Kasoro mimiDah jf noma kila mtu ana gari/ laptop haya bwana hongereni sana
Aisee kama una MTU unamjua central mhamishie Kyle wanamdumbukiza chini anapitishwa machine kwenye pumbu anataja yootee..m nilishawahji kuibiwa hivyo hivyoohivyooo rip Br yule kakaa aliefariki NA ajali ya maji NA familia alinsaidia sana..baada ya muda bila aibu nkaitwa nkaomba manager nkamwambimshikaji nilienae napeleka osterbay huyuu....nilipofika asbh nikampigia nikampeleka central walimpa vipondo vya adabu nikaenda kuchukuwa laptop yangu kwenye duka LA MTU pale krkoo..awawanauzaga KWA JAMAA Wa laptop krkoo shida TU kukagua kiladukaWakuu jana baada ya pilika za kazi nilikuwa na ratiba ya kukutana na rafiki zangu hapo Catalunya opposite na Calabash kwa mazungumzo maalum.Nilipofika Mlinzi wa pale (Masai) akanieleza sehemu ya kupaki. Ndani ya gari nikaacha begi lenye laptop na vitu vingine lakini kwa taadhari nilishaliweka chini ya siti ya nyuma.
Baada ya kushuka nikiwa na mwenzangu nikamuuliza yule Mlinzi kama ndio muhusika wa usalama akakubali nikamuomba aniangalizie usalama wa gari langu. Tukaenda kukaa sehemu ya nje tunapoweza kuona pia gari vizuri. Muda wote tulikuwa makini lakini maongezi yalivyozidi na kidogo kupoteza umakini ule kwa kama dakika 10 ghafla yule Masai akanifata kuwa brother twende gari yako inashida. Tulipogeuka kuangalia gari taa ilikuwa inawaka na mlango upo wazi! Tulipoenda tukakuta kioo cha mlango kilichokuwa upande wa pili kimevunjwa mlango umefunguliwa na begi limebebwa. Kwa muda mrefu eneo nililopaki zilikuwepo gari mbili tu tena zilizo mbali kidogo kiasi ambacho huwezi kutarajia mtu apate ujasiri wa kuchungulia hadi aone begi kubomoa, kufungua mlango na kuvuta begi upande wa pili.Mlinzi akatupa Maelezo ya kujichanganya ikiwemo kutaka kuruka baadhi ya vitu. Muhusika wa hapo Catalunya anasema hata yeye ameshaibiwa Catalunya ya mlimani city siku si nyingi. Mlinzi yupo polisi mabatini. Chukueni tahadhari wananchi wenzangu maana ni dhahiri walinzi wanashirikiana na wahalifu. Nimeamua kulifatilia kwa ukaribu tukio hili na nitawajulisha kila hatua muhimu.
Halafu kila mtu anaishi kwenye jiji la Makonda.Dah jf noma kila mtu ana gari/ laptop haya bwana hongereni sana
Kumbe ni wale ndugu wa bukoba, labda uliacha mkungu wa ndizi kwenye gariMbona mi naachaga mpaka 2m sijawahi ibiwa?
Ni kwasababu wenye Magari tu na lap top ndio wanaochangia zaidi hii thread ndio maana unahisi hivyo mkuu.Dah jf noma kila mtu ana gari/laptop haya bwana hongereni sana
Ukitaka kuhifadhi computer kwenye gari,kama unaingia bar ifiche laptop yako kwenye buti huwa huko ni sehemu salama sana na mwizi ni vigumu sana ku detect.Wakuu jana baada ya pilika za kazi nilikuwa na ratiba ya kukutana na rafiki zangu hapo Catalunya opposite na Calabash kwa mazungumzo maalum.Nilipofika Mlinzi wa pale (Masai) akanieleza sehemu ya kupaki. Ndani ya gari nikaacha begi lenye laptop na vitu vingine lakini kwa taadhari nilishaliweka chini ya siti ya nyuma.
