Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,374
- 37,196
AISEEEE KILA MTU ANAWASEMA VIBAYAAA.Mpare mtu wa ajabu sana kasoro Mshana jr
AISEEEE KILA MTU ANAWASEMA VIBAYAAA.Mpare mtu wa ajabu sana kasoro Mshana jr
Mpare hapana, ubinafsi, uchoyo na ubahili umevuka mipakaIla hata kwenye hii tread watu wengi wanawalalamikia wapareee.
Hopefully itakua ivyoo
karibu ugali bhn, mzeeKwa kweriii
Sio poa yani.AISEEEE KILA MTU ANAWASEMA VIBAYAAA.
Ugali 😁 nyama chomaa na mrendaakaribu ugali bhn, mzee
Maake Jf hawali ugali wanadai akili zina staki
Ugali nyama na mboga za majani,Ugali 😁 nyama chomaa na mrendaa
Namba 6: Umalaya1. ROMBO
a. Wachapa kazi - bulldozer
b. Wana upendo
c. Wabunifu sana kimaendeleo
d. Wana heshimu ndoa
e. Ulevi - hadi gongo na konyagi
f. Wizi - Mnaposikia wachaga ni wezi basi mjue Mrombo ndie MASTERMIND. Hivyo ukioa Mrombo ujue hela kupotea ndani ni kawaida tu
2. MARANGU
a. Wanapenda elimu sana
b. Ni wastaarabu sana
c. Wanapenda usafi
d. Wana upendo
e. Wanajali sana ndoa
f. Kujisikia
g. Wabaguzi -hawapendi kuchangamana na jamii zingine za kichaga hata wanapokuwa nje ya Kilimanjaro.
3. MACHAME
a. Usafi
b. Elimu
c. Utawala katika famili
d. Jasiri
e. Ubepari - akishakuwa na uhakika kuwa anaweza kusimama peke yake na maisha yakaenda basi yupo radhi amuondoe mume wake ili abaki na watoto wake.
4. KIBOSHO
a. Hawatabiriki
5. SIHA + WAMERU
a. Baadhi ya tabia za kimachame
b. Wanapenda sherehe kama wazaramo. Yupo radhi asafiri kutoka Moshi hadi Mwanza kwenye Kipaimara cha mtoto wa binamu. Anaacha hata mgonjwa ndani ili afike harusini.
c. Kiburi
d. Ujuaji
e. Ubinafsi
f. Ushirikina
6. WAPARE
a. Upole - wataratibu sana
b. Wanapenda elimu
c. Usafi.
d. Ubahili
e. Uchoyo
f. Ulalamishi.- ukioa mpare jiandae kupokea malalamiko kila siku
ThibitishaNamba 6: Umalaya
Kirua vunjo ?1. ROMBO

Duh, Wapare wangu jamani! Dini ilinikosesha kipenzi changu Swalhina! Kalikuwa kasafi aiseee! Siku nikikaona mtaani lazima nikatafune tena whatever may!😁😁😂😂WAPARE
a. Upole - wataratibu sana
b. Wanapenda elimu
c. Usafi.
d. Ubahili
e. Uchoyo
f. Ulalamishi.- ukioa mpare jiandae kupokea malalamiko kila siku
Mama yako Mmachame? Alimwahisha dingi?Mama yangu anatabia hizo
Naunga mkono..
Ukimaliza uje na sisi wanaume
Uru Kishumundu!Kirua vunjo ?
Mimi ndio nataka niende kariakoo one time then niende Saba Saba Kuna mtu nimpe mzigo ake then ntakua freeeUgali nyama na mboga za majani,
Mlenda sipendelei kwakweli, maake hata kuula sijawahi 😂
Wapare wengi wana tabia ya kujibana bana kwenye kutumia vitu ili vitumike kwa muda mrefu ili kusave hela.....hali hiyo inawafanya wawe wachoyoWapare shikamoo, wachoyo sisemei wote Ila nilio wafahamu alooh, ni wachoyo, haswa
1. ROMBO
a. Wachapa kazi - bulldozer
b. Wana upendo
c. Wabunifu sana kimaendeleo
d. Wana heshimu ndoa
e. Ulevi - hadi gongo na konyagi
f. Wizi - Mnaposikia wachaga ni wezi basi mjue Mrombo ndie MASTERMIND. Hivyo ukioa Mrombo ujue hela kupotea ndani ni kawaida tu
2. MARANGU
a. Wanapenda elimu sana
b. Ni wastaarabu sana
c. Wanapenda usafi
d. Wana upendo
e. Wanajali sana ndoa
f. Kujisikia
g. Wabaguzi -hawapendi kuchangamana na jamii zingine za kichaga hata wanapokuwa nje ya Kilimanjaro.
3. MACHAME
a. Usafi
b. Elimu
c. Utawala katika famili
d. Jasiri
e. Ubepari - akishakuwa na uhakika kuwa anaweza kusimama peke yake na maisha yakaenda basi yupo radhi amuondoe mume wake ili abaki na watoto wake.
4. KIBOSHO
a. Hawatabiriki
5. SIHA + WAMERU
a. Baadhi ya tabia za kimachame
b. Wanapenda sherehe kama wazaramo. Yupo radhi asafiri kutoka Moshi hadi Mwanza kwenye Kipaimara cha mtoto wa binamu. Anaacha hata mgonjwa ndani ili afike harusini.
c. Kiburi
d. Ujuaji
e. Ubinafsi
f. Ushirikina
6. WAPARE
a. Upole - wataratibu sana
b. Wanapenda elimu
c. Usafi.
d. Ubahili
e. Uchoyo
f. Ulalamishi.- ukioa mpare jiandae kupokea malalamiko kila siku
SanaNimekupata.pia humu ndani watu wengi wanawalalamikia wapareee
Hapo fresh mzeeMimi ndio nataka niende kariakoo one time then niende Saba Saba Kuna mtu nimpe mzigo ake then ntakua freee
Hapo kwa Wapare ni generally, sio Ke wala Me, ni hivyo.
Naunga mkono hoja.