Tahadhari ukitaka kufanya mapenzi kwenye gari

Tahadhari ukitaka kufanya mapenzi kwenye gari

Hivi wewe una umri gani?? Mara sijui raha za kufanya ndani ya ndege, mara hili la kwenye gari!! Inaonekana ni mtu mzima ila kichwani bado dogo sana!
 
I heard kufanya mapenzi kwenye gari ni kulitia gundu. I cnt do that kwenye Le super gadem Noah langu
 
Mkuu tukumbuke na sisi wa baiskel...tupe maufundi
 
huw nashindwa kuelewa hivi unamumaniwaje km gari umeilock yaan mtuu ataingia vp naww utakubalije kufungua mlango ukijuua nifumaniz.kwnn usiwashe gari na usepe nan atakuuliza.yanayodabwa huwa mapumbav cn.yaan km mm ukisogea tuu naweka gia nasepa
 
Ndo maana Taifa haliendelei sababu watu wake wameweka mbele ngono kuliko mawazo ya maana
 
barafuyamoto
Hili ni jukwaaa la malovee sasa hutakuta haya kwenye jukwaa la siasa.
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana Taifa haliendelei sababu watu wake wameweka mbele ngono kuliko mawazo ya maana

Hili ni jukwaa la malovee hebu nenda kuleee kwenye siasa utatukuta pia tuongelea ufugaji wa kwele
 
Kufanya mapenzi kwenye Gari nadhani Kila mtu anafanya hasa tunaomiliki miliki magari! Tena ni sehemu inatumiwa sana na wanandoa kubadilisha mazingira.

Sasa kupambana na WAPIGA CHABO fuata yafuatayo:

1.hakikisha gari yako ni tinted vioo vyote

2.endapo ni mchana kweupe, Laza kiti kimoja cha mbele na kufanya mlango wa kupitia endapo mnafanyia Viti vya nyuma na ukifumwa hamia haraka kiti cha dereva na kuondoa gari.

3. Lock milango ya gari yote.

4.Usizime Gari muda wote wa tendo kuepuka mtikisiko

5.usivue nguo zote!

Hapo kwenye # 4 ongeza kipengele cha AC lasivyo ushushe vioo vinginevyo mnaweza kujikuta mnatangulia mbinguni mmenatana kwa tiketi ya Carbon Monoxide.
 
Kwa nini ufanyie masuala hayo kwenye gari? Mnatia magari najisi tu. Mimi ndio maana siwezi kamwe kununua gari lililowahi kumilikiwa na mbongo. Yaaani hoteli zooote kabisa watu hamzioni mpaka mfanye kwenye magari puuuh.

mbona huko majuu hizi ndio zao? ili kuepuka hilo unalosema ni bora ununue gari jipya kabisa...
 
Kwa nini ufanyie masuala hayo kwenye gari? Mnatia magari najisi tu. Mimi ndio maana siwezi kamwe kununua gari lililowahi kumilikiwa na mbongo. Yaaani hoteli zooote kabisa watu hamzioni mpaka mfanye kwenye magari puuuh.

Hivi kwanza huwa nawashangaa wanawake wanaokubali kufanyiwa hivyo kwenye gari. Yaani mi huwa naona huyo mwanaume amekuoana too low kiasi kwamba hawezi kukodi hata room ya 10,000. Wanaume acheni ubahili bwana..
 
Njoo nikukunje kwenye hicho kipaso chako uone kama utatamani kitanda weweeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom