Tahadhari ukitaka kufanya mapenzi kwenye gari

Tahadhari ukitaka kufanya mapenzi kwenye gari

Ungeonja huu mchezo hutakaaa uache. Nakumbuka juzi kati ile foleni ya mvua ila na kile kigiza na gari iko full tinted na kiyoyozi......nimefika home mwepesi kabisaaaaaaaaa

Hahahaha wewe ni mzinzi lol
 
Hiyo staili inaitwa sharptomb...i inawafaa wale wanaotoa kama cha jogoo..
 
Aisee mi ni mrefu sn sina tofauti na yule Tolu wa kwenye magazeti ya zamani sikumbuki lile gazeti lilikuwa linaitwaje

aahajahahaaa
umenikumbusha Mbali kiongozi.
Alikuwa anaitwa "ustake ncheke", gazeti SANIFU.
 
Its such a big shame unashabikia uzinzi na kuusifia wakati signature yako unamtukuza Mungu

Hapana Mpwa mtu akija na nonsense unamjibu vivyo hivyo. Wala usihofu kuwa na amani kabisa. Maana hata ukipingana nae bado watakua wabishi tu
 
Hii nikwa wazinzi wote,wake Na waume za watu wanaochepuka, mapadri Na wachungaji, watawa pia,
 
shida zote za nini?
au ndio michepukoo!!

kama ni njia kuu chumbani panatosha hakuna cha kubadili mazingira wala nini....

mandingo ya kwenye gari ni uzinzi tu.
 
Nlikuwa nataka nikuambie jambo lakini bahati kuna muungwana mwenzangu hapa chini kashaniwahi.

This is sheer nonsense

Ifike mahala tuanzishe mada za kujenga na sio kuendekeza ufuska.

We are supposed to leave this world a better place than we found it.

Not worse.

Be a Man!
 
Nitaomba nipige game kwenye lori huko najua mpaka mje kuona basi nyie ni mawizadi kweli kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom