Ukiwa kwenye madaraka ya kuendesha nchi kuna mengi sana unayoyajuwa kuliko ukiwa nje ya madaraka ya nchi, kuna mengine fitna kuna mengine kweli.
Nnakumbuka Kikwete aliwahi kusema kuna watu "wana viwanda vya uongo". Kwa hiyo usifikiri kila baya linafanywa na chama tawala, kuna watu wana mitego ili tu wakuchafulie. Pia kuna watu wako so "aggressive" wanaweza kufanya chochote ili wakupokonye tonge lako.
Fikra za kuwa mtu anakwenda kwenye kibanda cha kupigia kura huku analazimishwa mpigie fulani ni potofu. Waliochaguliwa ni watu na wamechaguliwa na watu kwa kura za halali kabisa.
Mbona kuna wapinzani bungeni, na wengi walikuwa CCM walipohamia upinzani wakachaguliwa vile vile? Kungekuwa kuna mabavu ungewaona akina Bulaya, Slaa, Shibuda bungeni?
Fikiri.
Siku upinzani ukikamata dola na kuanza kufukunyua madudu yaliyofanywa na JK, ndio mtaelewa maana ya ule uzi.Hata Magu nae leo hii he is doing the same ila anatumia madaraka yake kuziba watu midomo vikiwemo vyombo vya habari na hata Bunge.FaizaFoxy ukumbuke kujiunga ccm ni rahisi ila kufungamana na ccm si kazi rahisi. Ndani ya chama huwa kuna ccm core na hata nikuhakikishie mtu kama nape pamoja na wakati ule kuwa mwenezi, hakuweza kuaminiwa na core ya ccm baada ya 2010 yeye na Sitta kujaribu kunzisha CCK. Hii kitu ndiyo inamtafuna. Kwa mantiki hiyo usiwe na wasiwasi na watu kama Salary Slip, kwa mfano, watu wasiokuwa na itikadi ambao walitutangazia hapa kuwa JK tarehe atakayotoka madarakani atakuwa anaiadhimisha ingawa leo anatuaminisha kuwa alikuwa kiongozi wa kuigwa! Ajabu.
Hakuna hujuma yoyote. Ukisoma ilani ya uchaguzi ya CCM utagundua kuwa awamu hii imefikia katika kupambana na ufisadi na hata kwenye ilani kuna mpaka kufunguliwa mahakama ya ufisadi. Na ndicho serikali inachokifanya.
Serikali inajitahidi kupambana na kuzini mia nay ya ufisadi (corruption). Unataka kunambia hakuna wana CCM walioshikwa kwa ufisadi?
Bado hujanijibu, bandarini ukienda kuitoa mizigo yako unaulizwa kadi ya CCM?
Ndugu yangu,hapa duniani ni bora wapagani kuliko sisi wenye deni hasa wanaojifanya wao ndio wacha Mungu.Uzi umejaaa mahaba badala ya fact,,,mtoa mada unajua fika Wapinzani wamefungwa mikono halafu wanapambana na mtu mwenye silaha zote polisi,tume,pesa na jeshi unategemea nini?
Halafu wewe ni muislamu enhee basi nadhani utakua unajua adhabu za Wanafki.
Kwa mtu yeyote aneifahamu Kusini ya mkoa wa Dar Es Salaam ataelewa kuwa ukianza kufika Mtoni (kwa Aziz Ali) kushuka Kusini utakutana na mchezo wa bao la kete (solo).
Bao la kete Kusini ya Tanzania ni mchezo unaochezwa na takriban jamii nzima, kuanzia watoto, vijana hadi wazee, wote, akina mama na akina baba. Bao lina aina ya michezo mingi tofauti. Lakini maarufu ni ule wa kusafiri, kutaka ta, kutembea, kulala na kuulinda Miraji. Ambao hufanyiwa mashindano ya kitaifa. Marehemu Mzee Nyerere alikuwa ni mpenzi wa mchezo huu wa bao.
