Tafakuri chokonozi: Ni dengu, dengi, au ni propaganda?!

Tafakuri chokonozi: Ni dengu, dengi, au ni propaganda?!

kuanzia januari mwaka huu mpaka sasa jumla ya wagonjwa ni 400 na vifo vitatu....je kwa kipindi hiki hiki malaria imeua wangapi???

Asante sana mkuu kwa swali hili .......

Na sijui kuna wagonjwa wangapi wa malaria walioambukizwa!!!!!!!
 
Yericko Nyerere Dengue ipo tena niseme serikali bado haijatoa tahadhari za kutosha. TBC imebaki kuwa TV ya Siasa ya Chama tawala. Wapo wananchi wengi hawana details za gonjwa hili tena wa hapa hapa Dar. Udhaifu na ulegelege tu. Kazi imewashinda.

Kwani kasema haipo?
 
Embu acheni kutengeneza conspiracy theories zisizona mishiko. Do you know what it takes to have a laboratory capable of "creating" a lethal virus! Have you any idea of the gene mapping, slicing, unzipping, conjugations and arrangement of the 4 base sequences that create amino acids!?
We hardly have a level 3 biohazard lab in the country wewe unaongelea uwezo wa kutengeneza virus!
Such delusions of grandeur!! Uwezo wa viongozi wetu haujafikia hata status ya ku organise na kutengeneza kiwanda cha toothpick let alone a level 5 RD biomedical lab!
Dengue is real, take action!
Aiseeeeee ........

Unaijua serikali na uwezo wake wote?
 
Nilipoona ile ripoti inayoonyesha Tanzania ni moja ya nchi kumi zenye IQ ndogo kabisa duniani, nilidhani ni hila tu za magharibi,

Lakini nilijifunza kuwa Kiongozi wa nchi ndiye hubeba taswira na aina ya watu wa taifa analoliongoza, Ikiwa taifa litampata kiongozi mpole basi nje ya taifa lake ataakisi upole wa watu wake,

Wakati ulaghai wa kikombe cha Ambilikile Mwaisapile kinaibuka, taifa lilikuwa kwenye mtafaruku wa kisiasa hasa madai ya katiba mpya na ufisadi mkubwa uliokuwa umeligubika genge la ccm na serikali yake, Kweli harambee ya serikali ilifanikiwa kuhamisha akili za Watz wote wakaelekea Loliondo isipokuwa mimi na wenzangu wachache tunaoona kwa jicho la tatu.

Leo ccm imebandwa na umma juu ya aina ya muungano wautakao, Umma unataka muungano wa serikali tatu, ccm na genge lake hawataki, wanataka taifa liendelee kutopea kwenye mauaji ya nashehe na mapadre pale Zanzibar, wanataka mfumo wa serikali mbili ulioshindwa kutatua matatizo ya muungano kwa miaka 50,

Na zaidi ccm na genge lake wameiba 200b katika akaubti maalumu ya Tanesco iliyopo BOT, hili ni tukio la wizi mkubwa zaidi kuliko ule wa EPA,

Lakini katika mkakati uleule wa kuzima kelele za umma, wameibuka na mzimu unaoitwa Dengue, unaotajwa kuwa ni ugongwa unaoambukizwa na mbu kwa lugha ya kikwetu ni 'suguni".

Haya ni maajabu ya tz, mbu huyu aibuke kuleta ugonjwa huo katika kipibdi hiki cha vuguvugu la ccm kukosa udhibiti wa nchi???

Mbu huyu mimi nimezaliwa kijijini kwetu namuoba, nimeishi nchi zenye baridi kali kama Urusi kwa miaka zaidi ya kumi nimemuona hasa kwenye mifugo aina ya kondoo wa sufi kule Kivey,

Nimeidmshi Uchina kwa miaka kadhaa mbu huyu yupo, na nimeng'atwa hasaa mitaa ya Suki, sijawahi kuona mtu kaugua na kuwa ni ni ugonjwa tishio kama propaganda ya ccm inavyotaka tuamini,

Nyumbani kwangu Mbutu Kiganboni hawa mbu ndio tunashinda nao na kulala nao kila kuchapo tangu na tangu,

Najiuliza hawa umbu wenye ugonjwa huo wametoka hapa wizara ya afya mtaa wa samora na shabani robert?

