TABlA YA WANA JAMII FORUMS

TABlA YA WANA JAMII FORUMS

You just proved his/her point mkuu. Maana hii uliyoandika ni pure utata.

avatar23801_6.gif
avatar23801_6.gif
 
JF wote ni wabishi na ni wajuaji, hata mi niko hivyo.
First expresion yetu sisi wote ni WAHAYA
 
Kwa kuwa hawa ni binadamu waliochanganyikana kutoka jami mbalimbali hakutakuwa na tabia moja, bali kutakuwa na tabia kuanzia nzuri mapaka mbaya kabia. Kumbuka hawa ni binadamu, kwa hiyo ukiwaweka pamoja hata wale wenye tabia nzuri wanaweza kuadhiriwa na wenye tabia mbaya au wenye tabia nzuri wakaambukiza wale wenye tabia nzuri.
 
Mimi naona tuwe na ka nchi ketu kanachojitegemea kama lethoto na swazland.
Tuwe narais wetu na baraza la mawaziri tu.
 
Vp wale wa jukwaa la wakubwa teh teh :biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
You just proved his/her point mkuu. Maana hii uliyoandika ni pure utata.


Sasa utata uko wapi hapo... yaaani mtu asiseme lililowazi......... nyie metumwa na............. nini na lazima tuwang'oe.....
 
nadhani mtu kama MALARIA SUGU HATUWEZI MWEKA KATIKA GROUP LA MA GREAT THINKER.
 
Uoga na kutojiamini ndio maana % kubwa hayatumiki majina na Picha halisi.
 
JF ni ya Watu wote. Kila mtu anaruhusiwa kusoma au hata kujiunga na kutuma maoni.

JF ina faida kubwa sana. Mimi binafsi nimeshauliza maswali mengi na kujibiwa vizuri.

JF ni mwiba kwa mafisadi na wanasiasa uchwara. Wanasiasa dhaifu na wasiotaka kukosolewa na kwenda na wakati wanaichukia JF. Mfano wana magamba.
 
Code:
Kila jamii ina tabia zake.
Ukienda kwa maaskari wanakuwa na tabia yao ya ujumla ambayo huitwa haiba.
Ukienda kwa waalimu hali kadhalika wana haiba au tabia yao.
Ukienda kwa wanafunzi ni hivyo hivyo.
Hapa kwetu. J. F. Kuna watu kutoka makundi mbalimbali,
je tukikaa kwa pamoja tutaibua tabia gani?

Hebu tueleze haiba za mapolisi, waalimu na wanafunzi ili tuelewe kama tupo pamoja kwenye hili...............
 
Back
Top Bottom