Tafakuri: Vyuo vya hovyo hovyo ni vyuo gani?

Tafakuri: Vyuo vya hovyo hovyo ni vyuo gani?

Tutawalaumu ccm siku zote kwa kutuletea huyu mtu, ila uzuri ni kwamba vitendo vyake vinawaumiza na ccm wenyewe
Lile zee lina roho mbaya kupitiliza
Wakuu heri ya jumatatu ya pasaka

Naomba tushirikiane kuhusu mtazamo wa Rais

Mh.Rais anaamini UDSM ndio chuo pekee kinachostahili kuitwa chuo kikuu
Labda kwasababu naye kabahatika kusoma ud

Lakini kauli zake km kiongoz wa nchi kuvidhalilisha vyuo vingine kuwa ni vibovu na havina sifa je ni sawa?

Juzi wakat ana zindua hostel alisema haina haja ya kuwa na vyuo vingine ambavyo vinadahili wanafunz ilimrad wapate mkopo serkalini tu

Kiukweli Rais hakutakiwa kuvidhalilisha vyuo,
Yeye km kiongozi wa nchi alitakiwa azihamashe na kuzitia moyo taasis za dini na mashirika yaliyoamua kuwekeza katika elimu

Rais anaonekana Bado ana mitazamo ya 80's kwamba chuo kikuu ni UDSM pekeyake

Mh Rais ajue kuwa wanafunz wanaohitimu high school kwa sasa ni wengi sana tofaut na miaka ya nyuma

Hivyo alitakiwa awashukuru watu walioamua kuwekeza katika elimu ya juu badala ya kuwakatisha tamaa

Mh. Rais anatakiwa aelewe na atambue umuhimu wa sekta binafs ndio wenye mchango mkubwa katika Maendeleo ya Taifa

Mh Rais nchi ya Gambia yenye chuo kikuu kimoja tu ndio nchi inayoshikilia mkia kwa ujinga duniani

Mh. Rais jenga mazoea ya kuwatia watu moyo wanaojitolea kwa nguvu zao kusaidia kuijenga nchi yao

Mimi ni mluther, nakumbuka miaka ya 2000's kila jumapili kulikuwa na kikapu cha sadaka kwa ajili ya ujenz wa vyuo vikuu vya Tumaini Tanzania, sasa Tanzania Kuna vyuo vikuu vya Tumaini km viwili Hivi na branch mbili

Naamini hata saut kupitia kanisa Lao la Catholic walichanga ivyo ivyo

Mh. Rais jenga utamaduni wa kuwapongeza na kuwatia moyo wananchi, Usiwe mtu wakuwakatisha tamaa

Tunajua unamamlaka makubwa, lakini jamii inayoheshimiana huishi kwa upendo na Amani zaid

Nyerere mpaka tunamuimba na kumskiliza ni kwa sabab hakuwa mtu wa kujikwezwa

Nyerere angeweza kutumia elimu yake kubwa alyoipata makerere na uingereza kutuadhibu wananchi

Sijawahi kusikia kwenye hotuba zake akizungumzia elimu yake

Napenda nchi yangu Tanzania
 
Kauli ya rais ina ukweli ndani yake na ni ukweli mchungu. Kuna kipind St. Joseph ilikuwa ina wanafunzi wengi wa Computer Science kuliko UDOM na UDSM. Hao wanafunzi iliwapata vipi? Tetesi kuwa wale wahindi walikuwa wanapiga dili na TCU ili wanafunzi wengi waende kwao inaleta mantiki. Sioni ni kwa vip mwanafunzi mwenye sifa, anaacha chuo chenye facilities zote kuanzia accomodation, qualified staff na teaching resources kama UDOM halafu aende St. Joseph Songea ambako madarasa na accomodation ni kama shule ya msingi.

Siungi mkono kuwa na Chuo Kikuu kimoja, lakini tuache nguvu ya soko ndo iamue nan anapata wanafunzi. Kuna vyuo vya private vinafanya vizuri sana na havina kelele kama St. Agustine-SAUT. Vyuo vingine vya kibabaishaji lazima vipigwe vita. Hatutaki vyuo ambavyo ni too business-oriented. We deserve business AND service oriented colleges.
Mkuu,tcu wanafanya kazi gani ofisini?,kwanini asi deal na haohao tcu kuliko kuja na kauli zile hadharani.yaleyale ya bashite kutaja wauza sembe hadharani kisha wakiitwa kuhojiwa inaonekana hawahusiki na wana achiwa.but mnakua mmesha wachafua.shukrani
 
30147dfc2012b1091f0b9c2cd76b2d60.jpg
 
Mkuu,tcu wanafanya kazi gani ofisini?,kwanini asi deal na haohao tcu kuliko kuja na kauli zile hadharani.yaleyale ya bashite kutaja wauza sembe hadharani kisha wakiitwa kuhojiwa inaonekana hawahusiki na wana achiwa.but mnakua mmesha wachafua.shukrani
TCU ya Mgaya ilikuwa ya wapiga dili. Rais hajavunja TCU, anawahimiza wafuate utaratibu waliojiwekea. Nchi yetu kuna rushwa kila mahali, si ajabu kwa utendaji wa TCU kudhoofika sababu ya rushwa. Kuhusu kudeal na TCU moja kwa moja, suala la ubora wa Elimu halihitaji siri. Waombaji wajue, vyuo vinavyopiga dili vijue vimeshtukiwa.
 
TCU ya Mgaya ilikuwa ya wapiga dili. Rais hajavunja TCU, anawahimiza wafuate utaratibu waliojiwekea. Nchi yetu kuna rushwa kila mahali, si ajabu kwa utendaji wa TCU kudhoofika sababu ya rushwa. Kuhusu kudeal na TCU moja kwa moja, suala la ubora wa Elimu halihitaji siri. Waombaji wajue, vyuo vinavyopiga dili vijue vimeshtukiwa.
Mkuu,ipo haja kweli ya kuendelea kua na vyuo vya hovyohovyo?,kama havikidhi vigezo kwa faida waswahili wenzetu kwanini viendelee kuwepo?.
 
Ila jamani tuache unafiki kuna vyuo vya ajabu sana, Kama TEKU, St Jose, st john, sauti, Arusha university na mount meru mpaka najiuliza hawa kwa nini wanachukua watoto wawatu!!
Yani hivyo vyuo vilijisajiri vyenyewe? alafu unatumia vigezo gani? ku hukumu vyuo vya hovyohovyo na vizuri?
 
Nyeyere alipiga Makerere alafu Edinburgh na hakuwahi kusikika akijivunia chuo alichosoma!

Tena Edinburgh alikuwa Mwafrica wa kwanza kupata Masters pale, ingekuwa ndo Huyu Magu angetuogesha matusi mazito wote tuliosomea Africa Masters zetu!
 
PhD ni miaka mitatu tu ndugu. Wanaosoma miaka mitano ni wale walioshindwa kumaliza kwa wakati. Either kwa sababu binafsi za mwanafunzi au za chuo husika na pia inategemea na matakwa ya supervisor.

Miaka mitatu ni kwa anaesoma full time.

John Mpiga mbizi ( JPM) kasoma Phd akiwa Kazini hivyo hakuwa full time jee iliwezekanaje?
 
Back
Top Bottom