Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 10,793
- 15,874
God is good [emoji106]By the time tupo chuo with my friends, sasa we went out (club) ikafika muda wa kuondoka, we were 4 peoples, N we met one of our class mate alikuwa na gari, huwezi amini akapanga kuturudisha main campus, mimi niligoma N nikaamua kuchukua boda na kulala town, moyo ulisita, kilichotokea mbeleni kwa wao ni gari kupinduka na kupata ajali ya kutisha, lakini Mungu mwema waliishia kuumia tu, hakuna aliyefariki
Miaka kumi iliyopita, Baba yangu alikuwa anataka kusafiri kwa shughuli zake za kikazi kigoma, siku mbili kabla ya safari moyo wa mama ulikuwa mzito sana akamkatalia kusafiri, mzee akakubali akawaambia wenzake huko kigoma kuwa hatakwenda, lakini usiku wa kuamkia siku ya safari, mzee alibadili mawazo akawapigia simu wenzake akasema anakwenda, hii ni baada ya wao kumsihi sana, mama alizuia lakini ilishindikana ikabidi amwache, Kweli kesho yake akaenda hiyo safari, Ndo ilikuwa mwisho wetu wa kuwa nae katika maisha haya, baada ya wiki aliletwa nyumbani kwenye jeneza.
We miss you papaa
Yes broGod is good [emoji106]
[emoji109][emoji123]
Jr[emoji769]
Vinapikwa subiri viive
Jr[emoji769]
Ooooh GodMume wangu alipania safari siku hiyo toka asubuhi anawahi deal lake safari ilitakiwa ianze saa 6, mie nikamuandalia kila kitu, kufika saa 4 nikaanza kupata wooga wa ajab, wasiwasi ikabidi nimwambie usiende hii safari nenda kesho, akaniambia wivu sasa huo mi naenda kikazi, jamanii nilimbembelezaa asiendee hadi chozi ujue hadi nikajishangaa, hee muda umefika wenzake wakaja kumpitia walikua na usafiri binafsi, akawaambia msikieni huyu ananizuia safari wanawake wengine bana maneno kibao akabeba kirago chake huyoo wakaondoka, baada ya nusu saa huyu hapa karudi, heee akaniambia huwezi amini amepaatwa na tumbo ghafla amerudi wenzake wameenda mama miaaa masaa 2 tu simu wamepata ajalii na mmoja kafa palepaleee[emoji24].