Tafakuri chokonozi: Ni dengu, dengi, au ni propaganda?!

Tafakuri chokonozi: Ni dengu, dengi, au ni propaganda?!

Nilipoona ile ripoti inayoonyesha Tanzania ni moja ya nchi kumi zenye IQ ndogo kabisa duniani, nilidhani ni hila tu za magharibi,

Lakini nilijifunza kuwa Kiongozi wa nchi ndiye hubeba taswira na aina ya watu wa taifa analoliongoza, Ikiwa taifa litampata kiongozi mpole basi nje ya taifa lake ataakisi upole wa watu wake,

Wakati ulaghai wa kikombe cha Ambilikile Mwaisapile kinaibuka, taifa lilikuwa kwenye mtafaruku wa kisiasa hasa madai ya katiba mpya na ufisadi mkubwa uliokuwa umeligubika genge la ccm na serikali yake, Kweli harambee ya serikali ilifanikiwa kuhamisha akili za Watz wote wakaelekea Loliondo isipokuwa mimi na wenzangu wachache tunaoona kwa jicho la tatu.

Leo ccm imebandwa na umma juu ya aina ya muungano wautakao, Umma unataka muungano wa serikali tatu, ccm na genge lake hawataki, wanataka taifa liendelee kutopea kwenye mauaji ya nashehe na mapadre pale Zanzibar, wanataka mfumo wa serikali mbili ulioshindwa kutatua matatizo ya muungano kwa miaka 50,

Na zaidi ccm na genge lake wameiba 200b katika akaubti maalumu ya Tanesco iliyopo BOT, hili ni tukio la wizi mkubwa zaidi kuliko ule wa EPA,

Lakini katika mkakati uleule wa kuzima kelele za umma, wameibuka na mzimu unaoitwa Dengue, unaotajwa kuwa ni ugongwa unaoambukizwa na mbu kwa lugha ya kikwetu ni 'suguni".

Haya ni maajabu ya tz, mbu huyu aibuke kuleta ugonjwa huo katika kipibdi hiki cha vuguvugu la ccm kukosa udhibiti wa nchi???

Mbu huyu mimi nimezaliwa kijijini kwetu namuoba, nimeishi nchi zenye baridi kali kama Urusi kwa miaka zaidi ya kumi nimemuona hasa kwenye mifugo aina ya kondoo wa sufi kule Kivey,

Nimeidmshi Uchina kwa miaka kadhaa mbu huyu yupo, na nimeng'atwa hasaa mitaa ya Suki, sijawahi kuona mtu kaugua na kuwa ni ni ugonjwa tishio kama propaganda ya ccm inavyotaka tuamini,

Nyumbani kwangu Mbutu Kiganboni hawa mbu ndio tunashinda nao na kulala nao kila kuchapo tangu na tangu,

Najiuliza hawa umbu wenye ugonjwa huo wametoka hapa wizara ya afya mtaa wa samora na shabani robert?

Inasemwa na inaaminika kuwa Watz ni wajinga na mazezeta kuliko nchi yoyote duniani, hili linajidhihirisha kuona tunatungiwa uongo eti kuna DENGUA, halafu 200b zinaibiwa, na kujaribu kuzima madai ya katiba ya umma inayotaka muungano wa Serikali tatu.

Una akili wewe kijana, umeandika kama mzee wangu Ulimwengu katika makala zake!

Umetumia lugha ya wazi na picha pia, kwa wale wa kazi maalumu hapa hawatakuelewa kabisa!

Good movement!
 
Kama ugonjwa ulikuwepo tangu zamani sasa ni nini kinachoufanya uwe special wakati huu? Na kwa nini kila litokeapo jambo zito ambalo serikali inaonekana kukosa majibu au kushindwa kulihimili basi lazima lizuke jambo lenye mchanganyiko kwa fikra za kawaida na hofu ya kifo? Mnakumbuka enzi hii ambayo mpaka serikali ikatolea kauli na usaidizi hadi wa miunda mbinu watu wakajazane huko? Na wangapi waliacha tiba ya KWELI na kuishia kupoteza maisha baada ya kuaminishwa?
ImageUploadedByJamiiForums1399977325.684553.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kuna ushahidi gani kwamba dengue fever is not what it is reported to be?

Ugonjwa unaweza kuwepo siku nyingi kwa chini chini, lakini kikatokea kitu, kwa mfano mafuriko tuliyoyapata Dar, kikasababisha mlipuko wake.
 
Nakatika mazingira yakawaida hili linaweza kutendeka hapa tz tena kwa kiwango cha juu kabisa

Kabisa mkuu.negligence yetu watz imesababisha mambo mengi sana ya ajabu kutokea hapa nchini ambayo huko kwingine utatumia akili nyingi sana kuyafanya yawezekane lakini hapa kwetu unaweza kufanikisha hata katika hatua za mwanzo za majaribio.labda ndio mambo ya IQ.
 
Kuna haka ka ugonjwa ambako huenda kanakuja kufunika maswala mazito kwenye huu mchakato wa katiba na maswala mazito ya muungano tuliyokuwa nayo sasa, naanza kupata wasiwasi maana watawala wanawajua vizuri watanzania kuwa ni watu wanaobebwa na matukio. Likija tukio fulani na likapambwa kwa mapambo ya aina ya kuwatoa watu kwenye mstari basi watu wanahama.

Kama mnakumbuka baada ya serikali kubanwa kutokana na kupanda kwa gharama za maisha na watu kuwa tayari kuingia barabarani kipindi kile ambacho pia kulikuwa na maandamano ya kuondoa utawala ulioshindwa kuleta tija kwenye nchi za uarabuni,ghafla likaja zengwe la kikombe cha babu wa Loliondo.

Kwenye kikombe cha babu wa Loliondo viongozi wa serikali wakawa wa kwanza kwenda kupata kikombe, inasemekana alianza MSAFIRI, akaja mtoto wa mkulima aliye pinda mgongo, orodha ndefu ikafuata, kibaya zaidi serikali ikaruhusu mpaka wagonjwa waliokuwa mahospitalini eti watoke na kwenda kwenye kikombe, baada ya hapo vikafuata vifo na adha zilizotokana na msusuru wa watu kule Loliondo.

Likapita la kikombe cha Loliondo watu wakawa wamehama kwenye kufikiria kupanda kwa gharama za maisha na uhaba wa umeme. Akili zikahamia Loliondo, Kila unaye mgusa, mwenye sukari, mwenye utamu, mwenye mafua, aliye jikwaa kidole wote wimbo wao ulikuwa mmoja "Loliondo" Kwa hili serikali ikapata ahueni, ikajipanga, ikafanikiwa kuwapumbaza watanzania, waliokufa wengine wakatupwa vichakani. Maisha yakaendelea watawala wagongena mvinyo..

Siku hazikuganda, Umekuja mchakato wa katiba, ukweli uliokuwa unafichwa umeanza kudhihiri, nondo zimeanza kushushwa, wasiotaka ukweli ujulikane wameanza propaganda za kufa mtu! Hawataki ukweli ujulikane, wanataka tuzidi kukaa kwenye nusu karne ya uwongo! Ghafla eti tunasikia Dengua, wengine wanaita Dengi, wengine Dengu, wengeni Dengelua yaani ngonjwa moja hata wataalamu wetu kila mtu anatamka anavyotaka yeye!

Wasiwasi wangu eti gonjwa hili limeanza na wasanii maarufu! Limeanza na Ray C akapata coverage front page kwenye magazeti, akaja Dr Cheni naye hivyohivyo! Halafu eti tunaambiwa umeua mpaka Daktari, na wanatajwa wagonjwa wengine kadhaa, wanasahau kuwa kwa tanzania ugonjwa hatari ni Maralia na vifo vya kina mama wajawazito, kila dakika 10 maralia huua si chini ya watu 5, na kila dakika 5 kuna si chini ya mama mjamzito mmoja anaye poteza maisha.Sio hili DENGE, Sijui DENGUA, SIjui DENGI, sijui DENGELUA.

Wanataka kututoa kwenye agenda muhimu hawa! Hii ni propaganda! Baada ya hapa utasikia mikusanyiko hairuhusiwi, Lakini hawatasema kuwa hata kwenye dalaladala na boti kuna mikusanyiko! Kuna watu wanalengwa kunyamazishwa hapa.

AKILI KUMKICHWA poleni watanzania wenzangu sijui kwa gonjwa gani vile?!... Ni Dengi, Dengu, Dengua au Dengelua?! Sikatai kuwa lipo, napata wasiwasi na gonjwa hili linavyopewa promo kana kwamba limekuwa tishio kuliko Maralia na vifo vya kina mama wajawazito.

dengue ipo na imeuaaaa kablaa hata wizara ya afya haijatoaa taaeifa khsu ugonjwa huuu...kingine hii ni kitu serious afyaaa....mambo ya serikali tatu nne kumi hatutaki skiaaa maana haileti maendeleo yyte kwa sasa zaidi ya kuleta blah blah
 
kwa hiyo hawa wanaokufa ni matapeli au?

Unashindwa kumuelewa mtoa mada. Ugonjwa huo ulikuwepo,upo,na utaendelea kuwepo kama ilivyo malaria nk. Sasa kwa nini ghafla hivi umekuwa special? Kwa nini kuwaogopesha wananchi kuwa hatari imeingia nchini? Iko sababu itafute,na wengine wanaitafuta, halafu ukweli utajulikana.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Nilipoona ile ripoti inayoonyesha Tanzania ni moja ya nchi kumi zenye IQ ndogo kabisa duniani, nilidhani ni hila tu za magharibi,

Lakini nilijifunza kuwa Kiongozi wa nchi ndiye hubeba taswira na aina ya watu wa taifa analoliongoza, Ikiwa taifa litampata kiongozi mpole basi nje ya taifa lake ataakisi upole wa watu wake,

Wakati ulaghai wa kikombe cha Ambilikile Mwaisapile kinaibuka, taifa lilikuwa kwenye mtafaruku wa kisiasa hasa madai ya katiba mpya na ufisadi mkubwa uliokuwa umeligubika genge la ccm na serikali yake, Kweli harambee ya serikali ilifanikiwa kuhamisha akili za Watz wote wakaelekea Loliondo isipokuwa mimi na wenzangu wachache tunaoona kwa jicho la tatu.

Leo ccm imebandwa na umma juu ya aina ya muungano wautakao, Umma unataka muungano wa serikali tatu, ccm na genge lake hawataki, wanataka taifa liendelee kutopea kwenye mauaji ya nashehe na mapadre pale Zanzibar, wanataka mfumo wa serikali mbili ulioshindwa kutatua matatizo ya muungano kwa miaka 50,

Na zaidi ccm na genge lake wameiba 200b katika akaubti maalumu ya Tanesco iliyopo BOT, hili ni tukio la wizi mkubwa zaidi kuliko ule wa EPA,

Lakini katika mkakati uleule wa kuzima kelele za umma, wameibuka na mzimu unaoitwa Dengue, unaotajwa kuwa ni ugongwa unaoambukizwa na mbu kwa lugha ya kikwetu ni 'suguni".

Haya ni maajabu ya tz, mbu huyu aibuke kuleta ugonjwa huo katika kipibdi hiki cha vuguvugu la ccm kukosa udhibiti wa nchi???

Mbu huyu mimi nimezaliwa kijijini kwetu namuoba, nimeishi nchi zenye baridi kali kama Urusi kwa miaka zaidi ya kumi nimemuona hasa kwenye mifugo aina ya kondoo wa sufi kule Kivey,

Nimeidmshi Uchina kwa miaka kadhaa mbu huyu yupo, na nimeng'atwa hasaa mitaa ya Suki, sijawahi kuona mtu kaugua na kuwa ni ni ugonjwa tishio kama propaganda ya ccm inavyotaka tuamini,

Nyumbani kwangu Mbutu Kiganboni hawa mbu ndio tunashinda nao na kulala nao kila kuchapo tangu na tangu,

Najiuliza hawa umbu wenye ugonjwa huo wametoka hapa wizara ya afya mtaa wa samora na shabani robert?

Inasemwa na inaaminika kuwa Watz ni wajinga na mazezeta kuliko nchi yoyote duniani, hili linajidhihirisha kuona tunatungiwa uongo eti kuna DENGUA, halafu 200b zinaibiwa, na kujaribu kuzima madai ya katiba ya umma inayotaka muungano wa Serikali tatu.

Jamani acheni siasa hata kwenye mambo ya kitaalamu. Kwa mtu yeyote mwenye taaluma ya utabibu akisoma ulichoandika hapo juu atajua kwa hakika kuwa wewe ndiyo mwenye IQ ndogo. Ni vizuri kama haujui kitu ukatafuta kuelewa kwanza badala ya kukimbilia kwenye hitimisho.
 
Huu uzi ni mgumu sana kwa baadhi ya watu, ni kama ule wa Mtoi unahitaji mtu mwenye kuweza kufikiri nje ya box na kuunganisha dot. la sivyo Yeriko subiri matusi tu.
 
Kuna ushahidi gani kwamba dengue fever is not what it is reported to be?

Ugonjwa unaweza kuwepo siku nyingi kwa chini chini, lakini kikatokea kitu, kwa mfano mafuriko tuliyoyapata Dar, kikasababisha mlipuko wake.

Ni mara ya kwanza mafuriko kutukia Tanzania?
 
Jamani acheni siasa hata kwenye mambo ya kitaalamu. Kwa mtu yeyote mwenye taaluma ya utabibu akisoma ulichoandika hapo juu atajua kwa hakika kuwa wewe ndiyo mwenye IQ ndogo. Ni vizuri kama haujui kitu ukatafuta kuelewa kwanza badala ya kukimbilia kwenye hitimisho.

Mkuu acha hasira. Wataalamu wengi wa afya ambao sio wanasiasa wanacheka ukiwauliza kuhusu ugonjwa huo. Wanakuambia huo ugonjwa upo siku zote ingawa wengi walikuwa wanautibu kama malaria. Yapo maradhi kama kipindupindu, malaria yenyewe ,kansa nk ni tishio sana kwa maisha ya waTZ lakini hakuna KAULI NZITO ZA GHAFLA za serikali.
Why this Dengeu? And why now?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Tuache utani na maisha ya watu... Dengue fever is not a hoax na sio lazima tusubiri yatufike kwenye familia zetu ndio tuyaone kuwa serious...
Kwa hili la Dengue fever tusiweke siasa... tafadhali. Zipo familia nyingi zinaomboleza sasa, wapo mamia ya watu wanaugulia maumivu... Masaa machache yaliyopita baba yangu mkwe katoka hospitali alikougulia maumivu makali ya dengue fever kwa siku kadhaa, so nikiona nyuzi kama hizi zinazobeza suala hili nafadhaika sana...
 
Jamani acheni siasa hata kwenye mambo ya kitaalamu. Kwa mtu yeyote mwenye taaluma ya utabibu akisoma ulichoandika hapo juu atajua kwa hakika kuwa wewe ndiyo mwenye IQ ndogo. Ni vizuri kama haujui kitu ukatafuta kuelewa kwanza badala ya kukimbilia kwenye hitimisho.

Ugonjwa huo ni mpya nchini? Ni kweli tiba hakuna? Lipo wapi karantinga la wagonjwa ama ipi zuio la watu kuingia dar?
 
Wananchi wazalendo tuungane kuelimisha UMMA juu ya gonjwa hili hatari. Hizi propaganda za UKAWA hazina tija kwa taifa letu. Dengue ni hatari na inaua.
 
Hongera kwa kuishi nchi hizo, ndo jambo la muhimu, haya mangine naona kama hueleweki kabisa kijana cha Msambila....!?

what the heck is this c.r.a.p?,if i may ask.

mijitu mingine bhana.ina-comment tu ili mradi ionekane ime-comment.
Yericko Nyerere asante kwa kuwatoa watu kama hawa ktk usingizi mzito.wapo wengi sana nchini hasa mikoa ya pwani.
 
Last edited by a moderator:
Nilipoona ile ripoti inayoonyesha Tanzania ni moja ya nchi kumi zenye IQ ndogo kabisa duniani, nilidhani ni hila tu za magharibi,

Mbu huyu mimi nimezaliwa kijijini kwetu namuoba, nimeishi nchi zenye baridi kali kama Urusi kwa miaka zaidi ya kumi nimemuona hasa kwenye mifugo aina ya kondoo wa sufi kule Kivey,

Nimeidmshi Uchina kwa miaka kadhaa mbu huyu yupo, na nimeng'atwa hasaa mitaa ya Suki, sijawahi kuona mtu kaugua na kuwa ni ni ugonjwa tishio kama propaganda ya ccm inavyotaka tuamini,

Nyumbani kwangu Mbutu Kiganboni hawa mbu ndio tunashinda nao na kulala nao kila kuchapo tangu na tangu,

Najiuliza hawa umbu wenye ugonjwa huo wametoka hapa wizara ya afya mtaa wa samora na shabani robert?

Inasemwa na inaaminika kuwa Watz ni wajinga na mazezeta kuliko nchi yoyote duniani, hili linajidhihirisha kuona tunatungiwa uongo eti kuna DENGUA, halafu 200b zinaibiwa, na kujaribu kuzima madai ya katiba ya umma inayotaka muungano wa Serikali tatu.
Yericko Nyerere ... Mara zote nimekuheshimu kwa makala zako zenye mashiko na hasa za mrengo kama wangu na pia mpenzi kwa chama changu. Lakini hapa kwa hili Dengue Fever umeingia 'choo cha kike'! Kuumwa na mbu Aedes Aegypti haina maana ndio umeambukizwa Dengue, inabidi mbu huyo abebe virusi vya Dengue ndio aweze kukuambukiza, si kila mbu wa Aedes amebeba virusi. Dar es salaam imekumbwa na mvua kubwa hivi karibuni, na kutokana na miundombinu dhahifu hasa maeneo ya makazi, maji yametuama na kufanya mazalia makubwa ya mbu, si Aedes tu...hata Anopheles...hivyo milipuko ya magonjwa kama Dengue Fever na Malaria ni vitu vya kutaraji. Kuna watu wanalala nje mpaka sasa wakiwa hawana hata misaada ya vyandarua, haya unayoongea kuwa 'wana IQ ndogo' kupigwa changa la macho na CCM wakati wanaumwa au wako kwenye hatari kuumwa ni matusi makubwa kwao. Serikali kupitia Wizara ya Afya imeshatoa tamko kuhusiana na mlipuko huu..ina maana wataalamu wote wa team ya EPR (ikishirikisha wadau mbali mbali, mimi nikiwemo) na juhudi zetu za kucontrol huu mlipuko..sie wote ni matahaira, na Yericko yeye ndio veeery smart kisa tu ni Chadema! Bullshit! Watu wenye Bongo mgando kama wewe ndio mnakitia doa chama chetu na vikauli vyenu vyenye conspiracy za kipuuzi kabisa sometimes. Acha wataalamu wadeal na hili...wewe hata kama huwezi tu kuhamasisha watu kuepuka tabia hatarishi...basi kapige tu politiki kijiweni huko! So disappointed...
 
Back
Top Bottom