Mimi
Ninayemiliki boda boda hii mada hainihusu?
Kwa nini ufanyie masuala hayo kwenye gari? Mnatia magari najisi tu. Mimi ndio maana siwezi kamwe kununua gari lililowahi kumilikiwa na mbongo. Yaaani hoteli zooote kabisa watu hamzioni mpaka mfanye kwenye magari puuuh.
sina wa kupactice nae
Hakuna njia nzuri ya mapenzi kam kwenye gari. Haielezeki aiseee.
Nimejifunza jambo....mbona watakoma
Aisee mi ni mrefu sn sina tofauti na yule Tolu wa kwenye magazeti ya zamani sikumbuki lile gazeti lilikuwa linaitwaje
Coco Beach, parking ya Mlimani City ndo mwisho wa maneno unapiga miti mpaka unatosheka la muhimu ni kuwa, gari iwe Tinted, usizime gari, washa AC, kaaa muelekeo wa kuondoka in case linatokea bazazi/polisi wa pikipiki. TECHNIQUE nyingine unaweza kufungua boneti ukajidai gari imeharibika kumbe wala mambo taratiiiibu
aahajahahaaa
umenikumbusha Mbali kiongozi.
Alikuwa anaitwa "ustake ncheke", gazeti SANIFU.
Mpwa wewe huna bahati kabisa kabisa. Tulia tu nyumbani sasa
Mimi
Ninayemiliki boda boda hii mada hainihusu?
Unamruhusu anakuja kukaa juu yako. Uta enjoy hadi ufumaniwe......
Hapa siye wa kumiliki Guta inabidi tusonge mbele tuu tukanunue maturubai tujifunike kabisaa, ilhali tukisubiria tahadhari za wale tunaofanya mapenzi ndani au nje ya Guta.
This is sheer nonsense
Ifike mahala tuanzishe mada za kujenga na sio kuendekeza ufuska.
We are supposed to leave this world a better place than we found it.
Not worse.