TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...


VeronicaAmadu

VeronicaAmadu

Senior Member
Joined
May 4, 2011
Messages
115
Likes
66
Points
45
VeronicaAmadu

VeronicaAmadu

Senior Member
Joined May 4, 2011
115 66 45
I wish ningeiona hii thread mapema. Asante kwa tahadhari.
 
KISHINDO

KISHINDO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Messages
1,684
Likes
670
Points
280
KISHINDO

KISHINDO

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2013
1,684 670 280
Mbona matapeli kila siku wanazaliwa na kila siku wanajiunga JF????

Cha msingi kila abiria achunge mzigo wake .

Naamini hata wakitajwa na ID zao kuwekwa hadharani bado kwa ujinga wa watanzania waliowengi watalizwa tu coz watabadili ID na mchezo unaendelea kama kawa.

Mfano:- Kuna chama cha matapeli (cc..) lakini mbona mijitu imo na inajiandaa kutapeliwa tena mwaka huu?????
 
Tutor B

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Messages
8,302
Likes
4,082
Points
280
Tutor B

Tutor B

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2011
8,302 4,082 280
Nyongeza ni kwamba - utapeli ni pamoja na kufanya mambo huku ukihofia kufahamika. Binafsi nawashtukia member wengi ambao hata Avator wameweka vitu vya ajabu - sio sura zao. Wanahofia nini kama kweli ni wasafi kwenye matendo yao? Matapeli ni wengi humu japo kuna ..... (jaza)
 
M

Mcharo son

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2015
Messages
2,222
Likes
815
Points
280
M

Mcharo son

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2015
2,222 815 280
Ninaungana na anayesema kwamba ID za matapeli zitangazwe. lakini pia nafikiri haitatosha. Itapendeza kama tutakwenda mbali zaidi, kwa wale waliotapeliwa kuleta majina kamili ya hao matapeli. Ili baada ya kuwa na ushahidi wa kutosha, majina kamili pamoja na ID zao yatundikwe hapa. Hilo litasaidia si tu wanachama wa JF, bali pia na raia wengine wa mtaani ambao huwa wanatembelea mitandao ya kijamii.
atajitetea "nilikua napokea amri...." hapa dawa ni kutoa mfumo
 
kalendi

kalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Messages
1,023
Likes
227
Points
160
kalendi

kalendi

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2012
1,023 227 160
Wakuu,

Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:

Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF.

Tunafahamu kuna ambao mmeshalizwa, tafadhali tufahamisheni ili tuweze kuwaanika (tutaanzisha thread maalum kwa ajili ya hili).

Nisisitize, IWENI MAKINI NA MATAPELI!
Pia napenda kuwaomba wana jf tupeana elimu zaidi juu ya imani mabalimbali zinazodhania kutukwamisha hasa katika ujasiriamali mambo haya yapo kweli na kama yapo tutumie njia gani kukabiliana nayo na hata kutazua kama inawezekana.

1. Chuma ulete(elimu ya kimazingara kadiri unavyojitahidi kutafuta kipato lakini kipato kile wanachuwa wataalamu bila ya wewe kufahamu na matokeo yake unakua unashuhudia kipato chako hakikui au hamna mabadiliko ya kimaendeleo).

Napenda kuwasilisha karibuni tushikishane uzoefu!
 
B

babu maziwa

Member
Joined
Dec 13, 2016
Messages
49
Likes
27
Points
25
Age
66
B

babu maziwa

Member
Joined Dec 13, 2016
49 27 25
MAFUNZO YA USINDIKAJI MAZIWA.

Tunatoa mafunzo ya wiki moja ya usindikaji na uhakiki wa ubora wa maziwa hapa Morogoro SUA. Piga simu namba 0657-193935/0755-027893 kwa Mr Watuta upate maelezo zaidi.
 

Forum statistics

Threads 1,235,230
Members 474,450
Posts 29,214,581