Tahadhari ukitaka kufanya mapenzi kwenye gari

Tahadhari ukitaka kufanya mapenzi kwenye gari

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Kufanya mapenzi kwenye Gari nadhani Kila mtu anafanya hasa tunaomiliki miliki magari! Tena ni sehemu inatumiwa sana na wanandoa kubadilisha mazingira.

Sasa kupambana na WAPIGA CHABO fuata yafuatayo:

1.hakikisha gari yako ni tinted vioo vyote

2.endapo ni mchana kweupe, Laza kiti kimoja cha mbele na kufanya mlango wa kupitia endapo mnafanyia Viti vya nyuma na ukifumwa hamia haraka kiti cha dereva na kuondoa gari.

3. Lock milango ya gari yote.

4.Usizime Gari muda wote wa tendo kuepuka mtikisiko

5.usivue nguo zote!
 
Nina miguu mirefu mpaka nijipindepinde kwenye vitz yangu ni ngumu itakuwa km adhabu. Ko hii mada hainihusu
 
Unamruhusu anakuja kukaa juu yako. Uta enjoy hadi ufumaniwe......

Aisee mi ni mrefu sn sina tofauti na yule Tolu wa kwenye magazeti ya zamani sikumbuki lile gazeti lilikuwa linaitwaje
 
mie nikajifunze tu kwa kufuata hizo kanuni zako.....sasa hapo ukifumaniwa unarukia kiti cha dereva unawasha gari unatoka mbio...kama hakuna njia inayoeleweka je?

Kumbuka A/c na milango ipo locked pia unaweza ondoka taratibu tu
 
Zzzzzzzzzz! Nimebugi men sina gari wala cha baiskel , masaaa mbele
 
Bila shaka WATUMISHI wa Mungu wanapitia hapa, hizi aibu za kufumaniwa zitapungua wakichukua tahadhari.
 
Ungeonja huu mchezo hutakaaa uache. Nakumbuka juzi kati ile foleni ya mvua ila na kile kigiza na gari iko full tinted na kiyoyozi......nimefika home mwepesi kabisaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom