Tahadhari tusiyoizingatia

Tahadhari tusiyoizingatia

HAPO KWENYE RED ninakuja na maswali haya hapa chini
Vipi tukio la Soweto kwenye mkutano wa CHADEMA? ni chama gani kilihusika na tukio lile? vipi juu ya kesi ya Ugaidi ya Lwakatale ni chama gani kilihusika na kesi ile? vipi juu ya kuchinjwa kwa yule Mwenyekiti wa CDM Usarivar ni chama gani kilihusika?
Na walohusika na haya mauaji kuazia mipango utekelezaji ufadhili na hata mwishowe kuficha watuhumiwa na kufisha kesi wamepewa madaraka makubwa serikalini....hapa tafsiri ni moja tu...wamepongezwa!
 
HAPO KWENYE RED ninakuja na maswali haya hapa chini
Vipi tukio la Soweto kwenye mkutano wa CHADEMA? ni chama gani kilihusika na tukio lile? vipi juu ya kesi ya Ugaidi ya Lwakatale ni chama gani kilihusika na kesi ile? vipi juu ya kuchinjwa kwa yule Mwenyekiti wa CDM Usarivar ni chama gani kilihusika?
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Hakuna Uzi wako mkuu ninaoweza kuupita bila kujipatia maarifa mapya.mungu akujalie hekima na ufunuo wa kutupatia kile kisichopatikana kwingine ila JF
 
Ni kweli nasikia hata ile ajali ya city boy kule manyoni kuna mtu aliachwa njiani kwasababu alikuwa anasumbuliwa sana natumbo ikawa ndio pona yake.....mshana jr natamani ningejua cv yako kama hutojar naomba unipm
 
Mkuu Mshana Jr shukran kwa kunifunza jipya. Mungu akubariki na kukujalia hekima zaidi ili uzid kutufunza yale tusiyopata pengine, ila JF pekee. Shukran mkuu
 
Hakuna shida tutawasiliana pm
 
Hakuna Uzi wako mkuu ninaoweza kuupita bila kujipatia maarifa mapya.mungu akujalie hekima na ufunuo wa kutupatia kile kisichopatikana kwingine ila JF

Mkuu Mshana Jr shukran kwa kunifunza jipya. Mungu akubariki na kukujalia hekima zaidi ili uzid kutufunza yale tusiyopata pengine, ila JF pekee. Shukran mkuu
Aaaamen na Asanteni sana...sifa njema ni hitaji muhimu la binadamu, na hakuna akasirikaye asifiwapo kwa uzuri...nafarijika kwa compliments zenu..!!!sitawaangusha[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Nakumbuka mwaka jana mwezi kama wa 8 hivi....kuna mdada mmoja.. tulikuwa marafiki miaka 5 iliyopita...ananipigia wiki nzima mfulululizo, kunimomba nimtumie pesa...tupo mikoa tofauti...nimemzungusha kwa wiki yote..pesa nilikuwa nayo ila nilikuwa mzito. Siku ya mwisho kanipigia sim, akawa anaongea kwa huruma sana, mpaka nikajishtukia...nikamwambia nitakutumia muda sio mrefu.

Nakumbuka ilikuwa kama saa moja na ushee usiku, umeme umekatika. Nikajisogeza duka la Mpesa kumtumia...kufika pale wakasema kiwango kilichopo hakitoshi...wakaniambia nenda duka la karibu na stendi, pale hukosi. Hilo duka lipo barabara kuu ya Singida-Arusha. Nikaanza kwenda kwenye hilo duka....Nilipoanza kuliona hilo duka kwa mbali, maana ni lazima uvuke hiyo barabara kuuu ndio ufike. Sijui ni nini kilinipata, sikupata ishara yoyote, wala sikuhisi chochote...nikakuta naghairi tu...pesa sikutuma tena.

Hata robo saa haikupita, jamaa yangu akanipigia simuu... ananiuliza nilipo....akaja muda huo....akaanza kusimulia.."Lile duka la Mpesa pale barabarani(Singida-Arusha) limevamiwa na Majambazi, yule jamaa anayeuza ameuawa, mwili wake upo mpaka sasa...polisi hawajaja bado". Nikajiuliza je ningeenda pale, ningekutana nao...kingetokea nini?....Mpaka leo huwa najiuliza sana.
Hakika wewe kuna nguvu mbili zilikuwa zinakuandama nguvu ya uharibifu/kifo na nguvu ya uokozi. Shukuru nguvu ya pili ilishinda la sivyo leo hii ungekuwa rest in peace
 
Aaaamen na Asanteni sana...sifa njema ni hitaji muhimu la binadamu, na hakuna akasirikaye asifiwapo kwa uzuri...nafarijika kwa compliments zenu..!!!sitawaangusha[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kaka salute kwako..!! Kama kuna sehemu bado hujafika kila la heri katika kufuta Elimu zaidi kwa ajili yetu.
 
Ni group ya whtsp ambaye nimejikuta bila kutaraji nami nawapa Elimu lakini chimbuko kubwa likiwa ni topic za mshana junior..!! Nashukuru sana bro Elimu yako inaenda mbali sana.
 
Duu...! inasikitisha kwa kweli
Nakumbuka tukiwa shule ya msingi,kulikuwa na public holiday,enzi hizo shughuli za kitaifa wanafunzi ilikuwa lazima muende,basi asubuhi mama(rip)akatuambia leo naona kuna ishara sio nzuri,mtu asitoke ndani,hatukumuelewa tukaenda kwenye sherehe sikumbuki ilikuwa sikukuu gani,basi kwenye kuangalia michezo wanafunzi watundu wakapanda juu ya bati,kumbe bati likaelemewa uzito.likaanza kutitia hadi chini,kulikuwa na mtiti wa watu kukanyagana mle uwanjani,nakumbuka mwanafunzi classmate mdada alikatwa titi lote na bati,mie sikuumia ila nilipoteza viatu na kukanyagwa kiasi fulani,toka siku hio nimekuwa mtiifu sana kwa mama(rip).
 
Your mom had foreseen instincts
 
Duu mmh...! Kwahiyo hapo ni wazi kabisa kulikuwa na clear channels za tahadhari toka kwa Kitale, na hata kule kukataa wasisafiri siku ile na matukio yote yaliyofuatia ilikuwa ni mwendelezo huo huo wa tahadhari lakini hakuna aliyeweza kuzing'amua kwa hakika
NI KWELI,JAMAA YANGU ALIKUWA AKIPIKA KWA KUTUMIA HUU MTUNGI MDOGO WA GES..MARA NYINGI WENGI HUWASHA KWA KIBERITI..NIKIWA NAMTAZAMA AKIWA JIKONI,NIKAMWAMBIA TAFADHALI ANGALIA HILO JIKO LINAWEZA KUKUWAKIA USONI.HAIKUPITA DAKIKA 2.MOTO UKALIPUKA GHAFLA NA KWA BAHATI TU ALIWAHI TOA USO KARIBU NA JIKO.WALIKUWEPO WAKAOGOPA SANA.NA SI MARA MOJA,IMEKUWA KILA NIKITOA TAHADHALI NA KUSEMA JAMBO LA HATARI HUTOKEA NDANI YA MUDA MFUPI.NILIPO WANAOGOPA SANA KAULI ZANGU.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom