Tahadhari ukitaka kufanya mapenzi kwenye gari

Tahadhari ukitaka kufanya mapenzi kwenye gari

This is sheer nonsense

Ifike mahala tuanzishe mada za kujenga na sio kuendekeza ufuska.

We are supposed to leave this world a better place than we found it.

Not worse.

Dada Karuccee, Mapenzi hayana udescent wala mahali maalumu, popote pale penye faragha unaweza fanya mambo yako. Ndo maana bongo watu wanachokana haraka maana ubunifu zero. Ila ieleweke ni salama na ikiwa uko na mhalali wako.
 
Inategemea na aina gari uliyokuwa nayo. Kuna magari mengine mtu hata hafikiri kusogeza pua yake karibu.
 
Yamkini ajali hazitaisha, maana magari yote yatakuwa najisi sasa...Mungu tuepushie hili pepo!
 
Dada Karuccee, Mapenzi hayana udescent wala mahali maalumu, popote pale penye faragha unaweza fanya mambo yako. Ndo maana bongo watu wanachokana haraka maana ubunifu zero. Ila ieleweke ni salama na ikiwa uko na mhalali wako.

Ila kuzuia mtikisiko ni ngumu mkuu...watu waliopo nje watagundua tu
 
Haya mambo ni mageni sana huku bongo wenzetu walianza kitambo na ninafikiria ni kutokana na uchache wa magari tuliyokuwa nayo kabla na baada ya uhuru.

But all in all sitegemei kama mtu ataenda kuegesha gari maeneo ya public wakakuacha salama au uchochoroni vibaka wakuache wenzetu hufanya hivyo kwasababu wana maeneo ya kutosha ya packing tena nyumbani kwao na hufanya na wake zao au wachumba sasa nyie waswahili mnaenda kupack kariakoo kisa gari ina tinted what do you expect????

Kama sio kuteremshwa ndani ya gari utupu na kutembezwa mitaani au unapack sehemu for your own risk usiku tena uko na changu doa patrol watakuacha kweli au hao wadakuzi na visimu vyao vya kichina vyenye camera tatizo letu watanzania haswa wabongo tunapenda mno kuiga.
 
Kwa nini ufanyie masuala hayo kwenye gari? Mnatia magari najisi tu. Mimi ndio maana siwezi kamwe kununua gari lililowahi kumilikiwa na mbongo. Yaaani hoteli zooote kabisa watu hamzioni mpaka mfanye kwenye magari puuuh.
 
Ungeonja huu mchezo hutakaaa uache. Nakumbuka juzi kati ile foleni ya mvua ila na kile kigiza na gari iko full tinted na kiyoyozi......nimefika home mwepesi kabisaaaaaaaaa

Kumbe tuko wengi tuliofaidika na zile foleni. Dah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom