TABlA YA WANA JAMII FORUMS

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,831
Kila jamii ina tabia zake.
Ukienda kwa maaskari wanakuwa na tabia yao ya ujumla ambayo huitwa haiba.
Ukienda kwa waalimu hali kadhalika wana haiba au tabia yao.
Ukienda kwa wanafunzi ni hivyo hivyo.
Hapa kwetu. J. F. Kuna watu kutoka makundi mbalimbali,
je tukikaa kwa pamoja tutaibua tabia gani?
 
Haiba ya wana JF
 
:angry::frown::target::yuck::drum::painkiller::hug::rofl::brick::confused3::gossip::whip:
Mkuu Bujibuji hapa ni ngumu kusema tutaibua tabia gani maana ni mchanganyiko wa kila aina. Kwangu ni ngumu maana kuna wapiga ngoma, kuna wanunaji, kuna wenye vichefuchefu, kuna wenye majungu, kuna wenye kifafa, kuna wenye wivu, roho mbaya, makondakta, madaktari, wahasibu, wakesha baa, wakesha kanisani na misikitini etc etc
 
Duh.. mokoyo naona umegongomelea kabisa hii thread...

bujibuji thread nzuri sana mkuu, ila ingependeza kama una japo idea ya baadhi ya tabia... ingstimulate more insights
 
Mojawapo ni kuwa passive, hatuna moto tuko baridi tunachofanya ni kujadili kama kijiweni na kuyaacha pale pale
 
Haiba ya wadanganyika ;siasa/maneno mengi lakini vitendo sifuri!!
 
Jukwaa la SIASA-Opportunist (some)
Jukwaa la Mapenzi-wanafamilia
Jukwaa la DINI-WATATA WALE(Iko siku watatoana macho)
Jukwaa la science na technolojia-wazee wa 10%
Jukwaa la itelijensia-no comment kwa hawa watu

etc
 
Hapa kila mtu na tabia yake ,,ikifanywa kama maisha plus kijijini..kuna watu wana jazba
Kuna watu wapole ,wanyenyekevu na wenye hekima ,( Tabia mcanganyiko)
 
Acha masihara hayo, hakuna utata wowote kule: Ni kuelimishana, kuonyana, kukemea maovu, kusema ukweli bila kumwogopa mtu yeyote, transparency, nk! And life goes on, just like that! Hayo mambo ya "kutoana macho" wakati hatuonani yatatokeaje?
 
Jukwaa la mahusiano, mapenzi na urafiki - hawa wana tabia ya kujaliana, kupendana na ni wanafamilia kwa ujumla, hawaogopani na wengi wao wanafahamiana kwa sura na hata familia zao zinafahamiana. Ni wacheshi hawana jazba japo kuna baadhi ya watu huwa wanajaribu kuwachafulia hali ya hewa kwenye jukwaa lao lakini wao huwa wapole na waelewa.
 
Jukwaa la SIASA-Opportunist (some)
Jukwaa la Mapenzi-wanafamilia
Jukwaa la DINI-WATATA WALE(Iko siku watatoana macho)
Jukwaa la science na technolojia-wazee wa 10%
Jukwaa la itelijensia-no comment kwa hawa watu

etc

Acha mzaha Mh!
 
Tabia ya kwanza wanapenda kusoma... maana hata hiki nilichoandika uunakisoma..sasa wanaelewa wanachosoma au la hapo ni mgogoro mwingine,usiniulize(japo wenyewe mara nyingine huwa wanaulizana ...umemwelewa mtoa mada, alichoandika,...)
 
mwee...mimi ningependa kujua jina lako linatamkwaje
 
Hapa kila mtu na tabia yake ,,ikifanywa kama maisha plus kijijini..kuna watu wana jazba
Kuna watu wapole ,wanyenyekevu na wenye hekima ,( Tabia mcanganyiko)

You have just made my day...Thank you! :hug::hug:Ni kundi la watu ambalo kamwe haliwezi kuwa na tabia zinazofanana hata siku moja. Mapacha wanaofanana kama chupa za bia hata wao huwa wanatabia ambazo hazishabihiani 100% sembuse hapa jamvini ambapo kuna mkusanyiko wa watu chungu nzima.
 
J...... wengi wao wanafahamiana kwa sura na hata familia zao zinafahamiana. Ni wacheshi hawana jazba japo kuna baadhi ya watu huwa wanajaribu kuwachafulia hali ya hewa kwenye jukwaa lao lakini wao huwa wapole na waelewa.

No wonder wana tabia za kusifiana sifiana hata kwenye pumba. Sasa utamcritisize vipi mtu aliyekukaribisha chai, akutoe roho baa!

No wonder kuna mauza uza ya JF kupoteza mvuto.
 
Back
Top Bottom