Hakuna vyuo vikuu vya hovyo km vinavyomilikiwa na KKKT.

Hakuna vyuo vikuu vya hovyo km vinavyomilikiwa na KKKT.

Sangamwalogesha

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2025
Posts
2,153
Reaction score
1,346
Kanisa KKKT lina vyuo vikuu kadhaa hapa nchini, hili kanisa limejengwa ktk msingi wa ubinafsi uliopitiliza. Walianza na Tumaini University iliyokuwa Iringa, sasa hivi wameiita Iringa University, huwezi kuta neno Tumaini kwasababu askofu wa Iringa anaona km taasisi yake na ya wahehe.
Tumaini University sasa iko Makumira-Arusha. Tofauti kubwa ya vyuo vikuu vinavyomilikiwa na kanisa katoliki na hivi vya KKKT ni kwamba vyuo vikuu vya kanisa katoliki vinaongozwa na wasomi na utambulisho wao uko wazi, kuna Ruaha Catholic University(RUCU)- Uringa, Mwenge Catholic University(MWECAU)-Moshi kutaja baadhi.
Vyuo vya KKKT VC lazima awe mchungaji elimu yake ni Profesa wa aidha wa Agano Jipya, Kale. Ila kanisa katoliki ni wasomi wa fani mbalimbali zaidi ya Theology.
Sijui ni kwa namna gani TCU wanaruhusu huu upuuzi.
 
Wewe hujui tu, nadhani wakatoliki ndio wenye chuo vikuu vya hovyo. Nina ushahidi nimewahi kufanya kazi kwenye Moja ya chuo kikuu cha kikatoliki Nina miaka miwili tangu nimeondoka. Aiseeh! Wana roho mbaya wale watu.
 
nimepita pale RUCU zamani RUCO. hao wakatoliki unawasifia ni hawafai. na wanatanguliza hela mbele balaah. pale ilikuwa ukilipa ada au ukiwa na uhakika wa kulipa ada na michango yao mingi isiyo na maelezo basi unamaliza kabla hata ya wakati. nilisoma mwaka mmoja nikaachana nao na sikurudi tena. mwalimu ana degree anafundisha wanafunzi wa degree. si ujinga huo?
 
Kwani hivo vyuo makanisa hamlipagi ada?

Kama mnalipa nani ndo mnufaika, yani anaepata faida au anaetumbua hizo Hela?

JE nyinyi kondoo mlochangia ujenzi mnanufaika vipi?

Na makafir maskin wanaweza soma Bure?
 
Kanisa KKKT lina vyuo vikuu kadhaa hapa nchini, hili kanisa limejengwa ktk msingi wa ubinafsi uliopitiliza. Walianza na Tumaini University iliyokuwa Iringa, sasa hivi wameiita Iringa University, huwezi kuta neno Tumaini kwasababu askofu wa Iringa anaona km taasisi yake na ya wahehe.
Tumaini University sasa iko Makumira-Arusha. Tofauti kubwa ya vyuo vikuu vinavyomilikiwa na RC na hivi vya KKKT ni kwamba vyuo vikuu vya kanisa katoliki vinaongozwa na wasomi na utambukusho wao uko wazi, kuna Ruaha Catholic University(RUCU)- Uringa, Mwenge Catholic University(MWECAU)-Moshi kutaja baadhi.
Vyuo vya KKKT VC lazima awe mchungaji elimu yake ni Profesa wa aidha wa Agano Jipya, Kale. Ila RC ni wasomi wa fani mbalimbali zaidi ya Theology.
Sijui ni kwa namna gani wanaruhusu huu upuuzi.
Mjinga sana wewe.
DarTumaini University ina VC ambaye ni Professor Burton Mwamila.
Huyu tena ni Mhandisi.
Tafuta ugoro na ujinga wako na ukautafunie kwenu.
 
nimepita pale RUCU zamani RUCO. hao wakatoliki unawasifia ni hawafai. na wanatanguliza hela mbele balaah. pale ilikuwa ukilipa ada au ukiwa na uhakika wa kulipa ada na michango yao mingi isiyo na maelezo basi unamaliza kabla hata ya wakati. nilisoma mwaka mmoja nikaachana nao na sikurudi tena. mwalimu ana degree anafundisha wanafunzi wa degree. si ujinga huo?
Kwamba Wana michango nje ya Ile wanayotangaza kwenye joining Instructions?
 
Yaani hapo mwishoni ulipomalizia wewe unaona umeandika bonge la point kumbe ujinga tu.
 
Wewe hujui tu, nadhani wakatoliki ndio wenye chuo vikuu vya hovyo. Nina ushahidi nimewahi kufanya kazi kwenye Moja ya chuo kikuu cha kikatoliki Nina miaka miwili tangu nimeondoka. Aiseeh! Wana roho mbaya wale watu.
Jaribu kuficha ujinga wako mara moja moja..
 
Back
Top Bottom