Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,402
- 320
bila shaka litatamkwa,,, Mnyama'hozomwee...mimi ningependa kujua jina lako linatamkwaje
bila shaka litatamkwa,,, Mnyama'hozomwee...mimi ningependa kujua jina lako linatamkwaje
Jukwaa la mahusiano, mapenzi na urafiki - hawa wana tabia ya kujaliana, kupendana na ni wanafamilia kwa ujumla, hawaogopani na wengi wao wanafahamiana kwa sura na hata familia zao zinafahamiana. Ni wacheshi hawana jazba japo kuna baadhi ya watu huwa wanajaribu kuwachafulia hali ya hewa kwenye jukwaa lao lakini wao huwa wapole na waelewa.
No wonder wana tabia za kusifiana sifiana hata kwenye pumba. Sasa utamcritisize vipi mtu aliyekukaribisha chai, akutoe roho baa!
No wonder kuna mauza uza ya JF kupoteza mvuto.
Dada kumwita mtu jina hilo unalolitaka kuna wakati wakati anaweza kulifurahia lakini kuna wakati anaweza lianzisha na wewe. Sina uhakika Kama unajua kuzichapa. wapenziwa simba SC ukiwaita mnyama watafurahi. lakini jaribu kumwita mumeo mnyama.....No! Usijaribu. Usijaribu kuchanganya akili yangu tu, tia na ya kwako.wacha nikuite kwa kifupi......mnyama
bila shaka litatamkwa,,, Mnyama'hozo
No wonder wana tabia za kusifiana sifiana hata kwenye pumba. Sasa utamcritisize vipi mtu aliyekukaribisha chai, akutoe roho baa!
No wonder kuna mauza uza ya JF kupoteza mvuto.
DN, hapa umeongea bonge la point sanaYou might a genius and a wise person, but that may prove futile kama unaamua kuishi kwenye vacuum, kwani hata sound hupata taabu kufikia walengwa
Tukikaa pamoja tabia zitakuwa tofauti na nadhani watu tutagawanyika kama majukwaa yalivyo, kuna watakaopendelea kuongelea siasa, mapenzi, n.k.Kila jamii ina tabia zake.
Ukienda kwa maaskari wanakuwa na tabia yao ya ujumla ambayo huitwa haiba.
Ukienda kwa waalimu hali kadhalika wana haiba au tabia yao.
Ukienda kwa wanafunzi ni hivyo hivyo.
Hapa kwetu. J. F. Kuna watu kutoka makundi mbalimbali,
je tukikaa kwa pamoja tutaibua tabia gani?
No wonder wana tabia za kusifiana sifiana hata kwenye pumba. Sasa utamcritisize vipi mtu aliyekukaribisha chai, akutoe roho baa!
No wonder kuna mauza uza ya JF kupoteza mvuto.
inaelekea wewe ni mnafiki, ukihongwa kikombe cha chai u shut ur big mouth up!!
sisi ni watu tofauti sana, hatuogopikukeme mtu anapokosea
afta roo u are not from our feathers so its gonna be difficult to flock with us.............
mkuu kuna kitu naona kama hukipendi; maana nimesoma kama posti mbili au tatu hivi.. It seems you want some people to behave like we are in a class room!!! Rest assured people do what they for very good reasons, and probably wewe una pumba na matatizo kuliko wao ila ni bahati mbaya sana tu hujijui kama na wewe ni pumbalizer!!
A true friends does not criticeze, he/she will rather advice you and help you to improve kuliko ku-criticise!!! Kusifia ni hulka na kama huna huna tu!!! Na nina imani hapo una tatizo na mara nyingi style kama yako huwa hata nyumbani wanashindwa kusifia hata mtoto akiweza kuhesabu moja mpaka kumi kwa kusema "mimi nahesabu hadi bilioni" disregarding all teh factors surrounding different people in their own surrounding
you might a genius and a wise person, but that may prove futile kama unaamua kuishi kwenye vacuum, kwani hata sound hupata taabu kufikia walengwa
pole sana kwa kuwa outlier!!
Btw, yale makaribisho ya bar au chai, si kama unavyoelewa wewe, na hata kama ingekua hivyo... The ones who love you will always telly you the truth!!!... Badili jukwaa kuna mengine ya wanaokwepana hata kutumiana pm, but you are just like any other person... Its just sad that you think you are something different
No wonder wana tabia za kusifiana sifiana hata kwenye pumba. Sasa utamcritisize vipi mtu aliyekukaribisha chai, akutoe roho baa!
No wonder kuna mauza uza ya JF kupoteza mvuto.
