future tech
JF-Expert Member
- Aug 26, 2023
- 305
- 455
Akili ndio kitu umekosa. Mwaka 2025 unazungumza ukabila, unasafari ndefu sana.
Ila tusitaje mabaya tu . Tuongelee na mazuri yao. Kwa mfano Warombo ni hardworking na wavumilivu sana. Wapare ni romantic sana na wanyenyekevu . Wamarangu ni wasafi sana . Hata wamachame wana mazuri mengi sana hasa katika malezi ya watoto.hapo kwa wapare ongeza UCHAWI, ufupi, kisirani. kwa warombo ongeza KUKEKETA beans na kula kitimoto. ni hayo tu.
Rud namba moja kwa warombo cc Seran manyong'odePombe haijaongelewa popote🤔
Maranguau wale wenye mwili kifua kipana, nyashi ndogo, wanatoka eneo lipi pale kilimanjaro?