Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,019
- 142,899
Mwanakijiji, with all due respect, Samia siyo rais. Hakuna aliyemchagua awe Rais.Ni vigumu kuaminika kuwa uliguswa, kuumizwa, kustushwa au kuchukizwa na matukio ya Oktoba 29, 2025. Ni vigumu kufanya watu wasadiki kuwa wewebkama Rais wa nchi yetu hujui kilichotokea au hata kufanya jitihada za kutaka kujua...
- hujajaribu kukutana na wahanga wa matukio yale...hujajaribu kujua Ni kina nani wanadai au kitafuta miili ya ndugu zao
- hujajaribu kujua au kukutana waliopoteza ndugu zao. Yaani, wale watoto/vijana waliouwa pale Mwanza hutaki kujua wazazi wao? Na yule mama na mwanae waliouawa mbele ya kamera hutaki kabisa kujua?
- umeendelea kukingia kifua vyombo vya dola na kuvipongeza jwa mauaji yale kwa kisingizio cha kutuliza "amani". Inamaanisha vyombo hivyo vilipata Baraka na vinaendelea kupata Baraka kutoka kwako. Miezi sita baadaye hujamwajibisha hata kuruta mmoja. Unataka watu waamini kilichotokea ni bahati mbaya.
- Utawala wako umeendelea kufumbia macho matukio ya utekaji na kupoteza wananchi kiasi kwamba haijulikani yapi ni uhalifu na yapi yanafanywa na vyombo vya dola. Kitendo cha Mafwele kutajwa kingekushtua...haujashtuka..IGP hajashtuka na wale wavuta bangi za madaraka bungeni hawajashtuka...
Unataka watu wengine wa nje wawajibishe nyinyi? Yaani Wamarekani, EU, SADC na wengine waumizwe na matukio kuliko mnaojiita viongozi wetu...
Bado hujafanya lolote la kutufanya tuamini kuwa umeguswa na unataka lisitokee tena...naogopa kuwa wa kwanza kusema...mtaua tena nyinyi...tena labda zaidi..harufu ya damu bado iko angani. Hamuogopi...hamna cha kuwatisha kama walivyosema wahenga...
ZA MWIZI.....
Umeandika vizuri sana. asanteNi vigumu kuaminika kuwa uliguswa, kuumizwa, kustushwa au kuchukizwa na matukio ya Oktoba 29, 2025. Ni vigumu kufanya watu wasadiki kuwa wewebkama Rais wa nchi yetu hujui kilichotokea au hata kufanya jitihada za kutaka kujua...
- hujajaribu kukutana na wahanga wa matukio yale...hujajaribu kujua Ni kina nani wanadai au kitafuta miili ya ndugu zao
- hujajaribu kujua au kukutana waliopoteza ndugu zao. Yaani, wale watoto/vijana waliouwa pale Mwanza hutaki kujua wazazi wao? Na yule mama na mwanae waliouawa mbele ya kamera hutaki kabisa kujua?
- umeendelea kukingia kifua vyombo vya dola na kuvipongeza jwa mauaji yale kwa kisingizio cha kutuliza "amani". Inamaanisha vyombo hivyo vilipata Baraka na vinaendelea kupata Baraka kutoka kwako. Miezi sita baadaye hujamwajibisha hata kuruta mmoja. Unataka watu waamini kilichotokea ni bahati mbaya.
- Utawala wako umeendelea kufumbia macho matukio ya utekaji na kupoteza wananchi kiasi kwamba haijulikani yapi ni uhalifu na yapi yanafanywa na vyombo vya dola. Kitendo cha Mafwele kutajwa kingekushtua...haujashtuka..IGP hajashtuka na wale wavuta bangi za madaraka bungeni hawajashtuka...
Unataka watu wengine wa nje wawajibishe nyinyi? Yaani Wamarekani, EU, SADC na wengine waumizwe na matukio kuliko mnaojiita viongozi wetu...
Bado hujafanya lolote la kutufanya tuamini kuwa umeguswa na unataka lisitokee tena...naogopa kuwa wa kwanza kusema...mtaua tena nyinyi...tena labda zaidi..harufu ya damu bado iko angani. Hamuogopi...hamna cha kuwatisha kama walivyosema wahenga...
ZA MWIZI.....
Mbaga JrBado hujafanya lolote la kutufanya tuamini kuwa umeguswa na unataka lisitokee tena...naogopa kuwa wa kwanza kusema...mtaua tena nyinyi...tena labda zaidi..harufu ya damu bado iko angani. Hamuogopi...hamna cha kuwatisha kama walivyosema wahenga...💪🏿
Sina cha kuongea!Ni vigumu kuaminika kuwa uliguswa, kuumizwa, kustushwa au kuchukizwa na matukio ya Oktoba 29, 2025. Ni vigumu kufanya watu wasadiki kuwa wewebkama Rais wa nchi yetu hujui kilichotokea au hata kufanya jitihada za kutaka kujua...
- hujajaribu kukutana na wahanga wa matukio yale...hujajaribu kujua Ni kina nani wanadai au kitafuta miili ya ndugu zao
- hujajaribu kujua au kukutana waliopoteza ndugu zao. Yaani, wale watoto/vijana waliouwa pale Mwanza hutaki kujua wazazi wao? Na yule mama na mwanae waliouawa mbele ya kamera hutaki kabisa kujua?
- umeendelea kukingia kifua vyombo vya dola na kuvipongeza jwa mauaji yale kwa kisingizio cha kutuliza "amani". Inamaanisha vyombo hivyo vilipata Baraka na vinaendelea kupata Baraka kutoka kwako. Miezi sita baadaye hujamwajibisha hata kuruta mmoja. Unataka watu waamini kilichotokea ni bahati mbaya.
- Utawala wako umeendelea kufumbia macho matukio ya utekaji na kupoteza wananchi kiasi kwamba haijulikani yapi ni uhalifu na yapi yanafanywa na vyombo vya dola. Kitendo cha Mafwele kutajwa kingekushtua...haujashtuka..IGP hajashtuka na wale wavuta bangi za madaraka bungeni hawajashtuka...
Unataka watu wengine wa nje wawajibishe nyinyi? Yaani Wamarekani, EU, SADC na wengine waumizwe na matukio kuliko mnaojiita viongozi wetu...
Bado hujafanya lolote la kutufanya tuamini kuwa umeguswa na unataka lisitokee tena...naogopa kuwa wa kwanza kusema...mtaua tena nyinyi...tena labda zaidi..harufu ya damu bado iko angani. Hamuogopi...hamna cha kuwatisha kama walivyosema wahenga...
ZA MWIZI.....
HAya yametumwa mkuu,huna haja ya kucomment chochote, anajua!Lucas, watu waliuwawa au hawakuuwawa?
Za mwizi ni 40_0!Za mwizi siku hizi zimepungua sana
Mkuu Mzee Mwanakijiji, kwanza asante kwa bandiko hili ya kuanza kurejea kwa yule Mzee Mwanakijiji wa samani, ka inzi kazaliwe upya, cheche za fikra zirudi, podcast za KLHNews zipande.Bado hujafanya lolote la kutufanya tuamini kuwa umeguswa na unataka lisitokee tena...naogopa kuwa wa kwanza kusema...mtaua tena nyinyi...tena labda zaidi..harufu ya damu bado iko angani. Hamuogopi...hamna cha kuwatisha kama walivyosema wahenga...
ZA MWIZI.....
Hakuna hata iota ya shaka kwamba fazafaka yuko 100% nyuma ya hiyo massacre. I’ll be the last man to be convinced otherwise!Ni vigumu kuaminika kuwa uliguswa, kuumizwa, kustushwa au kuchukizwa na matukio ya Oktoba 29, 2025. Ni vigumu kufanya watu wasadiki kuwa wewebkama Rais wa nchi yetu hujui kilichotokea au hata kufanya jitihada za kutaka kujua...
- hujajaribu kukutana na wahanga wa matukio yale...hujajaribu kujua Ni kina nani wanadai au kitafuta miili ya ndugu zao
- hujajaribu kujua au kukutana waliopoteza ndugu zao. Yaani, wale watoto/vijana waliouwa pale Mwanza hutaki kujua wazazi wao? Na yule mama na mwanae waliouawa mbele ya kamera hutaki kabisa kujua?
- umeendelea kukingia kifua vyombo vya dola na kuvipongeza jwa mauaji yale kwa kisingizio cha kutuliza "amani". Inamaanisha vyombo hivyo vilipata Baraka na vinaendelea kupata Baraka kutoka kwako. Miezi sita baadaye hujamwajibisha hata kuruta mmoja. Unataka watu waamini kilichotokea ni bahati mbaya.
- Utawala wako umeendelea kufumbia macho matukio ya utekaji na kupoteza wananchi kiasi kwamba haijulikani yapi ni uhalifu na yapi yanafanywa na vyombo vya dola. Kitendo cha Mafwele kutajwa kingekushtua...haujashtuka..IGP hajashtuka na wale wavuta bangi za madaraka bungeni hawajashtuka...
Unataka watu wengine wa nje wawajibishe nyinyi? Yaani Wamarekani, EU, SADC na wengine waumizwe na matukio kuliko mnaojiita viongozi wetu...
Bado hujafanya lolote la kutufanya tuamini kuwa umeguswa na unataka lisitokee tena...naogopa kuwa wa kwanza kusema...mtaua tena nyinyi...tena labda zaidi..harufu ya damu bado iko angani. Hamuogopi...hamna cha kuwatisha kama walivyosema wahenga...
ZA MWIZI.....
Tena ngoja nikutupe kwenye Dustbin chap ,huvumilikiKasome majibu ya Tume yaliyotolewa
Nadhani tumechelewa Kwa sasa,huyu afisa wa polisi unasafishaje ndugu Pascal?Mkuu Mzee Mwanakijiji, kwanza asante kwa bandiko hili ya kuanza kurejea kwa yule Mzee Mwanakijiji wa samani, ka inzi kazaliwe upya, cheche za fikra zirudi, podcast za KLHNews zipande.
Nchi za wenzetu kuna mitaa inalindwa kwa security cameras, nimewahi ishi New Rochelle nje kidogo ya jiji la New York, eneo hilo ni white dominated. Mwenyeji wangu amekwenda mzigoni, nikaamua ku toka just to wolk around to climatize myself kuji to acclimate to a new environment, nikifika kwenye bonge la mijengo, nasimama kushangaa, kumbe kosa!, nikaona kuna police patrol car inakuja, nikisimama na yenyewe inasimama, nikiingia mtaa mwingine inaingia, inanikaribia ila hawafanyi chochote, hatimaye wakanifikia na kuniomba ID yangu, ushamba wa kibongo nimetoka bila passport, wakaniuliza nafanya nini mitaa hiyo, nikawaambia naishi maeneo hayo, nikaulizwa zip code zijaikariri, wakaniambia niingie kwenye gari nikaonyeshe, nikaingia, nikawapeleka, nikashuka, wakaniambia hold on, wakaongea kwenye radio calls zao na kupigiana simu, ndipo host wangu kapigiwa na polisi kuwa a suspicious strange man has been spotted walking around the neighbourhood, ndipo mwenyeji wangu akaniambiwa majirani wame complain, akaniambia you are lucky, ukikutana na ma rude racists, you could be gunned down!.
Hivyo ndivyo Dada alivyoelezwa na watu wake, kuwa wale GenZii are armed and they are comming for her, hivyo nguvu iliotumika ni nguvu stahiki.
Kwa vile ameunda tume ya haki jinai, tumpe muda, matokeo yakitoka, ndipo watu watawajibishwa, atasema sorry na kutoa pole kwa wafiwa wa bahati mbaya, serikali italipa kifuta machozi kwa wafiwa na kutoa pole kwa manusura, kisha itafidia uharibifu wote usio na bima.
Huyu mama anahitaji kusaidiwa kuliko hata JPM!, Tumsaidie, tumshauri the right thing to do
Mimi nimekuwa nikijitahidi jitahidi kama hapa Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa
Kwenye hili la October 29, nimeshauri, PostGE2025 - Ushauri: Tangazeni idadi ya Vifo, na Ikibidi Hata Idadi ya Uongo tuu ili Wanyamaze!. Gazeti la “The Sun” limeiita Tanzania HOUSE OF BLOOD hili limetekelezwa kwa idadi ya 518.
Kuhusu kuwajibika, pia nimeshauri, Ushauri Kwa Serikali Yetu, Ili Kuisafisha Tanzania Kimataifa, Tumieni Dekio la Scapegoat Mop, Kusafisha Madoa ya Damu ya October 29!.
Tuendelee kushauri.
P
Endeleeni kuua...si mmenogewa damu za watanzania....ila mjue hizi damu ndiyo anguko lenu na halikwepeki!Acheni ujinga wenu hapa . Kwani nani asiyejua nakuona kazi kubwa inayofanywa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama?
Unafikiri bila ushupavu, uimara na uhodari wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama Taifa lingekuwa wapi muda huu?
Najua ninyi furaha yenu mlitaka kuona Taifa likisambaratisha.
Kama ndio dhamira yenu hiyo basi hamtaweza kupata nafasi ya kuleta vurugu na machafuko Nchini
Kwanini hujafikiria kuwa ni Bora huyo mtu Mmoja (dada) angekufa kuliko hayo maelefu ya watu waliouliwa?Hivyo ndivyo Dada alivyoelezwa na watu wake, kuwa wale GenZii are armed and they are comming for her, hivyo nguvu iliotumika ni nguvu stahiki
Kwa hali ile, bora afe punda mzigo ufike!, Tanzania kusinge kalika, genocide ya Rwanda ina afadhali!, vijana wa Uswazi wangejitwalia yale majumba ya masaki na O bay!, I know you know wangewafanya nini the owners!, baada ya kumalizana na owners, wangeanzana wenyewe kwa wenyewe, masela wa TMK wangejiona wao ndio wanastahili kuishi Obay na Masaki, wangewatimua masela wa Manzese, kila mtu angetaka yeye ndie awe gavana, ATM zote zingevunjwa, strong rooms za benki zote zingevunjwa, that would have been the end of Tanzania, hivyo ilitakiwa kutumia nguvu kubwa kabisa na miili isionekane!.Kwanini hujafikiria kuwa ni Bora huyo mtu Mmoja (dada) angekufa kuliko hayo maelefu ya watu waliokuwa?
IPi ni afadhali moja au elfu?
Mikono yake ina damu.....watu wasio hatiaNaona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu.
Unafikiri kwanini Rais wetu ameunda tume?
Unafikiri lengo la kuunda tume ni nini?
Unataka afanye maamuzi ya kukurupuka ili baadaye mje msema alikurupuka?
Rais wetu ni Makini na anataka ukweli wote ufahamike pasipo mtu yeyote yule kuonewa. Ndio Maana ameunda tume ili ije na majibu na majawabu yasiyo acha shaka.
Ndio maana watanzania wameendelea kuwa watulivu wenye subira na imani kubwa sana kwa Rais wetu Mpendwa
Mkuu Mayalla, hivi huko ni kujizima data au ni kitu gani labda?Mkuu Mzee Mwanakijiji, kwanza asante kwa bandiko hili ya kuanza kurejea kwa yule Mzee Mwanakijiji wa samani, ka inzi kazaliwe upya, cheche za fikra zirudi, podcast za KLHNews zipande.
Nchi za wenzetu kuna mitaa inalindwa kwa security cameras, nimewahi ishi New Rochelle nje kidogo ya jiji la New York, eneo hilo ni white dominated. Mwenyeji wangu amekwenda mzigoni, nikaamua ku toka just to wolk around to climatize myself kuji to acclimate to a new environment, nikifika kwenye bonge la mijengo, nasimama kushangaa, kumbe kosa!, nikaona kuna police patrol car inakuja, nikisimama na yenyewe inasimama, nikiingia mtaa mwingine inaingia, inanikaribia ila hawafanyi chochote, hatimaye wakanifikia na kuniomba ID yangu, ushamba wa kibongo nimetoka bila passport, wakaniuliza nafanya nini mitaa hiyo, nikawaambia naishi maeneo hayo, nikaulizwa zip code zijaikariri, wakaniambia niingie kwenye gari nikaonyeshe, nikaingia, nikawapeleka, nikashuka, wakaniambia hold on, wakaongea kwenye radio calls zao na kupigiana simu, ndipo host wangu kapigiwa na polisi kuwa a suspicious strange man has been spotted walking around the neighbourhood, ndipo mwenyeji wangu akaniambiwa majirani wame complain, akaniambia you are lucky, ukikutana na ma rude racists, you could be gunned down!.
Hivyo ndivyo Dada alivyoelezwa na watu wake, kuwa wale GenZii are armed and they are comming for her, hivyo nguvu iliotumika ni nguvu stahiki.
Kwa vile ameunda tume ya haki jinai, tumpe muda, matokeo yakitoka, ndipo watu watawajibishwa, atasema sorry na kutoa pole kwa wafiwa wa bahati mbaya, serikali italipa kifuta machozi kwa wafiwa na kutoa pole kwa manusura, kisha itafidia uharibifu wote usio na bima.
Huyu mama anahitaji kusaidiwa kuliko hata JPM!, Tumsaidie, tumshauri the right thing to do
Mimi nimekuwa nikijitahidi jitahidi kama hapa Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa
Kwenye hili la October 29, nimeshauri, PostGE2025 - Ushauri: Tangazeni idadi ya Vifo, na Ikibidi Hata Idadi ya Uongo tuu ili Wanyamaze!. Gazeti la “The Sun” limeiita Tanzania HOUSE OF BLOOD hili limetekelezwa kwa idadi ya 518.
Kuhusu kuwajibika, pia nimeshauri, Ushauri Kwa Serikali Yetu, Ili Kuisafisha Tanzania Kimataifa, Tumieni Dekio la Scapegoat Mop, Kusafisha Madoa ya Damu ya October 29!.
Tuendelee kushauri.
P
Hii ndio the freedom of expressionMkuu Mayalla, hivi huko ni kujizima data au ni kitu gani labda?
Si ameunda Tume, ikitaja hata yeye, kama ndie alitoa ile amri, then na yeye pia atajiwajibisha, tuendelee kusubiri kama tunavyokula mtori, nyama utazikuta chini!.Msingi wa kumpa benefit of the doubt huyo perpetrator of premeditated killings ni nini? Did you really consider her conduct (public statements) in the months preceding the killings? Everything highlighting her culpability is in the public domain.
Kwani siku hizi jf, tunapangiana muda, au kusubirishana kiasi cha kupotezeana muda?!.Usipende kupotezea watu muda!