mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,760
- 35,205
Leo umeamua kugusa jipu la karne Infantry Soldier dah! Yaani natamani uijue hii CWT kiundaniš£š£š£
Kwa kweli wanaonewa sana, halafu hawapati manufaa yeyote.Wanapewa t-shirt kwisha wanabaki wakichekelea kumbe wanapigwa
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Dunia ina- operate kwa principles usidhani mambo yanaendaenda tu! Wewe unadhani kwa nini Tanzania tunasema uchumi unakua lakini Vijana wanalia ajira hakuna?!Boss, hongera wewe kwa kuwa na kichwa kilichojaa ufahamu...
Na walipoona yule CAG makini na mtu wa Mungu wakaamua kumla kichwa ili kuondoa udhia...Ushaona hesabu za SUMA?
Ulishaona hesabu za NSSF?
Ulishaona hesabu za mashirika yeyote ya serikali?
Nakusisitizia ni HASARA TUPU!
Nenda kasome financial reports halafu uje hapa
Kuwa na majengo makubwa pia ni malengo ya CWT? Kama jibu ni ndiyo basi wanaweza kuwa na kitengo cha ujenzi pia...CWT na SUMA JKT ni taasisi mbili tofauti zenye malengo tofauti.
Kazi ya CWT ambacho ni chama cha wakimu kilichoanzishwa na walimu ) ni kumtetea mwalimu na kuhakikisha anapewa haki zake kutoka kwa Mwajiri wake ( serikali ).
Wakati SUMA JKT siyo chama cha kiharakati ila ni Shirika la Uzalishaji Mali la JKT- SUMA JKT.
CWT imeshapoteza DIRA. Imekuwa ni kama BAKWATA.Kuwa na majengo makubwa pia ni malengo ya CWT? Kama jibu ni ndiyo basi wanaweza kuwa na kitengo cha ujenzi pia...
Kuwa na majengo makubwa pia ni malengo ya CWT? Kama jibu ni ndiyo basi wanaweza kuwa na kitengo cha ujenzi pia...
Kwanini wanajeshi wazalishe mali lakini walimu wasizalishe mali?CWT na SUMA JKT ni taasisi mbili tofauti zenye malengo tofauti.
Kazi ya CWT ambacho ni chama cha wakimu kilichoanzishwa na walimu ) ni kumtetea mwalimu na kuhakikisha anapewa haki zake kutoka kwa Mwajiri wake ( serikali ).
Wakati SUMA JKT siyo chama cha kiharakati ila ni Shirika la Uzalishaji Mali la JKT- SUMA JKT.
Whaaaaat?
Hasara na faida ni sehemu ya biashara bossUshaona hesabu za SUMA?
Ulishaona hesabu za NSSF?
Ulishaona hesabu za mashirika yeyote ya serikali?
Nakusisitizia ni HASARA TUPU!
Nenda kasome financial reports halafu uje hapa
Umenikumbusha enzi za nyerere,,nilivyokula hela za mashirika ya umma,,asee nilipiga pesa hatariSUMA JKT hakuna faida mle
Mle ni kitengo cha wakubwa kujipigia
Suma JKT is a useless money burning department
Na huo ushauri unaotoa kwa CWT the same fate...mali ya jumuia si mali ya yeyote,watapiga kama ilivyo kawaida
NSSF ni kipigo kwenda mbele...
Kampuni zote za serikali ni hasara,vipigo vitupu hakuna kampuni inamilikiwa kijumuia au serikali ilishawahi jenga faida popote
Mahasara matupu haya
Kumbuka pia CWT sio mali ya serikali mkuu bali kile ni chama cha kutetea haki na maslahi ya walimu.SUMA JKT hakuna faida mle
Mle ni kitengo cha wakubwa kujipigia
Suma JKT is a useless money burning department
Na huo ushauri unaotoa kwa CWT the same fate...mali ya jumuia si mali ya yeyote,watapiga kama ilivyo kawaida
NSSF ni kipigo kwenda mbele...
Kampuni zote za serikali ni hasara,vipigo vitupu hakuna kampuni inamilikiwa kijumuia au serikali ilishawahi jenga faida popote
Mahasara matupu haya
Thanks...Haya ndio mawazo mazuri
Mawazo ya kitoto haya.Habari zenu waheshimiwa wa humu jamiiforums.
Eti ndugu zangu;
Kwani umoja wa walimu hawawezi kumiliki kampuni/kitengo chao cha ujenzi wakawa wanajenga shule zao wenyewe (Primary & Secondary) kama wafanyavyo SUMA JKT?
Kwanini tenda apewe mkandarasi mwingine wakati walimu wanaweza kuunda umoja wao kisha wakafungua kampuni kuuuubwa sana ya ujenzi wakawa wanachukua tenda za ujenzi wa shule za msingi pamoja na secondary.
Kwani CWT si ni chama cha walimu Tanzania? Au mimi ndio sijui? Yale makato wanayoyapata kutoka kwa walimu si wanaweza kukusanya mtaji wa kutosha wa kufungua kampuni ya ujenzi na kuwa wanapiga pesa ya maana?
NB: Mimi Infantry Soldier sio askari jeshi wala mtumishi wa ofisi yoyote ya serikali bali ni raia mwema ninayeipenda sana Tanzania yangu.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Hongera wewe mwenye mawazo ya kikubwa boss...Mawazo ya kitoto haya.
Kwani CWT ilijenga jengo la kitega uchumi kwa hela ipi?Mwalimu atatumia hela gani na kwa msukumo upi
Wapi nimezungumzia habari za chakula?Halafu kwako wewe chakula chote unachokula kwa nini usilime mwenyewe?
Huo ni corellative example.Wapi nimezungumzia habari za chakula?
Mbona walipojenga jengo la kitega uchumi hamkuwapinga? Tena wakaamua kuweka na ofisi zao humo humo...!!!Huo ni corellative example.
Kama waalimu inabidi wajenge shule, basi hata wewe ulime unachokula.