Tafakuri: Vyuo vya hovyo hovyo ni vyuo gani?

Mtu kasoma UDSM anaringa kama nini angesoma Harvard University au Oxford si tungekoma sisi tuliosoma sauti, halafu mtu mwenyewe alianzia diploma ndio akaenda bachelor na sisi tulioenda bachelor moja kwa moja mbona hatumringii, vitu vingine vinatia hasira sana
Umekosea, secondary alifukuzwa Seminary kwa kushindwa kumeet standard zao ndo akaenda private secondary. 1967 to 1984 and went on to Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and completing in 1978.
 
Wakuu heri ya jumatatu ya pasaka

Naomba tushirikiane kuhusu mtazamo wa Rais

Mh.Rais anaamini UDSM ndio chuo pekee kinachostahili kuitwa chuo kikuu
Labda kwasababu naye kabahatika kusoma ud

Lakini kauli zake km kiongoz wa nchi kuvidhalilisha vyuo vingine kuwa ni vibovu na havina sifa je ni sawa?

Juzi wakat ana zindua hostel alisema haina haja ya kuwa na vyuo vingine ambavyo vinadahili wanafunz ilimrad wapate mkopo serkalini tu

Kiukweli Rais hakutakiwa kuvidhalilisha vyuo,
Yeye km kiongozi wa nchi alitakiwa azihamashe na kuzitia moyo taasis za dini na mashirika yaliyoamua kuwekeza katika elimu

Rais anaonekana Bado ana mitazamo ya 80's kwamba chuo kikuu ni UDSM pekeyake

Mh Rais ajue kuwa wanafunz wanaohitimu high school kwa sasa ni wengi sana tofaut na miaka ya nyuma

Hivyo alitakiwa awashukuru watu walioamua kuwekeza katika elimu ya juu badala ya kuwakatisha tamaa

Mh. Rais anatakiwa aelewe na atambue umuhimu wa sekta binafs ndio wenye mchango mkubwa katika Maendeleo ya Taifa

Mh Rais nchi ya Gambia yenye chuo kikuu kimoja tu ndio nchi inayoshikilia mkia kwa ujinga duniani

Mh. Rais jenga mazoea ya kuwatia watu moyo wanaojitolea kwa nguvu zao kusaidia kuijenga nchi yao

Mimi ni mluther, nakumbuka miaka ya 2000's kila jumapili kulikuwa na kikapu cha sadaka kwa ajili ya ujenz wa vyuo vikuu vya Tumaini Tanzania, sasa Tanzania Kuna vyuo vikuu vya Tumaini km viwili Hivi na branch mbili

Naamini hata saut kupitia kanisa Lao la Catholic walichanga ivyo ivyo

Mh. Rais jenga utamaduni wa kuwapongeza na kuwatia moyo wananchi, Usiwe mtu wakuwakatisha tamaa

Tunajua unamamlaka makubwa, lakini jamii inayoheshimiana huishi kwa upendo na Amani zaid

Nyerere mpaka tunamuimba na kumskiliza ni kwa sabab hakuwa mtu wa kujikwezwa

Nyerere angeweza kutumia elimu yake kubwa alyoipata makerere na uingereza kutuadhibu wananchi

Sijawahi kusikia kwenye hotuba zake akizungumzia elimu yake

Napenda nchi yangu Tanzania
Wa ajabu ajabu nchi hii haijawahi kupata..
 
Udsm wameweza kumpa PHD mtu asieweza kuongea kiingereza, chakushangaza alitumia lugha hiyo kujifunzia.

Udsm wameweza kumpa Phd ambayo alitakiwa asome kwa miaka 5 yeye kasoma miaka 3. Ni sawa na mtu apewe Degree ambayo alitakiwa asome miaka 3 yeye asome kwa mwaka mmoja.
Bernard Saa nane yupo wapi Mkuu?
 
a61f27af3dd51929da67e9b48151932a.jpg
 
Wakuu heri ya jumatatu ya pasaka

Naomba tushirikiane kuhusu mtazamo wa Rais

Mh.Rais anaamini UDSM ndio chuo pekee kinachostahili kuitwa chuo kikuu
Labda kwasababu naye kabahatika kusoma ud

Lakini kauli zake km kiongoz wa nchi kuvidhalilisha vyuo vingine kuwa ni vibovu na havina sifa je ni sawa?

