Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,355
- 80,010
Wapare na ushirikina nawaona mm tu au
Ni kweli.
Lakini yapo makabila ni wachawi + Ushirikina
Wapare na ushirikina nawaona mm tu au
Mimi ni mpare lakini simshauri mtu kuoa mwanamke wa kipare kabisa.......sio wote lakini wengi wao wana tabia za hovyo sana......
Hasa wakiolewa na kabila zingine wanafanya ndoa kama sehemu ya kuchuma mali........hawapendi ndugu wa mume watafanya kila njia kukutenganisha na ndugu zako......
Atatumia rasilimali za familia kujinufaisha yeye na familia yake.....utajikuta mshahara wako na miradi inafadhili shughuli na mipango ya ukweni....
Wanajifanya wana upendo na heshima fake wakiona kuwa wanaweza kupata chochote kitu kutoka kwako.......
Wakiwa zaidi ya wawili wanapenda kuwateta wasiokuwa wa kabila hilo hata kama mmekaa pamoja.......
Wanaendekeza sana mambo ya kishirikina na wanajifanya wajuaji na wenye mipango mikali ya kimaisha!!!
Aaah wapiii?!🤓🤓
Wapare ndio Gentlemen katika nchi hii
Hakika hawafai kujenga nao nyumba.....ni majanga!!Hatari Sana.
Wanawake wa kipare wengi Wana mitazamo ya ki-feminist
Aaah wapiii?!
Umeniambukiza sikitiko mkuu.Nimesikitika sana...
Wenye mahusiano na Wapare tukutane hapa tujadiliane. Wa kwangu ana hivi vyote isipokuwa sio mchoyo.
hebu kaoe sasa mzaramo au m ngazija kisha lete majibuukiona mchaga mmeru au mpare anakushobokea apo ndugu jikague vizuri apo lazima una kitu kizuri kimemvutia anakitaka. na akikipata tu urafiki unakata apoapo chap. hawaendi kwa hasara ao watu.
nmecheka sana😆😆😆anamkanda mtoto wake pua kwa maji moto iwe ndogo maana alizaa na mtu wa Kenya mwenye lipua likubwa
hizi jamii hazina mambo mengi. zinaishi leo laif ya kesho itajipanga kesho inapofika 😆😆😆hebu kaoe sasa mzaramo au m ngazija kisha lete majibu
Hii jamii anaweza pika ugali lakini hana mboga ukiiva anaweza gonga mlangoni kwako naomba mchuzi kidogo nimalizie ugali wangu.hizi jamii hazina mambo mengi. zinaishi leo laif ya kesho itajipanga kesho inapofika 😆😆😆
Malaya hao acha tuNamba 6: Umalaya