Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
- Thread starter
- #101
Hatukatai Rais kukemea panapo husika, lakini kuhusu kuita vyuo vingine ni vya hovyo si jambo zuri, kuna vyuo nje ya Udsm vinafanya vizuri tu kwenye utoaji wa elimu
Na kama chuo hakina sifa kwanini kisifutwe, kwa sabab yeye anamamlaka yote
Na kama chuo hakina sifa kwanini kisifutwe, kwa sabab yeye anamamlaka yote
Busara sio kulalamika mitandaoni.
Unganeni na kama ikiwezekana mumualike walaukwenye mojawapo ya mahafali ya vyuo vyenu.
Yawezekana taarifa hizi zilifanyiwa kazi na kubaini alichokisema.
Ni kweli sekta binafsi INA mchango mkubwa katika kujenga nchi hasa katika Elimu ya juu .Je ni kwa kiwango/ubora gani?
Lakini je vyuo hivi vina rasilimali za kutosha katika utoaji wa Elimu (miundombinu,rasilimali watu,maabara, n.k?,vipi kuhusu mitaala wanayotumia inakidhi viwango?
Si vyema kuendelea kumchokonoa Mh.Rais kuhusu mambo yake ya kitaaluma,binafsi naona kama ni utovu wa nidhamu,wivu na ubinafsi wa wazi kwa kiongozi makini asiyeyumba.
Ifike madhala tukubali ukweli hata kama unauma,kama alichokisema Mh. Si sawa ,Je sawa ni IPI?