Inasemwa na inaaminika kuwa Watz ni wajinga na mazezeta kuliko nchi yoyote duniani, hili linajidhihirisha kuona tunatungiwa uongo eti kuna DENGUA, halafu 200b zinaibiwa, na kujaribu kuzima madai ya katiba ya umma inayotaka muungano wa Serikali tatu.

Nimefarijika kuona kuna watu wanawaza kama mimi, nimejaribu sana ku-connect dot juu ya huu ugonjwa na kinachoendelea nchi japo sijathibitisha uhakika wa jambo hili. Kama ninavyodhani ndivyo, basi Tanzania ina safari ndefu sana.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tuache utani na maisha ya watu... Dengue fever is not a hoax na sio lazima tusubiri yatufike kwenye familia zetu ndio tuyaone kuwa serious...
Kwa hili la Dengue fever tusiweke siasa... tafadhali. Zipo familia nyingi zinaomboleza sasa, wapo mamia ya watu wanaugulia maumivu... Masaa machache yaliyopita baba yangu mkwe katoka hospitali alikougulia maumivu makali ya dengue fever kwa siku kadhaa, so nikiona nyuzi kama hizi zinazobeza suala hili nafadhaika sana...

MKUU kipi kinachokufadhaisha ukweli kwako ni mchungu sana?

hakuna kisichowezekana najua wengi mnasoma.kwa juu juu nakushindwa kufahama kipi has a hapa ni chaajabu.
kufa kwa watu sio sababu ya msingi yakutufanya tuamini kuwa huu Egonjwa kweli nitishio .
swali iweje huu ugonjwa ushike kasi saa hizi has a ukishikiwa kidedea na media??

hata mwanao anaweza kufa Leo Hi na maleria nakwakuwa ushaaminishwa nakupandikizwa kitu kichwani mwako juu ya dungua basi ni shida.

harafu walivyokuwa wauwaji wanatwambia hauna Tiba na ukiumwa usinywe dawa hivi wanajamvi hii inawaingia akilini kweli??

h
 
Aiseeeeee ........

Unaijua serikali na uwezo wake wote?
Wewe hii serikali inayo resort to primitive tactics za kumphysically abuse mtu na kumtoa kucha kisa kuna kitu anapigania, hii serikali ambayo inadiriki kusema ikiwakamata mafisadi na drug dealers nchi itatetereka, hii serikali kila kukicha inaomba misaada mpaka ya panadol kutoka nchi za nje, hii serikali inayoongoza nchi yenye ardhi yenye rutuba, maziwa na bahari yenye samaki lukuki lakini bado wana import vyakula (e.g.samaki na kuku), hiihii serikali yenye zaidi ya asilimia 80 ya watu wake maskini na kiongozi wake mkuu anadiriki kusema hajui kwanini nchi yake ni maskini, hii serikali ambayo viongozi wake huiba mchana kweupe na kuuza madawa ya kulevya na kusema lakini kutokuchukuliwa hatua yeyote.
Ndio hii hii serikali na akili yako na kuvuka kwako darasa la saba unaamini inao uwezo wa kutengeneza virus iwape watu wake ili ku divert attention kutoka kwenye wizi wa hela!!!?
Am I in a nut house or what? This is an insult beyond boundaries in "the home of great thinkers"!
 
mkuu,siwezi kusema kwamba wana uwezo wa kutengeneza virus kutudhuru,hapana. ila huu ugonjwa upo kweli na ni hatari ila wanautumia ku-divert attention. usifikiri hawa watu[serikalini] ni wajinga sana chukulia mfano ile mikataba mibovu ya madini,watu wanafikiri hawa watu hawana akili kuingia mikataba ile sio kweli wanajua wanachofanya na wanafaidika na ubovu wa hio mikataba.

sasa wizara ya afya imetenga 500m kukabiliana na dengue fever[wakati tunajua kuna hospitali hazina hata panadol si mazingaombwe haya]....niambie kiasi gani kweli kitatumika kusaidia wahanga.
 