Baada ya kushuka nikiwa na mwenzangu nikamuuliza yule Mlinzi kama ndio muhusika wa usalama akakubali nikamuomba aniangalizie usalama wa gari langu. Tukaenda kukaa sehemu ya nje tunapoweza kuona pia gari vizuri. Muda wote tulikuwa makini lakini maongezi yalivyozidi na kidogo kupoteza umakini ule kwa kama dakika 10 ghafla yule Masai akanifata kuwa brother twende gari yako inashida. Tulipogeuka kuangalia gari taa ilikuwa inawaka na mlango upo wazi! Tulipoenda tukakuta kioo cha mlango kilichokuwa upande wa pili kimevunjwa mlango umefunguliwa na begi limebebwa. Kwa muda mrefu eneo nililopaki zilikuwepo gari mbili tu tena zilizo mbali kidogo kiasi ambacho huwezi kutarajia mtu apate ujasiri wa kuchungulia hadi aone begi kubomoa, kufungua mlango na kuvuta begi upande wa pili.Mlinzi akatupa Maelezo ya kujichanganya ikiwemo kutaka kuruka baadhi ya vitu. Muhusika wa hapo Catalunya anasema hata yeye ameshaibiwa Catalunya ya mlimani city siku si nyingi. Mlinzi yupo polisi mabatini. Chukueni tahadhari wananchi wenzangu maana ni dhahiri walinzi wanashirikiana na wahalifu. Nimeamua kulifatilia kwa ukaribu tukio hili na nitawajulisha kila hatua muhimu.
au kwenye bonetiUkitaka kuhifadhi computer kwenye gari,kama unaingia bar ifiche laptop yako kwenye buti huwa huko ni sehemu salama sana na mwizi ni vigumu sana ku detect.
Huyo Mtu wa Counter unamuamini??MBONA KWENYE LODGE WANAANDIKA
KABIDHI VALUABLES ZAKO RECEPTION
KWANINII WASIWEKW BANGO TUWEKE NA SIMU NALAPTOP HUKO COUNTER
Ingia nayo bar, what's is the problem?Sasa ndo umetoka nayo job ukaona upitie maali je utaiacha wapi
nakubali,wakikosa wanachodhania wanabeba chochote,niliibiwa nguo nilizotoka kuzichukua dry cleaner ambazo ilikuwa nisafiri nazo siku ya pili.Sehemu yoyote Dar haina muamana wa kuacha chochote ndani ya gari.
Kuna shoga'ngu alishachapwa nyanya na vitunguu aliviacha ndani ya gari lake.
Bi mkubwa kuwa serious nyanya na vitunguu nivipeleke wapi sasaSehemu yoyote Dar haina muamana wa kuacha chochote ndani ya gari.
Kuna shoga'ngu alishachapwa nyanya na vitunguu aliviacha ndani ya gari lake.
Acha kula magengeni na kwa mama lishe utajua tu kazi ya Nyanya na Vitunguu.Bi mkubwa kuwa serious nyanya na vitunguu nivipeleke wapi sasa?
Hahaha wezi wanachoangalia ni mfuko ndani ya gari. Kama umevibeba vizuri nyanya na vitunguu kwenye vifungashio malidhawa watajua ni mali na wakifika hawana muda wa kukagua ni mzigo wa aina gani. Wao ni kuchukua na kukimbia dk 5 nyingi sanaBi mkubwa kuwa serious nyanya na vitunguu nivipeleke wapi sasa
Lol!Sitaki hata kupasikia hapo Catalunya,Maasai alikuja kunistua kuwa gari imeibiwa nipo kwenye "chorus" ya kutafuna Makange...Baadae nikatumia "Private investgators" wangu nikaja kujua CATALUNYA ni kijiwe cha majambazi ya Mjini na wachora ramani wa wizi wa magari wa Dsm.Wale walinzi wa kimasai wanachora dili na "vibaka" njaa na kuiba vitu ndani ya gari....Wale kina Baba Yeyoo sio wa kuamini tena,wezi wakubwa na wachora michoro ya wizi.
Kuna siku nilienda kupata chakula na jamaa yangu,tukaacha laptop kwenye gari kwa kuiweka chini ya seat na kufunga milango na vioo,ndani ya Laptop kulikuwa na "Proposal" ya hatari ya Mradi wa REA tumetoka kui-wasilisha kwa wadau Wizara ya Nishati ili tupate mkwanja wa kuwasha umeme kijijini kwetu!Washenzi wale wakaiba Apple ile kumbe walikuwa mabwege tu wa techolojia,tukayakamata maeneo ya Mwenge na baadae ikaja kuonekana mchora mchoro ni Maasai mlinzi tuliomkabishi gari.Ila Maasai wana mbio asikwambie mtu,Maasai alivyoona anaenda kunyea debe alichoropoka tukabaki kuona shuka tu na pu..mbu zinaning'inia.Hapai pale Catalunya kwenda na gari au vitu vya thamani