Makala: Kwanini sasa wanafunzi wanafaulu kuliko zamani?

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,684
Reaction score
27,610
(Uchambuzi wa Mabadiliko ya Grading – CSEE na ACSEE Tanzania)

Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu ongezeko la ufaulu kwa wanafunzi wa Tanzania, hasa katika Form Four (CSEE) na Form Six (ACSEE). Wengi hujiuliza

Je wanafunzi wa sasa wamesoma zaidi kuliko wa zamani, au kuna sababu nyingine?

Ukweli ni huu,mitihani ni ile ile, lakini mfumo wa grading ndio umebadilishwa, na hapo ndipo siri ya ufaulu mkubwa wa sasa ilipo.

1. GRADING YA FORM FOUR (CSEE): ZAMANI VS SASA

Grading ya ZAMANI (Old System kabla ya mabadiliko)
A: 81 – 100
B: 61 – 80
C: 41 – 60
D: 21 – 40
F: 0 – 20

Grading ya SASA (Current System)
A: 75 – 100
B: 65 – 74
C: 45 – 64
D: 30 – 44
F: 0 – 29

2. UCHAMBUZI: KWANINI SASA NI RAHISI KUAFAULU (CSEE)
(a) Kushushwa kwa Kiwango cha A
Zamani: A ilianza 81
Sasa: A inaanzia 75

Hii ina maana mwanafunzi aliyepata 78:
Zamani: B
Sasa: A

Idadi ya A imeongezeka bila mabadiliko ya kiwango cha mitihani.

(b) Kuinuliwa kwa Daraja la C
Zamani: 41–60
Sasa: 45–64

👉 Wanafunzi waliokuwa D ya juu zamani, sasa wanaingia C.

Matokeo yake Ufaulu wa jumla (pass rate) unaonekana umeongezeka.

(c) Pass imepandishwa, lakini Fail pia imepanuliwa
Zamani D (Pass) ilianza 21
Sasa D (Pass) inaanzia 30
Fail sasa ni hadi 29 (badala ya 20)

Hii inafanya matokeo yaonekane yamepangwa vizuri, lakini mgawanyo umebadilishwa kisaikolojia ili ufaulu uonekane mzuri zaidi.

3. GRADING YA FORM SIX (ACSEE): ZAMANI VS SASA

Grading ya ZAMANI (ACSEE – Old System)
A: 80 – 100
B: 70 – 79
C: 60 – 69
D: 50 – 59
E: 40 – 49
F: 0 – 39

Grading ya SASA (ACSEE – Current System)
A: 75 – 100
B: 65 – 74
C: 45 – 64
D: 35 – 44
E: 30 – 34
F: 0 – 29

4. UCHAMBUZI: KWANINI ACSEE YA SASA NI RAHISI KULIKO ZAMANI
(a) A-Level A Imeshushwa
Zamani: A ilianza 80
Sasa: A inaanzia 75

Mwanafunzi wa Physics au Mathematics aliyepata 76
Zamani: B
Sasa: A

Hii inaongeza idadi ya Division One bila kubadilisha ugumu wa mitihani.

(b) C na D Zimepanuliwa Sana
Zamani: C = 60–69
Sasa: C = 45–64

Hii inabeba wanafunzi wengi wa wastani kwenda juu zaidi.

5. MITIHANI NI ILE ILE, KINACHOBADILIKA NI GRADING
Ni muhimu kuelewa jambo hili Silabasi ni ile ile
Aina ya maswali ni ile ile
Kiwango cha ugumu kimebaki kile kile
Kilichobadilishwa ni mipaka ya alama (grading thresholds)
Hivyo, ufaulu wa sasa hauonyeshi moja kwa moja kuwa wanafunzi wa sasa wana akili au maarifa kuliko wa zamani, bali unaonesha mabadiliko ya mfumo wa upimaji.

6. MFANO HALISI: FORM SIX 2013 (TANZANIA NZIMA)
Mwaka 2013, matokeo ya ACSEE yalionesha hali halisi ya ugumu wa mfumo wa zamani:
Tanzania One (Division One ya juu kabisa)
👉 Mwanafunzi mmoja tu alifanikiwa kupata Division One ya pointi chache sana (mfano pointi 5) nchini kote.
Physics
👉 Hakukuwa na A hata moja ya Physics Tanzania nzima.

Hii haimaanishi wanafunzi walikuwa wajinga, bali
Grading ilikuwa kali
A ilikuwa ngumu sana
Mfumo ulipima tofauti ndogo sana za uwezo

🔹 Zamani ufaulu ulikuwa mgumu kwa sababu grading ilikuwa kali
🔹 Sasa ufaulu ni rahisi kwa sababu grading imelegezwa
🔹 Mitihani haijabadilika sana mfumo wa alama ndio umebadilika
🔹 Matokeo ya sasa yanaonekana mazuri, lakini hayalingani moja kwa moja na kiwango cha maarifa ya zamani
 
Uelewa wa mambo umekua na information zinapatikana kirahisi kuliko zamani ambapo mtoto wa kiume wa kwanza asipokuwepo nyumbani, TV haiwashwi au kanda ya cassette haibadilishwi kwa sababu baba hajui hayo mambo.
 
Sawa
 
Sisi class of 2009 ACSE tunalijua Hilo kwa sana!!ukipata division three point 13 science umepasua sana !Hadi internet cafe unajiona kipanga wakati was kujaza TCU!!

Kikwete alikosea sana kufanya course ya education lazima kwenye mfumo wa TCU!!aliharibu ndoto za wengi!
 
Katika hizo grade sijaona S hapo
 
Basi kumbe ..mana Kuna binti mtaani mienendo yake kapiga div 1 , ila ndio mtaani anawaendesha mibaba, anakanyagwa na maboda, yan tunazuzuka na huyo binti , hela yako tu..ila ndio kapiga liwani
 
Sisi class of 2009 ACSE tunalijua Hilo kwa sana!!ukipata division three point 13 science umepasua sana !Hadi internet cafe unajiona kipanga wakati was kujaza TCU!!

Kikwete alikosea sana kufanya course ya education lazima kwenye mfumo wa TCU!!aliharibu ndoto za wengi!
Hiyo miaka 3 ya 13 unaenda UDSM coet

Mimi nimeingia CoET na 3 ya 13, 2013 hiyo
 
Back
Top Bottom