Juzi wakat ana zindua hostel alisema haina haja ya kuwa na vyuo vingine ambavyo vinadahili wanafunz ilimrad wapate mkopo serkalini tu

Kiukweli Rais hakutakiwa kuvidhalilisha vyuo,
Yeye km kiongozi wa nchi alitakiwa azihamashe na kuzitia moyo taasis za dini na mashirika yaliyoamua kuwekeza katika elimu

Rais anaonekana Bado ana mitazamo ya 80's kwamba chuo kikuu ni UDSM pekeyake

Mh Rais ajue kuwa wanafunz wanaohitimu high school kwa sasa ni wengi sana tofaut na miaka ya nyuma

Hivyo alitakiwa awashukuru watu walioamua kuwekeza katika elimu ya juu badala ya kuwakatisha tamaa

Mh. Rais anatakiwa aelewe na atambue umuhimu wa sekta binafs ndio wenye mchango mkubwa katika Maendeleo ya Taifa

Mh Rais nchi ya Gambia yenye chuo kikuu kimoja tu ndio nchi inayoshikilia mkia kwa ujinga duniani

Mh. Rais jenga mazoea ya kuwatia watu moyo wanaojitolea kwa nguvu zao kusaidia kuijenga nchi yao

Mimi ni mluther, nakumbuka miaka ya 2000's kila jumapili kulikuwa na kikapu cha sadaka kwa ajili ya ujenz wa vyuo vikuu vya Tumaini Tanzania, sasa Tanzania Kuna vyuo vikuu vya Tumaini km viwili Hivi na branch mbili

Naamini hata saut kupitia kanisa Lao la Catholic walichanga ivyo ivyo

Mh. Rais jenga utamaduni wa kuwapongeza na kuwatia moyo wananchi, Usiwe mtu wakuwakatisha tamaa

Tunajua unamamlaka makubwa, lakini jamii inayoheshimiana huishi kwa upendo na Amani zaid

Nyerere mpaka tunamuimba na kumskiliza ni kwa sabab hakuwa mtu wa kujikwezwa

Nyerere angeweza kutumia elimu yake kubwa alyoipata makerere na uingereza kutuadhibu wananchi

Sijawahi kusikia kwenye hotuba zake akizungumzia elimu yake

Napenda nchi yangu Tanzania
Bahati mbaya mentality hiyo hata Ndali anayo
 
Mkuu wetu Bado anamtazamo hasi kuhusu sekta binafsi

Hajui lolote huyo. Tatizo hata nje hasafiri hivyo ataendelea kuwa mbumbumbu. Japan ina vyuo zaid ya 900. South Africa zaid ya 30. Yeye angependa tubaki na chuo kimoja ili wizara yake ya ujenzi iendelee kupata fedha zaid. Shame on us.
 
Hivi yeye ndio aliyesema neno kata ni muunganiko wa maneno mawili yaani neno "ka" na neno "ta"?
Hahahahhahahahaahhahhhhahaahhahahahahhhahahaahhahaahah hahahahahhahahahahaaahahaahhahahaahahahaaahhahahahahahahahahhahahaahahahahahaahaahahaahaaahahahahahahaaaaahhahhahaaauahahahahaahahhhahhahhaahahahahahaahahahahahahahahhaahahahahahahahhahahahaahahahahahahahahahaaahaahhahahahahaahahahahahahaahahahahahahahahhahahahhaahhahaaahaahhahahaahahah
 
hii sio kwa mkuu tu wengi hudhani kusoma ud ndo kunawafanya kuwa bora

umesoma ud chuo cha maana sawa ila kichwani bashite bashite inasaidia nini badala ya kuonesha uwezo unabaki sifia chuo tu
 
Umekosea, secondary alifukuzwa Seminary kwa kushindwa kumeet standard zao ndo akaenda private secondary. 1967 to 1984 and went on to Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and completing in 1978.
Hilo la kufukuzwa seminary naonaga watu wanalifunikafunika, wanaogopa kabisa kulizungumzia. Ila nashukuru hayupo kwenye kundi la ex seminarians maana angetutia aibu na mambo yake ya ovyo.
 
Back
Top Bottom