Hahahahahaha! Umenchekesha sana ndugu! embu nitafuta laptop nikugongee like!

Dah! Sisi waAfrika iko kitu tulimkosea Mungu au Miungu! Siasa mpaka huku!
Hahaha! Dah!

halafu hawa watu ndio wanategemea tuwape nchi!?
 
Wewe hii serikali inayo resort to primitive tactics za kumphysically abuse mtu na kumtoa kucha kisa kuna kitu anapigania, hii serikali ambayo inadiriki kusema ikiwakamata mafisadi na drug dealers nchi itatetereka, hii serikali kila kukicha inaomba misaada mpaka ya panadol kutoka nchi za nje, hii serikali inayoongoza nchi yenye ardhi yenye rutuba, maziwa na bahari yenye samaki lukuki lakini bado wana import vyakula (e.g.samaki na kuku), hiihii serikali yenye zaidi ya asilimia 80 ya watu wake maskini na kiongozi wake mkuu anadiriki kusema hajui kwanini nchi yake ni maskini, hii serikali ambayo viongozi wake huiba mchana kweupe na kuuza madawa ya kulevya na kusema lakini kutokuchukuliwa hatua yeyote.
Ndio hii hii serikali na akili yako na kuvuka kwako darasa la saba unaamini inao uwezo wa kutengeneza virus iwape watu wake ili ku divert attention kutoka kwenye wizi wa hela!!!?
Am I in a nut house or what? This is an insult beyond boundaries in "the home of great thinkers"!

Sina kawaida ya kubishana
Nina kawaida ya kujadili hoja

Nimekuuliza,unaijua serikali yote na uwezo wake wote?

Nahitaji jibu kutoka kwako na sio ngonjera,hizi ngonjera nenda kamuimbie mwenye uwezo na muda wa kuzisikiliza!
 
MKUU kipi kinachokufadhaisha ukweli kwako ni mchungu sana?

hakuna kisichowezekana najua wengi mnasoma.kwa juu juu nakushindwa kufahama kipi has a hapa ni chaajabu.
kufa kwa watu sio sababu ya msingi yakutufanya tuamini kuwa huu Egonjwa kweli nitishio .
swali iweje huu ugonjwa ushike kasi saa hizi has a ukishikiwa kidedea na media??

hata mwanao anaweza kufa Leo Hi na maleria nakwakuwa ushaaminishwa nakupandikizwa kitu kichwani mwako juu ya dungua basi ni shida.

harafu walivyokuwa wauwaji wanatwambia hauna Tiba na ukiumwa usinywe dawa hivi wanajamvi hii inawaingia akilini kweli??

h
Nani akupandikize kitu kichwani wewe? Kwa nguvu gani mtanzania uliyonayo mpaka serikali hii i undergo all the trouble eti ya ku divert attention yako kutoka kwenye siasa.
Hivyo vikelele mnavyopiga kwenye media, na vimaandamano vya hapa na pale mnafikiri vinawanyima wenye nchi usingizi kiasi hicho?
Nenda muhimbili uone watu wanavyoumwa. Ni tishio sababu ni viral disease isio na tiba na huenezwa na mbu ambao mvua za hivi karibuni zimesababisha mbu kuzaliana kwa wingi na hivyo kuleta mlipuko wa maambukizo.
 
haka kajamaa ka Yericko Nyerere kanatafuta cheap popularity tu hakuna la maana kama huna cha kupost ni bora uendelee kunywa viroba tu huko kigamboni
 
Last edited by a moderator:
Kuna haja gani kutukana?

Stahiki yako wewe ni risasi ya kichwa! Huna huruma kabisa wakati kuna watu wamekufa kutokana na ugonjwa huu halafu unaleta mizaha ya KIBAVICHA. Mtu asiyependa wenzake waishi, hana haja ya kuachwa aishi.
 
Sina kawaida ya kubishana
Nina kawaida ya kujadili hoja

Nimekuuliza,unaijua serikali yote na uwezo wake wote?

