Pole sana Mkuu na asante kwa kututahadhalisha!!!Wakuu jana baada ya pilika za kazi nilikuwa na ratiba ya kukutana na rafiki zangu hapo Catalunya opposite na Calabash kwa mazungumzo maalum.Nilipofika Mlinzi wa pale (Masai) akanieleza sehemu ya kupaki. Ndani ya gari nikaacha begi lenye laptop na vitu vingine lakini kwa taadhari nilishaliweka chini ya siti ya nyuma.
Baada ya kushuka nikiwa na mwenzangu nikamuuliza yule Mlinzi kama ndio muhusika wa usalama akakubali nikamuomba aniangalizie usalama wa gari langu. Tukaenda kukaa sehemu ya nje tunapoweza kuona pia gari vizuri. Muda wote tulikuwa makini lakini maongezi yalivyozidi na kidogo kupoteza umakini ule kwa kama dakika 10 ghafla yule Masai akanifata kuwa brother twende gari yako inashida. Tulipogeuka kuangalia gari taa ilikuwa inawaka na mlango upo wazi! Tulipoenda tukakuta kioo cha mlango kilichokuwa upande wa pili kimevunjwa mlango umefunguliwa na begi limebebwa. Kwa muda mrefu eneo nililopaki zilikuwepo gari mbili tu tena zilizo mbali kidogo kiasi ambacho huwezi kutarajia mtu apate ujasiri wa kuchungulia hadi aone begi kubomoa, kufungua mlango na kuvuta begi upande wa pili.Mlinzi akatupa Maelezo ya kujichanganya ikiwemo kutaka kuruka baadhi ya vitu. Muhusika wa hapo Catalunya anasema hata yeye ameshaibiwa Catalunya ya mlimani city siku si nyingi. Mlinzi yupo polisi mabatini. Chukueni tahadhari wananchi wenzangu maana ni dhahiri walinzi wanashirikiana na wahalifu. Nimeamua kulifatilia kwa ukaribu tukio hili na nitawajulisha kila hatua muhimu.
Na ndivyo tunavyoshauriwa kila siku katika sehemu mbalimbali. Na hata hoteli, Lodge na Guest House wanaandika "kama una vitu vya thamani kabidhi reception"Siku zote unapopaki hakikisha hakuna vitu vinavyompa mtu ushawishi weka hata katika buti kama gari ina buti.
Hatuibi Pesa za Zimbabwe mkuuMbona mi naachaga mpaka 2m sijawahi ibiwa?
Siku ukiacha madirisha wazi watakomba tu😀Mm naacha madurisha waz na siachi kitu hata kimoja.....
Mimi huwa naweka chini ya kiti ila napo sio salama kabisa cha muhimu ni kuacha kuweka wazi vitu vitakavomvutia mwizi kuibaSasa ndo umetoka nayo job ukaona upitie maali je utaiacha wapi
Asante kwa taarifa Mkuu!
Weka ndani hao wapuuzi, anza na Mlinzi. Hakikisha hatoki ndani mpaka PC ipatikane.
Mtu unatafuta mali kwa jasho lako harafu anakuja mjinga mjinga anaiba kizembezembe tuu. Eboooo!!!
Kwasasa hapana kwakuwa siko huko tena...mimi sasa ni wa Kristo...zimebaki story
Tumsifu Yesu Kristo. Asee sasa umenibadilisha perception yangu. Tuko pamoja mkuuKwasasa hapana kwakuwa siko huko tena...mimi sasa ni wa Kristo...zimebaki story
Ni kwa NEEMA tuu tunaokolewa wala si kwa elimu ujuzi wala mali tulizo nazo! Ni kwa NEEMA tuuTumsifu Yesu Kristo. Asee sasa umenibadilisha perception yangu. Tuko pamoja mkuu
Ipakate, mbona sie tunapakata handbag zetu?Sasa ndo umetoka nayo job ukaona upitie maali je utaiacha wapi
, bora huyo alienda kupikaSehemu yoyote Dar haina muamana wa kuacha chochote ndani ya gari.
Kuna shoga'ngu alishachapwa nyanya na vitunguu aliviacha ndani ya gari lake.
this is 3rd worl country. hatubadiliiki over night, kama kuna wimbi la uhalifu wa design hiyo , inabidi uchukue tahadhari sana....jua ata kama una haraka zako..either kama unasehemu unapita acha pc ofisini uifwate kesho asubuhi, piga simu kwa eife aifwate njiani muonane, pita kwa jamaa ndugu au rafiki ambaye yupo maeneo ya karibu na unapoenda kula bata uiache...ila usipofanya ivyo...mijizi itakurudisha nyuma sana...Sasa ndo umetoka nayo job ukaona upitie maali je utaiacha wapi