Tafakuri: Vyuo vya hovyo hovyo ni vyuo gani?

Tafakuri: Vyuo vya hovyo hovyo ni vyuo gani?

Kama kweli amesema hivyo (sikufuatilia hotuba yake live) tumsamehe ameteleza! Ulimi hauna mfupa!
Naamini siku nyingine atawatia moyo na kuwashauri cha kufanya! Hivi tusingekuwa na vyuo vikuu vya binafsi ingekuwaje? Kuhusu Nao kupewa mikopo ni kwa kuwa wanaosoma huko ni watanzania na wanakopeshwa na watanzania kupitia kodi zao, na wakihitimu watawatumikia watanzania! tatizo liko wapi?
 
Kauli kama hizi zinazotoka kwa Rais ni aibu kwa Taifa. Rais mbaguzi sana huyu. Molali ya private sector itatoka wapi kama Rais anatoa kejeli na majimbo ya hovyo hovyo dhidi yao?. Rais ashauriwe hata kwa nguvu japo hashauriki.
Nani atamshauri sasa??
 
Udsm wameweza kumpa PHD mtu asieweza kuongea kiingereza, chakushangaza alitumia lugha hiyo kujifunzia.

Udsm wameweza kumpa Phd ambayo alitakiwa asome kwa miaka 5 yeye kasoma miaka 3. Ni sawa na mtu apewe Degree ambayo alitakiwa asome miaka 3 yeye asome kwa mwaka mmoja.
PhD ni miaka mitatu tu ndugu. Wanaosoma miaka mitano ni wale walioshindwa kumaliza kwa wakati. Either kwa sababu binafsi za mwanafunzi au za chuo husika na pia inategemea na matakwa ya supervisor.
 
Mtu kasoma UDSM anaringa kama nini angesoma Harvard University au Oxford si tungekoma sisi tuliosoma sauti, halafu mtu mwenyewe alianzia diploma ndio akaenda bachelor na sisi tulioenda bachelor moja kwa moja mbona hatumringii, vitu vingine vinatia hasira sana
At a Mimi nashangaa,wakina chenge wamesoma Harvad wapo kimya!
 
Inatakiwa vyuo binafsi kuunda umoja wao, nakupinga hio kauli kwasababu ni "character assassination" kwa vyuo vyote vya private.pia kumushauri raisi na kumuelimisha umuhimu na mchango wa private sector katika elimu ya Tanzania. washauri wa raisi hawafanyi kazi zao uenda wana muongopa. nawakika JPm anadhamira njema katika nchi hii tatizo niwashauri au wataalamu wa elimu.kujipendekeza nakutosema ukweli"you can't do away with private sector in education" kwa mufano nchi ya uingereza ina vyuo 580 kati yahivyo 315 ni vya watu binafusi. jingine nikwamba raisi lazma ajue sio kila chuo kilingane na Udsm ya miaka 50 na zaidi hapana!!!!!
 
Mimi huyo mtu nishamwachia mungu,hawezi akabadilika,hawezi akadopt na mahali alipo,bado ana fikra za kizamani mno,
lakini kina pengo watamkomalia hawezi kuua vyuo vinavyowaingizia pesa kirahisi rahisi na kanisa likae kimya
Huyo kweli ni kumwachia mungu ... maana mpaka leo anajihisi yeye bado ni waziri wa Ujenzi ...
 
Kama kuna shule za msingi na sekondari zisizo za serikali ambazo zinafanya vizuri kuliko shule za umma basi viko pia vyuo vikuu ambavyo ni bora kuliko vya serikali. Duniani kote hakuna sera za kuvipendelea vyuo vya serikali.
I accept kuna vyuo hovyo vya serikali kama UDOM.
Tatizo vyuo vya private vipo kibiashara na vinakimbilia kutoa degree bila kuwa na resource.
Vyuo ving vya private vinauwezo wa kutoa diploma tu but still vina force kutoa degree.

