grader inapita sijaona hata nyumba ni mbavu za mbwa zote.
Mtu akishalipwa hataki kuondoka si Utapeli huo?alafu baadae mje kusema wananchi sio wazalendo?