mkulu katimba
Member
- Jan 23, 2014
- 28
- 6
Kama na wewe unafikiria hivyo we are doomed Kwa kweli si CCM wala UKAWA kote majanga
Kweli nilidhan wao watakuwa watetezi lkn kumbe wanachukulia situation kama hii kama mtaji wa kisiasa,huu si ubinadamu hata kidogo,nimeshuhudia mpangaji mwenzangu akiwa kwenye mateso makubwa. Napenda cdm lkn kwa hili tunapoteza credit kabisa