Vyuo vyote vya private hapa bongo n hovyo pamoja na baadhi ya vya serikali.
Bongo vyuo vyenye uwezo wa kutoa degree n sita tu. Vingine vinalzamisha.
 
Ushauri mzuri mkuu, naamini Rais hupita huku atasikiliza

Inatakiwa vyuo binafsi kuunda umoja wao, nakupinga hio kauli kwasababu ni "character assassination" kwa vyuo vyote vya private.pia kumushauri raisi na kumuelimisha umuhimu na mchango wa private sector katika elimu ya Tanzania. washauri wa raisi hawafanyi kazi zao uenda wana muongopa. nawakika JPm anadhamira njema katika nchi hii tatizo niwashauri au wataalamu wa elimu.kujipendekeza nakutosema ukweli"you can't do away with private sector in education" kwa mufano nchi ya uingereza ina vyuo 580 kati yahivyo 315 ni vya watu binafusi. jingine nikwamba raisi lazma ajue sio kila chuo kilingane na Udsm ya miaka 50 na zaidi hapana!!!!!
 
Wakuu heri ya jumatatu ya pasaka

Naomba tushirikiane kuhusu mtazamo wa Rais

Mh.Rais anaamini UDSM ndio chuo pekee kinachostahili kuitwa chuo kikuu
Labda kwasababu naye kabahatika kusoma ud

Lakini kauli zake km kiongoz wa nchi kuvidhalilisha vyuo vingine kuwa ni vibovu na havina sifa je ni sawa?

Juzi wakat ana zindua hostel alisema haina haja ya kuwa na vyuo vingine ambavyo vinadahili wanafunz ilimrad wapate mkopo serkalini tu

Kiukweli Rais hakutakiwa kuvidhalilisha vyuo,
Yeye km kiongozi wa nchi alitakiwa azihamashe na kuzitia moyo taasis za dini na mashirika yaliyoamua kuwekeza katika elimu

Rais anaonekana Bado ana mitazamo ya 80's kwamba chuo kikuu ni UDSM pekeyake

Mh Rais ajue kuwa wanafunz wanaohitimu high school kwa sasa ni wengi sana tofaut na miaka ya nyuma

Hivyo alitakiwa awashukuru watu walioamua kuwekeza katika elimu ya juu badala ya kuwakatisha tamaa

Mh. Rais anatakiwa aelewe na atambue umuhimu wa sekta binafs ndio wenye mchango mkubwa katika Maendeleo ya Taifa

Mh Rais nchi ya Gambia yenye chuo kikuu kimoja tu ndio nchi inayoshikilia mkia kwa ujinga duniani

Mh. Rais jenga mazoea ya kuwatia watu moyo wanaojitolea kwa nguvu zao kusaidia kuijenga nchi yao

Mimi ni mluther, nakumbuka miaka ya 2000's kila jumapili kulikuwa na kikapu cha sadaka kwa ajili ya ujenz wa vyuo vikuu vya Tumaini Tanzania, sasa Tanzania Kuna vyuo vikuu vya Tumaini km viwili Hivi na branch mbili

Naamini hata saut kupitia kanisa Lao la Catholic walichanga ivyo ivyo

Mh. Rais jenga utamaduni wa kuwapongeza na kuwatia moyo wananchi, Usiwe mtu wakuwakatisha tamaa

Tunajua unamamlaka makubwa, lakini jamii inayoheshimiana huishi kwa upendo na Amani zaid

Nyerere mpaka tunamuimba na kumskiliza ni kwa sabab hakuwa mtu wa kujikwezwa

Nyerere angeweza kutumia elimu yake kubwa alyoipata makerere na uingereza kutuadhibu wananchi

Sijawahi kusikia kwenye hotuba zake akizungumzia elimu yake

Napenda nchi yangu Tanzania
ahsante, Mungu utuhurumie
 
Back
Top Bottom