Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,032
- 153,782
Ni mara ya kwanza mafuriko kutukia Tanzania?
Nilichokuuliza ni uthibitisho, ambao hujautoa.
Mafuriko yanaweza kuwa si ya kwanza, lakini hilo halimaanishi kwamba threshold level au another triggering factor ishawahi kutokea.
Why did the one straw break the camels back? The million other straws below it.
By the way, hata kama huu ugonjwa ulikuwa upo, ni wajibu wa wanahabari kuhabarisha jamii. Watu wanakufa, ugonjwa hauna dawa, unataka mgonjwa kuwahishwa hospitali. Hata kama ulikuwepo tu na kinachotokea ni kuripotiwa zaidi, sioni kitu kibaya hapo.
In fact tunahitaji wanahabari waripoti zaidi, sio ku minimize magonjwa tanayoua watu kama."ya.kawaida tu". Ukiwa kitandani wewe unataka kufa ugonjwa huu huu utakuwa si.wa kawaida.
Pia, kwa nini watu wafanye self incriminating diversion?
Kwani wakitupa habari za dengue fever ndiyo hayo ya BOT hayawezi kuzungumzwa?
You can't chew gum and walk?
Again,
Toa uthibitisho kwamba hizi habari zinapandishwa makusudi kwa sababu za kisiasa.
Ama sivyo utakuwa umetupa sababu wengine kufikiri kwamba wewe ndiye unataka kutumia ugonjwa na vifo vya watu kisiasa kwa uchu kama mchawi anayekula nyama za watu bila kujali utu.
