Tabia za wanawake wa Kilimanjaro

Tabia za wanawake wa Kilimanjaro

Mimi ni mpare lakini simshauri mtu kuoa mwanamke wa kipare kabisa.......sio wote lakini wengi wao wana tabia za hovyo sana......

Hasa wakiolewa na kabila zingine wanafanya ndoa kama sehemu ya kuchuma mali........hawapendi ndugu wa mume watafanya kila njia kukutenganisha na ndugu zako......

Atatumia rasilimali za familia kujinufaisha yeye na familia yake.....utajikuta mshahara wako na miradi inafadhili shughuli na mipango ya ukweni....

Wanajifanya wana upendo na heshima fake wakiona kuwa wanaweza kupata chochote kitu kutoka kwako.......

Wakiwa zaidi ya wawili wanapenda kuwateta wasiokuwa wa kabila hilo hata kama mmekaa pamoja.......

Wanaendekeza sana mambo ya kishirikina na wanajifanya wajuaji na wenye mipango mikali ya kimaisha!!!
 
1. ROMBO
a. Wachapa kazi - bulldozer
b. Wana upendo
c. Wabunifu sana kimaendeleo
d. Wana heshimu ndoa
e. Ulevi - hadi gongo na konyagi
f. Wizi - Mnaposikia wachaga ni wezi basi mjue Mrombo ndie MASTERMIND. Hivyo ukioa Mrombo ujue hela kupotea ndani ni kawaida tu

2. MARANGU
a. Wanapenda elimu sana
b. Ni wastaarabu sana
c. Wanapenda usafi
d. Wana upendo
e. Wanajali sana ndoa
f. Kujisikia
g. Wabaguzi -hawapendi kuchangamana na jamii zingine za kichaga hata wanapokuwa nje ya Kilimanjaro.

3. MACHAME
a. Usafi
b. Elimu
c. Utawala katika famili
d. Jasiri
e. Ubepari - akishakuwa na uhakika kuwa anaweza kusimama peke yake na maisha yakaenda basi yupo radhi amuondoe mume wake ili abaki na watoto wake.

4. KIBOSHO
a. Hawatabiriki

5. SIHA + WAMERU

a. Baadhi ya tabia za kimachame
b. Wanapenda sherehe kama wazaramo. Yupo radhi asafiri kutoka Moshi hadi Mwanza kwenye Kipaimara cha mtoto wa binamu. Anaacha hata mgonjwa ndani ili afike harusini.

c. Kiburi
d. Ujuaji
e. Ubinafsi
f. Ushirikina

6. WAPARE
a. Upole - wataratibu sana
b. Wanapenda elimu
c. Usafi.
d. Ubahili
e. Uchoyo
f. Ulalamishi.- ukioa mpare jiandae kupokea malalamiko kila siku
min -me
Monetary doctor

TUNAITWA HUKU ☺️
 
Wanakaz hizo roho ni sugu ndani yao
Ila nilichojifunza
When you give don’t expect returns
Nilikua na rafiki yangu mparee kwa uchoyoo

S.I UNIT YA UCHOYOO IPO DAMUNI MWAO SIJAWAI KULA HATA SHILLING MIA MOJA YAKE ILA VICE VERSA YAKE MIMI NDIO NILIKUA NAMLISHA NA KUMSAIDIA SANA SANAAAAAA.
 
1. ROMBO
a. Wachapa kazi - bulldozer
b. Wana upendo
c. Wabunifu sana kimaendeleo
d. Wana heshimu ndoa
e. Ulevi - hadi gongo na konyagi
f. Wizi - Mnaposikia wachaga ni wezi basi mjue Mrombo ndie MASTERMIND. Hivyo ukioa Mrombo ujue hela kupotea ndani ni kawaida tu

2. MARANGU
a. Wanapenda elimu sana
b. Ni wastaarabu sana
c. Wanapenda usafi
d. Wana upendo
e. Wanajali sana ndoa
f. Kujisikia
g. Wabaguzi -hawapendi kuchangamana na jamii zingine za kichaga hata wanapokuwa nje ya Kilimanjaro.

3. MACHAME
a. Usafi
b. Elimu
c. Utawala katika famili
d. Jasiri
e. Ubepari - akishakuwa na uhakika kuwa anaweza kusimama peke yake na maisha yakaenda basi yupo radhi amuondoe mume wake ili abaki na watoto wake.

4. KIBOSHO
a. Hawatabiriki

5. SIHA + WAMERU

a. Baadhi ya tabia za kimachame
b. Wanapenda sherehe kama wazaramo. Yupo radhi asafiri kutoka Moshi hadi Mwanza kwenye Kipaimara cha mtoto wa binamu. Anaacha hata mgonjwa ndani ili afike harusini.

c. Kiburi
d. Ujuaji
e. Ubinafsi
f. Ushirikina

6. WAPARE
a. Upole - wataratibu sana
b. Wanapenda elimu
c. Usafi.
d. Ubahili
e. Uchoyo
f. Ulalamishi.- ukioa mpare jiandae kupokea malalamiko kila siku
Mbona hujaweka tabia za
1. WaSangi
2. WaGweno
3. WaChome
4. WaKilema
5. WaMamba
6. WaKirua
7. WaOld Moshi
8. WaMbokomu
9. WaUru
10. WaMasama
11. WaKahe
12. WaSango
14. WaNganjoni
15. WaMasai
18. WaArusha
 
Back
Top Bottom