Licha ya mchezo wa bao kuwepo takriban Tanzania nzima, lakini mchezo huo Kusini umekuwa maarufu zaidi kwa kuwa kwanza inajulikana wachongaji mabao mazuri ya nakshi ni wamakonde, na kusini ndiyo kwao. Pili, mikete, miti ambayo hudondosha kokwa za kete zinazochezewa bao ipo mingi Kusini.
Kwanini nimelikumbuka bao? Bao Lina mitago na mahesabu ya hali ya juu sana kwa wenye kulijuwa kulicheza vizuri, wanaweza kumtega mtu mpaka mizunguko mitano ijayo na kila mzunguko aliyetegwa atakuwa anahisi anashinda tu lakini ndiyo anazidi kumtengenezea njia ya ushindi aliyemtega.
CCM siku za nyuma kidogo imepokea wapinzani wengi sana waliotokea vyama vya upinzani kutoka kada mbali mbali, kuanzia washabiki na wanachama wa kawaida, wenyeviti wa serikali za mitaa, madiwani, wabunge na wengi wengine.
Jee, huu siyo mtego wa upinzani kupandikiza mapandikizi ya kuja kuisambaratisha CCM? Jee, CCM imetegwa ikategeka? CCM tunachezewa "chess" au bao?
Upinzani wa Tanzania unaweza kuwa na vichwa na mahesabu na mitago ya kisiasa kama mahesabu na mitego ya mabingwa wa bao kama Mzee Nyerere, vya kuweza kutega mizunguko mitano ijayo?
Ni tafakuri tu ya FaizaFoxy.
Ndugu yangu,hapa duniani ni bora wapagani kuliko sisi wenye deni hasa wanaojifanya wao ndio wacha Mungu.
Tena njaa zisizo na aibu na sababu kubwa ni kwamba wanaccm wengi vipato vyao siyo halaliHakuna wapinzani waliohamia ccm, ila kuna wapinzani waliomfuata Magufuli ndio maana wengi hata wakijaribu kuchangamana na wana CCM asilia wanaonekana kabisa hawana mikia.
Uhai wa Wanaccm Magufuli ni uwepo wa Magufuli, siku Magufuli akiondoka na wao hawana chao.
Ndio maana wanasema tunaunga mkono juhudi za Rais sio juhudi za CCM, wengi CCM hawaiheshimu kabisa sababu sio ndio iliyowapa kula.
Kuhusu CCM kutegwa, sijaona upinzani wenye nguvu hizo kwa sasa.... Maana mamluki lazima uwe na uwezo wa kumlipa....
Sasa wapinzani wenye uwezo wa kuwalipa mamluki hawapo kwa sasa.
Wanasiasa wetu wengi wao ni njaa tu.
CCM yangu halisi ni ile ya enzi za Mwalimu.Si kweli. Ingekuwa hivyo tusingeona wenyeviti wa serikali za mitaa, vijiji, madiwani na wabunge wa upinzani.
CCM ni chama cha kupigiwa mfano duniani.
ohooooo ohoooooo ohooooooooNamna ya kujenga hoja hotofautiana. Shule nilizosoma hazikufundisha ujinga.
Hata sisi BAKWATA tunaunga mono kauli yako Ndugu Faiza.Si kweli. Ingekuwa hivyo tusingeona wenyeviti wa serikali za mitaa, vijiji, madiwani na wabunge wa upinzani.
CCM ni chama cha kupigiwa mfano duniani.
Sioni dalili za upinzani kushika madaraka kwa sasa hadi utakapojitambua. Upinzani wa kweli ungekuwa upo kimya unajizatiti kwa kujijenga kwa ajili ya 2025. Lakini sioni mkakati huo sanasana nawaona mnabwabwaja na membe 2020 nk. Ni ndoto za arinacha kufikiria kuandaa sasa mpango wa 2020 ukashinda. Tatizo kubwa ni njaa inatusumbua siyo itikadiSiku upinzani ukikamata dola na kuanza kufukunyua madudu yaliyofanywa na JK, ndio mtaelewa maana ya ule uzi.Hata Magu nae leo hii he is doing the same ila anatumia madaraka yake kuziba watu midomo vikiwemo vyombo vya habari na hata Bunge.