Lakini wapo ambao discussions za hapa zinawazalishia mawazo wanayoyapanua na kufanya mambo makubwa sanaMojawapo ni kuwa passive, hatuna moto tuko baridi tunachofanya ni kujadili kama kijiweni na kuyaacha pale pale
....
sisi ni watu tofauti sana, hatuogopikukeme mtu anapokosea
afta roo u are not from our feathers so its gonna be difficult to flock with us.............
Ah umepotea step kidogo!
Nikiwa kama mpenzi wa jukwaa la mahusiano, Naomba kukupinga ifuatavyo kwa upendo!
Kama slogan ya JF ilivyo sisi tunapinga kwa upendo tena tunapingana kweli kweli mfano kaipitie sredi ya watokao nje ya ndoa! Haafu tukimaliza tunapongezana na kufurahi! Asa mambo ya kutoana roho hatuna na wala si utamaduni wa Watanzania; si kwa JF peke yake
bila shaka litatamkwa,,, Mnyama'hozo
Walialia hovyo kama wako msibani, walalamishi, wazandiki, waliojawa na wivu wa kijinga ambao kabla hawajatoa boriti kwenye macho yao ndio waone kibanzi kwenye macho ya wenzao wanapaswa kusoma hekima na busara zilizoandikwa na watu kama hawa wenye hekima zao........................No wonder wana tabia za kusifiana sifiana hata kwenye pumba. Sasa utamcritisize vipi mtu aliyekukaribisha chai, akutoe roho baa!
No wonder kuna mauza uza ya JF kupoteza mvuto.
mkuu kuna kitu naona kama hukipendi; maana nimesoma kama posti mbili au tatu hivi.. it seems you want some people to behave like we are in a class room!!! Rest assured people do what they for very good reasons, and probably wewe una pumba na matatizo kuliko wao ila ni bahati mbaya sana tu hujijui kama na wewe ni pumbalizer!!
a true friends does not criticeze, he/she will rather advice you and help you to improve kuliko ku-criticise!!! kusifia ni hulka na kama huna huna tu!!! na nina imani hapo una tatizo na mara nyingi style kama yako huwa hata nyumbani wanashindwa kusifia hata mtoto akiweza kuhesabu moja mpaka kumi kwa kusema "mimi nahesabu hadi bilioni" disregarding all teh factors surrounding different people in their own surrounding
You might a genius and a wise person, but that may prove futile kama unaamua kuishi kwenye vacuum, kwani hata sound hupata taabu kufikia walengwa
pole sana kwa kuwa outlier!!
BTW, yale makaribisho ya Bar au chai, si kama unavyoelewa wewe, na hata kama ingekua hivyo... the ones who love you will always telly you the truth!!!... badili jukwaa kuna mengine ya wanaokwepana hata kutumiana PM, but you are just like any other person... its just sad that you think you are something different
Ah umepotea step kidogo!
Nikiwa kama mpenzi wa jukwaa la mahusiano, Naomba kukupinga ifuatavyo kwa upendo!
Kama slogan ya JF ilivyo sisi tunapinga kwa upendo tena tunapingana kweli kweli mfano kaipitie sredi ya watokao nje ya ndoa! Haafu tukimaliza tunapongezana na kufurahi! Asa mambo ya kutoana roho hatuna na wala si utamaduni wa Watanzania; si kwa JF peke yake
DN, hapa umeongea bonge la point sana
ila its true pale jukwaani i.e MM&U kuna watu wachache wanataka kupaharibu na kupaletea sifa mbaya, mfano watu wanaowazushia members wengine tuhuma zisizo na sababu hadi kuwaharibia mood ya kukaa pale wakati ni watu wenye hekima na busara kupitia michango mizuri. Nafikiri hao wachache nina uhakika wanajijua pamoja na wengine kuwa na post nyingi lakini ni waibuaji wa kashfa za kipuuzi sana za kuchafua status na heshima za wengine, wajirekebishe kwani wanaharibu ukumbi maridhawa sana hapa JF. Ila jukwaa la MM&U ni zuri na lenye kuisaidia jamii
Wote niwewazawadieni SENKSI, na samahani kwa wote niliowakwaza kihalali.inaelekea wewe ni mnafiki, ukihongwa kikombe cha chai u shut ur big mouth up!!
sisi ni watu tofauti sana, hatuogopikukeme mtu anapokosea
afta roo u are not from our feathers so its gonna be difficult to flock with us.............
Mamushka cool down beibe.Au una hisa na wasukuma mwenzangu?