Tafakuri chokonozi: Ni dengu, dengi, au ni propaganda?!

Tafakuri chokonozi: Ni dengu, dengi, au ni propaganda?!

Nakatika mazingira yakawaida hili linaweza kutendeka hapa tz tena kwa kiwango cha juu kabisa

Embu acheni kutengeneza conspiracy theories zisizona mishiko. Do you know what it takes to have a laboratory capable of "creating" a lethal virus! Have you any idea of the gene mapping, slicing, unzipping, conjugations and arrangement of the 4 base sequences that create amino acids!?
We hardly have a level 3 biohazard lab in the country wewe unaongelea uwezo wa kutengeneza virus!
Such delusions of grandeur!! Uwezo wa viongozi wetu haujafikia hata status ya ku organise na kutengeneza kiwanda cha toothpick let alone a level 5 RD biomedical lab!
Dengue is real, take action!
 
Mkuu Riwa comment yako hapo juu imejitosheleza sana. Nitaendelea kukuheshimu sana. Mungu atakulipa kwa kazi hii. Huyu Yericko Nyerere anadhani kuwa mfuasi wa Chadema ndio kupinga kila kitu na kufanyia siasa hata ugonjwa ambao unaweza kumpata hata yeye au ndugu zake wa karibu.

Mkuu MSALANI huu ndio mchango wa bavicha kuvuruga nchi na watu, yani mtu kama huyu hakuna analo lijua zaidi ya kuwa mfuasi wa UKAWA
 
Leo mmekaa Dr akawapa ujinga kuhusu Dengue na kuja kuandika bila tafakuri,Sasa mnaibika na kujishushia hadhi zenu kisa kutumika.
 
Mohamedi mtoi waga nashindwa kujua akili yako ni ndogo kiasi gani hasa nikisoma comments zako, hivi wanafunzi wanakuelewa kweli? Kweli ukawa hakuna resource, sugu lema.
 
Nilichokuuliza ni uthibitisho, ambao hujautoa.

Mafuriko yanaweza kuwa si ya kwanza, lakini hilo halimaanishi kwamba threshold level au another triggering factor ishawahi kutokea.

Why did the one straw break the camels back? The million other straws below it.

By the way, hata kama huu ugonjwa ulikuwa upo, ni wajibu wa wanahabari kuhabarisha jamii. Watu wanakufa, ugonjwa hauna dawa, unataka mgonjwa kuwahishwa hospitali. Hata kama ulikuwepo tu na kinachotokea ni kuripotiwa zaidi, sioni kitu kibaya hapo.

In fact tunahitaji wanahabari waripoti zaidi, sio ku minimize magonjwa tanayoua watu kama."ya.kawaida tu". Ukiwa kitandani wewe unataka kufa ugonjwa huu huu utakuwa si.wa kawaida.

Pia, kwa nini watu wafanye self incriminating diversion?

Kwani wakitupa habari za dengue fever ndiyo hayo ya BOT hayawezi kuzungumzwa?

You can't chew gum and walk?

Again,

Toa uthibitisho kwamba hizi habari zinapandishwa makusudi kwa sababu za kisiasa.

Ama sivyo utakuwa umetupa sababu wengine kufikiri kwamba wewe ndiye unataka kutumia ugonjwa na vifo vya watu kisiasa kwa uchu kama mchawi anayekula nyama za watu bila kujali utu.

Kiranga, ni kwa uwezo gani walio nao hao viongozi wa CCM mpaka waweze ku plan na execute such a diversion!!?
Ni kuwapa sifa beyond their capabilities!! Na Yericko anafikiri kweli hii serikali inaogopa mass ya wa TZ kiasi eti cha kuplan attention diversion tactics! Hawa hawa wadanganyika ambao wamekua waki habarishwa ubadhilifu wooote wa serikali unaofanywa na bado wanaendelea kuwapigia kura kwenye chaguzi, ndio leo hii kwa kuogopa reaction yao ya bill 200 watengeneze propaganda ya dengue ku divert attention!
Give me a break Yericko!! You high on some drug!
 
mi machale yalishanicheza,eti hauna tiba at the same time wanakwambia dawa yake ni panadol na sio declofenac!!!mara hauna tiba mara ni panadol na maji mengi...get the f**k outta here.
 
