Wahusika wa quality control wako wapi hadi bosi wao anafoka hadharani ?Busara sio kulalamika mitandaoni.
Unganeni na kama ikiwezekana mumualike walau
kwenye mojawapo ya mahafali ya vyuo vyenu.
Yawezekana taarifa hizi zilifanyiwa kazi na kubaini alichokisema.
Ni kweli sekta INA mchango mkubwa katika kujenga nchi.
Lakini je vyuo hivi vina rasilimali za kutosha katika utoaji wa Elimu?
Si vyema kuendelea kumchokonoa Mh.Rais kuhusu mambo yake ya kitaaluma,binafsi naona kama ni utovu wa nidhamu,wivu na ubinafsi wa wazi kwa kiongozi makini asiyeyumba.
Ifike madhala tukubali ukweli hata kama unauma,kama alichokisema Mh. Si sawa ,Je sawa ni IPI?
Udsm wameweza kumpa PHD mtu asieweza kuongea kiingereza, chakushangaza alitumia lugha hiyo kujifunzia.
Udsm wameweza kumpa Phd ambayo alitakiwa asome kwa miaka 5 yeye kasoma miaka 3. Ni sawa na mtu apewe Degree ambayo alitakiwa asome miaka 3 yeye asome kwa mwaka mmoja.
PhD ya mafuta ya mawese
Kwa hiyo serikali inaruhusu watanzania kusoma vyuo vya hovyo kwa kiwango hicho. Basi kama ni kweli nayo itakuwa ni serikali ya hovyo!!!!Hukumuelewa Rais.
Kama hukusoma Udsm, Sua , Mzumbe, Mhimbili, IFM bas jua upo chuo cha hovyo.
Sehemu kubwa ya vyuo Tz havina resources za kutoa higher education.
But chuo bora syo graduate bora.
PhD ni abbreviation ya DOCTOR OF PHILOSOPHY, It is the highest academic degree conferred by a college or university.Kwani pHD maana yake ni nini hasa?
Mkuu huu ni usukuma.. Ndio hulka yao.. Wasamehe buleNyeyere alipiga Makerere alafu Edinburgh na hakuwahi kusikika akijivunia chuo alichosoma!
Mkuu naona ni wachache kama wewe waliomwelewa Mh Rais. Tulizoea kudanganywa na wana siasa hata kitu unaona cheusi lakini mwana siasa atakwambia ni cheupe na tunamshangilia. Inapokuja suala na ukweli huwa unachoma na ndiyo maana kunakuwa na majeraha.Kauli ya rais ina ukweli ndani yake na ni ukweli mchungu. Kuna kipind St. Joseph ilikuwa ina wanafunzi wengi wa Computer Science kuliko UDOM na UDSM. Hao wanafunzi iliwapata vipi? Tetesi kuwa wale wahindi walikuwa wanapiga dili na TCU ili wanafunzi wengi waende kwao inaleta mantiki. Sioni ni kwa vip mwanafunzi mwenye sifa, anaacha chuo chenye facilities zote kuanzia accomodation, qualified staff na teaching resources kama UDOM halafu aende St. Joseph Songea ambako madarasa na accomodation ni kama shule ya msingi.
Siungi mkono kuwa na Chuo Kikuu kimoja, lakini tuache nguvu ya soko ndo iamue nan anapata wanafunzi. Kuna vyuo vya private vinafanya vizuri sana na havina kelele kama St. Agustine-SAUT. Vyuo vingine vya kibabaishaji lazima vipigwe vita. Hatutaki vyuo ambavyo ni too business-oriented. We deserve business AND service oriented colleges.
Hivi kweli unaweza kuwa PhD holder usijue kingereza????Chuo cha hovyo hovyo ni chuo ambacho kinaweza kutoa mtu mwenye PhD na hajui kingereza.
University of Dsm- world ranking as at January 2017 was at 2043 position. (http://www.webometrics.info/en/detalles/udsm.ac.tz). Jamani hiki ndicho chuo, ambacho kodi zetu zinapelekwa pale. Sasa kwa nafasi hiyo kweli na kikiwa chuo cha umaa, ndio,mkuu anaweza kuviona vingine vya hovyohovyo? Havina ruzuku vinajiendesha, unatarajia viwe kwenye nafasi gani? Nilipokuwa na google, nimekitafuta kwenye vyuo mia mbili; wapi sikukiona. Nikatafuta kwenye mia tano, wapi? Nikatafuta kwenye elfu moja wapi? Nakujakukiona hukooooo!!! Nimeshangaa hata hivyo, na hatupaswi kujivuna kama nchiMkuu naona ni wachache kama wewe waliomwelewa Mh Rais. Tulizoea kudanganywa na wana siasa hata kitu unaona cheusi lakini mwana siasa atakwambia ni cheupe na tunamshangilia. Inapokuja suala na ukweli huwa unachoma na ndiyo maana kunakuwa na majeraha.
Idadi ya vyuo vikuu kwa Tanzania ni kubwa sana (tuatilia application za TCU) na vyuo vingi ukivitembelea kama ulivyosema ni vile vilikuwa sekondari zamani. Pia ukifuatilia hata profile za walimu utakuta wenye PhD na Profs ni part-time. Lazima tukubali kuwa kuna vyuo vya hovyo na si hapa TZ tu ni hata nchi nyingine.
Nilivyomwelewa Mh ni kwamba alitaka vyuo vi compete ili tupate vyuo bora na pia vile vibovu kuwe na natural death. Huwezi kuendelea ku distribute resources chache hata kwa vyuo vibovu. Mf. kwenye ranking UDSM huwa ipo juu, sasa vyuo vingine wanaweza kujifunza na kuona ni vipi UDSM imefikia hapo nao wakaja na mikakati ili wapande. Na hapo baadaye hata wizara wanaweza kuweka vigezo kwa uongozi kuwa wakiwezeshe chuo kipande otherwise uongozi unawashinda. vyuo vya nje vinafanya sana hizi competition na walio kuwa ranked highly wanapongezwa.
Unakoelekea unataka kupewa jibu lenye uchocheziHivi kweli unaweza kuwa PhD holder usijue kingereza????
ifm chuo cha ovyo piaHukumuelewa Rais.
Kama hukusoma Udsm, Sua , Mzumbe, Mhimbili, IFM bas jua upo chuo cha hovyo.
Sehemu kubwa ya vyuo Tz havina resources za kutoa higher education.
But chuo bora syo graduate bora.
Mbona hata serikali inashule nying za hovyo, private schools nying za hovyo.Kwa hiyo serikali inaruhusu watanzania kusoma vyuo vya hovyo kwa kiwango hicho. Basi kama ni kweli nayo itakuwa ni serikali ya hovyo!!!!
Kama unataka kujua kiingereza soma linguistic.Hivi kweli unaweza kuwa PhD holder usijue kingereza????
Yanini yote hiyo bwana? Kama unajua kingereza cha kujibu swali, ulilo ulizwa na profesa unahitaji kingereza gani jamani??Kama unataka kujua kiingereza soma linguistic.
Kwanini wadau hampendi kuambiwa ukweli na Raisi wetu juu ya kinachojiri nchini!?