TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

na mm nimenunua samsung s6 online kutoka dar ikanifikia vzur kitendo cha kuingiza email yangu tu simu ikajiloki ikawa mwisho wa maelezo na ikawa mwisho wa kununua bidhaa online
 
Pole sana, ila avator yako inavutia mbaya.
 
Hata kelvin Isaya ni mwizi ameiba pesa nyingi sana. Niliwapa watu taadhari mapema wakasema nina wivu na biashara yake.
 
"Mwizi wangu najua humo humu"
Faiza Foxy akiwakoromea kuhusu matumizi sahihi ya lugha mnamwanzishia thread. Haya sasa tatizo sugu la kuchanganya irabu za Kiswahili na kikanushi (h-) limebadili kabisa maana ya ulichotaka kukisema (japo pengine watu wamekuelewa). Tunaporekebishwa na huyu mama mtaalamu wa lugha tukubali kujifunza na tubadilike. Binafsi, ukiachilia mbali lugha za kitoto kama xaxa, uxije..., hakuna kitu kinachonikera kama huu mkanganyiko wa h- na irabu za Kiswahili.

===> By the way - pole kwa kuibiwa. Ndiyo mambo ya mtandaoni haya. Wengine wamepoteza mpaka maisha. Wengine wamebakwa...Tuwe waangalifu sana na haya mambo!
 
Maneno Mengi pointi ya msingi haionekani.
 
kwann usimtaje huyo tao
kwann usimtaje huyo tapeli naye ajitetee humu humu
 
tunaomba jf mtengeneze utaratibu kwa wanaofanya biashara humu kwamba wajitambulishe kwanza kwenu wajenge trust kwenu ili sisi tukiwaamini basi nyie mshakuwa mmejiridhisha na akitapeli basi nyinyi mnadili nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…