Kiranga, ni kwa uwezo gani walio nao hao viongozi wa CCM mpaka waweze ku plan na execute such a diversion!!?
Ni kuwapa sifa beyond their capabilities!! Na Yericko anafikiri kweli hii serikali inaogopa mass ya wa TZ kiasi eti cha kuplan attention diversion tactics! Hawa hawa wadanganyika ambao wamekua waki habarishwa ubadhilifu wooote wa serikali unaofanywa na bado wanaendelea kuwapigia kura kwenye chaguzi, ndio leo hii kwa kuogopa reaction yao ya bill 200 watengeneze propaganda ya dengue ku divert attention!
Give me a break Yericko!! You high on some drug!

Unaona sasa?

Hapa kama kuna diversion naona Yericko ndiye anatupa diversion, kwa kushindwa kufuatilia mambo muhimu na kutupa diversion kwamba kuna diversion.
 
Yericko Nyerere Dengue ipo tena niseme serikali bado haijatoa tahadhari za kutosha. TBC imebaki kuwa TV ya Siasa ya Chama tawala. Wapo wananchi wengi hawana details za gonjwa hili tena wa hapa hapa Dar. Udhaifu na ulegelege tu. Kazi imewashinda.
 
kuanzia januari mwaka huu mpaka sasa jumla ya wagonjwa ni 400 na vifo vitatu....je kwa kipindi hiki hiki malaria imeua wangapi???
 
Jamani, kwanza umeanza kwa kusema kiongozi wa nchi hubeba taswira ya wanachi wake, hii tayari ni chuki kwa JK.. Kuhusu huu ugonjwa ngoja wanao/mkeo/ndugu zako wafe ndio utapata akili..
 
Wengi humu wanapiga kelele hakuna anayejibu kwa hoja. wengi wanamshambulia mtoa mada badala ya kushambulia mada.
 
Mkuu Yericko labda niwe muwazi zaidi kwamba hata ikibidi tatizo linaweza likatengenezwa maabara,likawepo kweli lakini kwa sababu hizo ulizosema,kudivert akili za watu kwa manufaa fulani.na tatizo linalotengenezwa makusudi ni baya,maana waliolitengeneza wanasubiri reaction yenu ya kuomba msaada ili waitumie kuwaweka kwapani kabisa.watu hawafahamu kuwa zipo maabara za kutengeneza matatizo na wapo wataalam waliosomea fani hiyo ambayo huwezi kuikuta kwenye mainstream education system.tatizo ni kwamba watu wengi hatufahamu kiwango cha juu cha uovu na usaliti ambacho wale tunaowaamini wamekifikia na wanatumia imani yetu kwao kutufanya misukule yao huku tukiwapigia makofi na kuwasifu sana..aargh!

juve2012, umetema madini yoooooote!!!!
Aiseeee
 
Kama Watanzania ni wajinga kiasi hicho basi hata hii habari wataichukulia kijinga hivyohivyo

Kuna kitu najiuliza sana

Hivi ni kwanini wanaosema Dengue ipo ni wale wanaokisapoti chama tawala kila siku hapa?

Nimeisikia hii habari ya ugonjwa huu,nikasubiri nisikie kama hauna dawa lakini kumbe una dawa

Watu wanasema kuhusiana na watu kufa.mbona watu wanakufa kwa malaria kila siku?

Nashindwa kuwaelewa hawa wanaoona dengue ni kitu kipya sana kiasi hicho

Wanaotuongoza ni binadamu hatari sana inapofika wakati ambapo maslahi yao yako hatarini

Muda utazungumza hili!!!!!
 
Back
Top Bottom