Nahitaji jibu kutoka kwako na sio ngonjera,hizi ngonjera nenda kamuimbie mwenye uwezo na muda wa kuzisikiliza!
Feather weight!
Siujui. Ila naijua genetic engineering na complexity zake zote kuweza kuja na a valid conclusion kuwa serikali hii (kutokana na substantial knowledge niliyonayo kuhusiana nayo) haina uwezo huo.

Wewe unahitaji kuruka toka gorofa ya 50 ilikujua kama huwezi kupaa?
 
mletaaa madaaa chizi tuu..mimi nna ushahidi wa kuwafahamu watu kama wanne wamekufaaa tena mwezi mmja uliyopitaaa na kuna wakati kna jamaa humu jf aliaandikaa uzi kuwa kwao tabata kila nyumba kuna watu wanaugua malariaa....nenda mwananyamala wagonjwa wakubwa ni wa malariaaaa.....sasa mleta mada anasema ohh serikali imepandikiza virus hii uchizi kabisaaaa
 
haka kajamaa ka Yericko Nyerere kanatafuta cheap popularity tu hakuna la maana kama huna cha kupost ni bora uendelee kunywa viroba tu huko kigamboni
hao wanataka kila sisi tusikiee makelele yao sjui serikali tatu mara sita sisi hatuna haja kskiaaa mambo hayo kwa sasa blah blah tuuuu
 
Last edited by a moderator:
Feather weight!
Siujui. Ila naijua genetic engineering na complexity zake zote kuweza kuja na a valid conclusion kuwa serikali hii (kutokana na substantial knowledge niliyonayo kuhusiana nayo) haina uwezo huo.

Wewe unahitaji kuruka toka gorofa ya 50 ilikujua kama huwezi kupaa?

Umejuaje?

Halafu unajua unapoongelea serikali unakuwa unazungumzia kitu gani ndugu?
Mfano wako wa ghorofa hauna maana hapa

Ili uweze kujua serikali ina uwezo fulani au haina inatakiwa ujue huo uwezo iliyonayo ili uweze kupata wasiwasi na mtu anaeweza kisema serikali kuwa na uwezo fulani

Unawezaje kulihusisha hilo na uwezo wa kupaa?
 
tungemchapa bakora huyu@yericko nyerere......anafanya mzaha na afya
 
Unashindwa kumuelewa mtoa mada. Ugonjwa huo ulikuwepo,upo,na utaendelea kuwepo kama ilivyo malaria nk. Sasa kwa nini ghafla hivi umekuwa special? Kwa nini kuwaogopesha wananchi kuwa hatari imeingia nchini? Iko sababu itafute,na wengine wanaitafuta, halafu ukweli utajulikana.

Sent from my iPad using JamiiForums

haya ni magonjwa ya mlipuko kama ulivyo kipindupindu. kila kipindupindu kikiibuka kinakuwa special! Mtoa mada hajaweza kuleta hoja yoyote ya maana wala ushahidi kuwa hili jambo limetengenezwa.
Kuibuka kwa dengue fever kunazuia vipi kujadiliwa kwa katiba na hayo mabilioni yaliyoibiwa? sioni uhusiano wowote. Hizi ni hoja zingine dhaifu toka kwenye chama kilichodai kuna lori la kura zao limeonekana, lakini hawakuthibitisha, chama kikadai kuna mkanda wa mabomu arusha, lakini hawatuonyeshi, kikwete na timu yake walikuwa hotelini mwanza lakini hawawezi kuthibitisha, ridhiwani anamiliki malori 100 lakini hata chembe ya ushahidi hakuna, Mgimwa raia wa uingereza lakini hawawezi kuthibitisha......This is very simple, mtoa mada alete ushahidi kuwa kabla ya miezi hii miwili mitatu vifo kutokana na dengue fever vilikuwa kawaida tu, hapo nitakubali mara moja, otherwise siwezi kukubali huu uzombi!
ps: mimi sio CCM, maana hawachelewi....
 
Back
Top Bottom