Habari, kuna member yeyote anayejiusisha na MULTI LEVEL MARKETING(MLM)
atajitetea "nilikua napokea amri...." hapa dawa ni kutoa mfumoNinaungana na anayesema kwamba ID za matapeli zitangazwe. lakini pia nafikiri haitatosha. Itapendeza kama tutakwenda mbali zaidi, kwa wale waliotapeliwa kuleta majina kamili ya hao matapeli. Ili baada ya kuwa na ushahidi wa kutosha, majina kamili pamoja na ID zao yatundikwe hapa. Hilo litasaidia si tu wanachama wa JF, bali pia na raia wengine wa mtaani ambao huwa wanatembelea mitandao ya kijamii.
Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF.
Tunafahamu kuna ambao mmeshalizwa, tafadhali tufahamisheni ili tuweze kuwaanika (tutaanzisha thread maalum kwa ajili ya hili).
Nisisitize, IWENI MAKINI NA MATAPELI!
Ndio najihusha nayoHabari, kuna member yeyote anayejiusisha na MULTI LEVEL MARKETING(MLM)
Labda kutundika majina ya hao matapeli, sidhani kama yule aliyetapeliwa atathubutu kuja kuweka bayana hapa kwamba ametapeliwa kutokana na nature ya tukio lenyewe la ku-tapeliwa kama la aibu vile, unless kuwe na utaratibu mwingine wa kujiweka wazi kwamba umu0hanga wa tatizo hilo.
Mhhh!Mbona matapeli kila siku wanazaliwa na kila siku wanajiunga JF????
Cha msingi kila abiria achunge mzigo wake .
Naamini hata wakitajwa na ID zao kuwekwa hadharani bado kwa ujinga wa watanzania waliowengi watalizwa tu coz watabadili ID na mchezo unaendelea kama kawa.
Mfano:- Kuna chama cha matapeli (cc..) lakini mbona mijitu imo na inajiandaa kutapeliwa tena mwaka huu?????
Kuna jamaa mmoja hivi anaitwa Nikson Johnson Mapunda ni tapeli wa kutupwa hafai kabisa humu jfWakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF.
Tunafahamu kuna ambao mmeshalizwa, tafadhali tufahamisheni ili tuweze kuwaanika (tutaanzisha thread maalum kwa ajili ya hili).
Nisisitize, IWENI MAKINI NA MATAPELI!
Kuna jamaa mmoja hivi anaitwa Nikson Johnson Mapunda ni tapeli wa kutupwa hafai kabisa humu jf
Ana kichwa kama boga piaTenaa ana mkono mlefuuu na mguu mfuuupi
Account ya pesa au JF?kama imethibitika ni tapeli, ifungwe akaunti yake, na ndo dawa pekee,na baada ya kufungiwa account yake awekwe hadharani ili iwe fundisho kwa watu wengine..Naunga mkono hoja :A S thumbs_up::A S thumbs_up: