DOKEZO Tabora: Hospitali ya Malolo Wafanyakazi wengi hawajalipwa mishahara tangu December 2023

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Hospitali ya Malolo (Reginal level) Wafanyakazi hawajalipwa mishahara tokea December 2023(Majority) huku wachache hawajakamilishiwa mishahara ya mwezi November.

Uongozi wanasema NHIF hawajalipa claims since December maana zaidi ya 95% ya wagonjwa ni wanachama wa NHIF, hivyo hamna hela.

Kadi za Bima (NHIF) za wafanyakazi zipo inactive since October 2023 kisa huohuo ukata, lakini makato ni default.

Hali za kiuchumi kwa wafanyakazi ni ngumu mno, wengi wanaacha kazi, wengine hawajui wanaacha waende wapi.

Naomba wafikishiwe watz ili kama kuna mkono wa mtu wasikike.
 
hiyo hospital ipo mahututi sana, limebaki jina tu. mwaka jana nilienda hapo nikajisajili vizuri ili nitibiwe
nikakaa kamuda karefu bila kuitwa kumuona dr. nikachukua kadi yangu nikasepa
 
Kuna hospital Moja ya Kanda,iliyopo huko kaskazini mwa TANZANIA,inamilikiwa na Kanisa la Lutheran na upande mwingine na serikali,hali ni hiyo hiyo.
 
.....kama kawaida tunakuja humu JF kulalama,why waathirika wa bad services hapo hospital msifanye push back?,mfano Afisa utawala/fedha hakuna kwenda nyumbani kwake hadi amewapa maelezo ya ukweli kuwa why mishahara hailipwi?ni wakati wa kuongea lugha ambayo na wao wataisikiliza sio kulalama kwenye media
 
Back
Top Bottom