tetee
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 789
- 869
Tuaambiwaga your brain doesn't know what it can not do until you tell it
Tuaambiwaga your brain doesn't know what it can not do until you tell it
Hilo somo nalipenda sana lakini kila nikijaribu napata division 5 ya Mlugo,ngoja nikazane mpaka niweze.Fanya meditation
Mume wangu alipania safari siku hiyo toka asubuhi anawahi deal lake safari ilitakiwa ianze saa 6, mie nikamuandalia kila kitu, kufika saa 4 nikaanza kupata wooga wa ajab, wasiwasi ikabidi nimwambie usiende hii safari nenda kesho, akaniambia wivu sasa huo mi naenda kikazi, jamanii nilimbembelezaa asiendee hadi chozi ujue hadi nikajishangaa, hee muda umefika wenzake wakaja kumpitia walikua na usafiri binafsi, akawaambia msikieni huyu ananizuia safari wanawake wengine bana maneno kibao akabeba kirago chake huyoo wakaondoka, baada ya nusu saa huyu hapa karudi, heee akaniambia huwezi amini amepaatwa na tumbo ghafla amerudi wenzake wameenda mama miaaa masaa 2 tu simu wamepata ajalii na mmoja kafa palepaleee[emoji24].Duu mmh...! Kwahiyo hapo ni wazi kabisa kulikuwa na clear channels za tahadhari toka kwa Kitale, na hata kule kukataa wasisafiri siku ile na matukio yote yaliyofuatia ilikuwa ni mwendelezo huo huo wa tahadhari lakini hakuna aliyeweza kuzing'amua kwa hakika
[emoji2] [emoji1] [emoji125] [emoji1] [emoji28] [emoji1] afadhali umenifanya nicheke kwenye huu uziHilo somo nalipenda sana lakini kila nikijaribu napata division 5 ya Mlugo,ngoja nikazane mpaka niweze.
Duu Mungu wanguMume wangu alipania safari siku hiyo toka asubuhi anawahi deal lake safari ilitakiwa ianze saa 6, mie nikamuandalia kila kitu, kufika saa 4 nikaanza kupata wooga wa ajab, wasiwasi ikabidi nimwambie usiende hii safari nenda kesho, akaniambia wivu sasa huo mi naenda kikazi, jamanii nilimbembelezaa asiendee hadi chozi ujue hadi nikajishangaa, hee muda umefika wenzake wakaja kumpitia walikua na usafiri binafsi, akawaambia msikieni huyu ananizuia safari wanawake wengine bana maneno kibao akabeba kirago chake huyoo wakaondoka, baada ya nusu saa huyu hapa karudi, heee akaniambia huwezi amini amepaatwa na tumbo ghafla amerudi wenzake wameenda mama miaaa masaa 2 tu simu wamepata ajalii na mmoja kafa palepaleee[emoji24].
Ushuhuda wa kuhuzunisha wa Shauritanga girls boarding school![]()
Nakukumbuka ilikuwa ni 1994 (kama sijakosea) ulipotokea moto kwenye shule tajwa hapo juu ambao uliondoka na mabinti 41 (kama sijakosea tena) kati yao kulikuwa na ndugu wawili
Tunafahamu ishu za kutoroka shule hasa weekend na kwenda home hasa kama sio mbali
Weekend hiyo wale mabinti wawili walitoroka na mpango wao ilikuwa wakalale nyumbani na kurudi Shuleni Jumapili
Wakashinda nyumbani vizuri na wazazi wao ilipofika jioni wakatakiwa kurudi shule (wazazi hawakuwa na lengo baya) mabinti walijitetea kwa nguvu zote mpaka kusaidiwa na mama lakini baba alishikilia msimamo wake..ikabidi waondoke kwa roho nzito mno kurudi Shuleni
Usiku ule wale mabinti ni kati ya wanafunzi walioteketea na ule moto
Hawa wazazi walikuwa wameshafunga kizazi hawakutaka kuzaa tena..
Baada ya kupata hizi taarifa na nafikiri kabla ya mazishi waliandika ushuhuda huu nao wakajiua kwa sumu
![]()
Acha tu mkuu,haya mameditation mara third eye kwa kweli ni sanaa ngumu sana kuifanya.[emoji2] [emoji1] [emoji125] [emoji1] [emoji28] [emoji1] afadhali umenifanya nicheke kwenye huu uzi
Ni ngumu lakini ukiimanisha akili yako kuwa hutoweza basi kweli na hutoweza, sema ni ngumu lakini utayaweza hakuna kinachoshindikanaAcha tu mkuu,haya mameditation mara third eye kwa kweli ni sanaa ngumu sana kuifanya.
Ila mie hizi vitu vinanichezaga sana na hakuna kinachonipataNa vipi zile ishara zinazotokea kimwili mfano wanasema jicho likicheza utaona kitu kibaya, Makalio yakicheza utakaa kwenye msiba, Nywele zikisisimka kuna hatari hapo...Hizi ziko kwenye mlango wa ngapi mshana jr ?
Hizi ziko kiimani zaidi kwenye mila na desturi lakini kiuhalisia ukweli ni mdogo sana...Na vipi zile ishara zinazotokea kimwili mfano wanasema jicho likicheza utaona kitu kibaya, Makalio yakicheza utakaa kwenye msiba, Nywele zikisisimka kuna hatari hapo...Hizi ziko kwenye mlango wa ngapi mshana jr ?
Kitalaam wanasema mtu ukiwa na msongo wa mawazo ama kuufikirisha sana ubongo basi huchoka na hupelekea macho kucheza, na dawa yake ni kupumzika tu.Hizi ziko kiimani zaidi kwenye mila na desturi lakini kiuhalisia ukweli ni mdogo sana...
Ile ni normal muscle twitching lakini kwakuwa maneno huumba basi hiyo hali hutengeneza uhalisia fulani hivi
Umenitoa machozi,leo tar18.06.2016 ni miaka22 tokea tukio hilo!! Mungu awalaze mahali pema daaah, so sad jaman!! Ni mengi nimekumbuka...Ushuhuda wa kuhuzunisha wa Shauritanga girls boarding school![]()