superfisadi
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 553
- 54
humu micharuko pia imo
Composition ya wana JF I gesi iko hivi -watumishi wa serikali na mashirika ya umma (si dhani kama kuna wanajeshi na walimu wa shule za msingi hapa kama wapo wachache)---ni watu wa daraja la kati na la juu wachache....kuna wana siasa , wabunge, ma dc. madiwani nk, mainjinia wachache pia...manesi nadhani hakuna kabisa, wauza mitumba pia na mashaka hawapo.....pia umri wao ni kati miaka 24yrs-75yrs
kuna wastaafu wachache.....kuna mawakala wa mafisadi.....waandishi wa habari wengi zaidi bila kusahau wanafunzi walio nje ya nchi. KWA UPANDE WA JINSIA NADHANI WANAUME NI WENGI ZAIDI
-
....kitabia
1) Wengi ni vipanga sana (very intelijenti pipo)
1) ni watu wamanung'uniko kila jambo linalofanywa na wasiowakubali hata kama ni la heri basi ni threat kwao
2) Ni watu wenye huruma na huguswa na matukio yanayoamsha hisia sana ila kama linahusu dini huruma zao huenda kando
3) Ni wa dini kwa haiba
4) Si waoga kutetea wanachoamini
5) Ni wasomi na mahiri
6) Ni wacheshi, wapenda amani
7) Ni wachunguzi wa mambo ngumu kuwadanganya
8) Wengi ni wazalendo wenye mwamko unaoleta matumaini ya kesho
9) Sina hakika kama wanapenda au wanachukia 'MUUNGANO"
10) Wakiondoa imani kwa mtu ngumu kuirudisha
hahahahaaa! hapo umemaliza mkuu!Jukwaa la SIASA-Opportunist (some)
Jukwaa la Mapenzi-wanafamilia
Jukwaa la DINI-WATATA WALE(Iko siku watatoana macho)
Jukwaa la science na technolojia-wazee wa 10%
Jukwaa la itelijensia-no comment kwa hawa watu
etc
kaaazi kweli kweliTabia za wana jf ni vuta nikuvute kati ya makundi mawili
La kwanza ni wale manazi wa chadema ambao ni kama asilimia 80.
Kundi la pili ni wakereketwa wa ccm wapo kama asilimia 10 hivi.
Wengineo 10%
Kundi la cdm chini ya mchungaji masa nikundi linalodhani kuwa wanachoamini wao ndio hicho pekee sahihi, kuwa tofauti na wao basi wewe ni msaliti na umetumwa na mafisadi,wamefikia hatua hata wapinzani wenzao wanawaona vibaraka. kundi hili ambalo ukihoji mapungufu ya cdm basi ugreat thinker wote unaisha,badala yake ni matusi kejeli na majibu ya kitoto.kuthibitisha angalia wanavyoongoza kula ban.
Ila wao kuhoji na kukashfu ccm na vyama vingine ndio sahihi, imefikia mahala mtu anaanzisha tu post ya kipumbavu ili mradi inaponda ccm au ina sifia cdm basi itapata sapoti ya nguvu sababu ya wingi wao.kundi hili hupinga karibu kila kitu kuanzia wasanii wetu na kazi zao iwe bss, maisha plus, serebuka,michuzi blog & nyingine,clouds,udsm,udom...........yaani kilakitu kwao kibaya, lakini sio cdm wala bilkanazi wala tz daima
Kundi la pili la wana ccm ambalo cdm wamelazimisha wapinzani wengine wawe humo, ni kundi la wastaarabu kihoja ukilinganisha na la cdm, ni nadra sana kukuta wanajibu kwa jazba, sikuzote wao hoja mbele.
Kwabahati mbaya sana kundi hili limevamiwa na memba wasio na busara wakiongozwa na ms mwenye id kama 10 hivi, huyu anaonekana kama kinara wa kundi la ccm ni mtu wa kukurupuka na hoja zenye udini hoja dhaifu sana kiasi kwamba hata wana ccm wengine zinawakera na kubakia wasomaji.
Hawa 10% wengineo ni watu wa sayansi na teknolojia, malav dav, nk hawa hawana impact kubwa
sasa tukija katika tabia ya ujumla ya wanajf utaona kuwa kundi la pili kwa wingi wao ndio wanabeba tabia ya ujumla ya wajf, kwa kawaida njia nzuri ya kujua tabia yako utaipata kwa wengine wanaokuona, hebu angalia site nyingine zinasema nini kuhusu jf, wengi wao wanasema hayo niliyoyataja ktk kundi la masa.
Sitaki kusema jf inatabia ya u cdm, ila 'in jenero' wanajf wanatabia ya kujiona 'machi no' hawapo tayari kuhojiwa, kukosolewa, they're right all the time
(samahani mchungaji masa kukutaja pengine inatokana na mimi kuwa shabiki wako, i like u posts but i dont like ur points of view)
Malaki 2:15,16. Ni moja ya vipengele ambavyo vinatoa sura halisi ya watu tuliomo humu ndani, yaani kuna wanaume na wanawake ambao kila mmoja anayo/zo tabia/ze (haiba/ze). Kuna waloo/a/zwa na waloole/wa/shwa, walo katika useja na waloach/ika/wa/achana. Walo wajane na wengi walio katika makandokando hayo. Kuna Vijana wachanga na wamakamo hali kadhalika wazee na busara zao zimo. Hivyo tumejazana na tunaumana vilivyo ili kutetea jamii tuliomo na jamii iliyomo. Nia na madhumuni kwa ujumla au mtu mmoja mmoja ni vigumu kutambua japo ninaweza kuthubutu kusema kuwa; ''nafikiri ni ya kijamii zaidi''
Hivyo ndivyo ninavyoelekea kuamini'
AMANI IWE KWENU
You just proved his/her point mkuu. Maana hii uliyoandika ni pure utata.Acha masihara hayo, hakuna utata wowote kule: Ni kuelimishana, kuonyana, kukemea maovu, kusema ukweli bila kumwogopa mtu yeyote, transparency, nk! And life goes on, just like that! Hayo mambo ya "kutoana macho" wakati hatuonani yatatokeaje?
Hapo kwenye red kwa kweli sometimes inakera sana maana unakuta mtu kauliza swali lake asaidiwe badala yake anakutana na stori za baa sijui nani aaarghKumbe nawe mmoja wao. Ukweli umefika japo unauma.
Btw, acheni basi na kamtindo ka kudandia mada na kupotezea mtiririko kwa kuingiza habari zenu za baa na mahaba.
Jukwaa la SIASA-Opportunist (some)
Jukwaa la Mapenzi-wanafamilia
Jukwaa la DINI-WATATA WALE(Iko siku watatoana macho)
Jukwaa la science na technolojia-wazee wa 10%
Jukwaa la itelijensia-no comment kwa hawa watu
etc