Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
Nikishuka kwenye daladala nashuka na hadi mfuko wa nyanya....Kwa hiyo hunywi bia.......?....
Nikishuka kwenye daladala nashuka na hadi mfuko wa nyanya....Kwa hiyo hunywi bia.......?....
lakini ukishuka unachukua mizigo yako yote!ila nazo zinakela!!
Inawezekana mwizi ni mpishi wa hotelSehemu yoyote Dar haina muamana wa kuacha chochote ndani ya gari.
Kuna shoga'ngu alishachapwa nyanya na vitunguu aliviacha ndani ya gari lake.
Kabidhi kaunta, ila kama ikipotelea hapo uwe na pa kuanzia.Sasa ndo umetoka nayo job ukaona upitie maali je utaiacha wapi
Sio kuacha tu hata ukiwa kwenye foleni na umeweka begi nyuma umatakiwa kuwa makiniukiacha kitu kwenye gari unavuta wezi bila ya wewe kujua.. hata kama begi halina kitu usiache ndani ya gari..
Word. Walinzi sio wa kuwaaminiukiacha kitu kwenye gari unavuta wezi bila ya wewe kujua.. hata kama begi halina kitu usiache ndani ya gari..
Hahahaaah hadi nyanya Na vitunguu....!!!Sehemu yoyote Dar haina muamana wa kuacha chochote ndani ya gari.
Kuna shoga'ngu alishachapwa nyanya na vitunguu aliviacha ndani ya gari lake.
utakomaDah jf noma kila mtu ana gari/ laptop haya bwana hongereni sana
sawa mkuuSio kuacha tu hata ukiwa kwenye foleni na umeweka begi nyuma umatakiwa kuwa makini
Pole sana..lkn kumbuka ile ni parking ya nje..ht ukienda baadhi ya hotel kubwa mfano land mark hotel mbez beach..na zingine naambiwa park at your own risk ..km kuhama hama kwa sababu ingineInsurer, tunashukuru sana kwa taarifa.
Kwa wenye sehemu za starehe, ulinzi wa Mali za wateja wenu ni kitu cha msingi ktk biashara zenu. Wateja ndio tumewahama tayari
Pole sana taarifa nilizonazo ni kuwa wezi wana detector amvayo hupiga alarm kama kuna kitu kama laptop ndani ya gari hivyo sio rahisivwao kukosa kitu wanachokitafutaWakuu jana baada ya pilika za kazi nilikuwa na ratiba ya kukutana na rafiki zangu hapo Catalunya opposite na Calabash kwa mazungumzo maalum.Nilipofika Mlinzi wa pale (Masai) akanieleza sehemu ya kupaki. Ndani ya gari nikaacha begi lenye laptop na vitu vingine lakini kwa taadhari nilishaliweka chini ya siti ya nyuma.
Baada ya kushuka nikiwa na mwenzangu nikamuuliza yule Mlinzi kama ndio muhusika wa usalama akakubali nikamuomba aniangalizie usalama wa gari langu. Tukaenda kukaa sehemu ya nje tunapoweza kuona pia gari vizuri. Muda wote tulikuwa makini lakini maongezi yalivyozidi na kidogo kupoteza umakini ule kwa kama dakika 10 ghafla yule Masai akanifata kuwa brother twende gari yako inashida.
Tulipogeuka kuangalia gari taa ilikuwa inawaka na mlango upo wazi! Tulipoenda tukakuta kioo cha mlango kilichokuwa upande wa pili kimevunjwa mlango umefunguliwa na begi limebebwa. Kwa muda mrefu eneo nililopaki zilikuwepo gari mbili tu tena zilizo mbali kidogo kiasi ambacho huwezi kutarajia mtu apate ujasiri wa kuchungulia hadi aone begi kubomoa, kufungua mlango na kuvuta begi upande wa pili.
Mlinzi akatupa Maelezo ya kujichanganya ikiwemo kutaka kuruka baadhi ya vitu. Muhusika wa hapo Catalunya anasema hata yeye ameshaibiwa Catalunya ya mlimani city siku si nyingi. Mlinzi yupo polisi mabatini.
Chukueni tahadhari wananchi wenzangu maana ni dhahiri walinzi wanashirikiana na wahalifu. Nimeamua kulifatilia kwa ukaribu tukio hili na nitawajulisha kila hatua muhimu.