Tabia za wanawake kuchukiana bila sababu.

Tabia za wanawake kuchukiana bila sababu.

Tunarudi mule mule, roho mbaya haina jinsia!.
Ila kuna kamfumo kamejengeka na kuaminishwa kwenye jamii kuwa wanawake hatupendani! Na tumelibeba hivyo hivyo na kulivalia uhalisia!
Exactly

Kiufupi wanaume ndo wanachochea ugomvi ambao haupo!

Kwahiyo adui yetu ni mwanaume!
 
Nadhani huyu kabase zaidi kwenye jinsia

Anachokimaanisha why wanawake wenzie na yule mdada mwenye mtoto asimame wakati wanamuangalia mwenzao tu?

Means wanaume hapo haiwahusu
Good .... sasa hivi ndivyo wanawake wenzio hasa yule aliyeanza kuwashambulia wale wa mbele kuwa hawajmpisha yule binti alitkiwa kuhoji na kusingekuwa na ugomvi kabisa ...Maana angeuliuza tuu kwanini ninyi wanaume pale mbele hamkumpisha mpaka huyu wa nyuma? nyie hamna wazazi? hamna mabinti? hamna huruma? angejenga hoja hizo na wenzie waka muunga mkono basi ilikuwa easy...... lakini bahati mbaya alianza kuwashambulia wenzake na wenzake wakaona bora kushambuliana kuliko kutafuta msingi wa tatizo....maana huruma haina jinsi....

Bahati mbaya hizi hoja humuendi nazo kwenye maisha ya kawida....
 
Kuchukiana kati ya wanawake ni jambo la kawaida 'nature',ili usilete madhara katika eneo la kazi,inategemea na tamaduni ya taasisi uliyopo (organizational culture);kama wewe unalika kwa mabosi au ni mfitini kwa wengine ili upate fursa mbalimbali,lazima chuki idumu.
 
Wanaume kwenye mambo ya kawaida ndo huwa wana ubinadamu ila kwenye mapenzi ndo huwa wanaongoza kwa unyama
Aisee!! hayo ni mashtaka makubwa sana[emoji1][emoji1].. Ni nature ya viumbe kuwa hivyo (hua naona bandani kuku majike hawapendani kabisa kufikia kuua vifaranga wa kuku wengine).. Ila binadamu tumepewa upeo na akili kubwa ya kufikiria zaidi ya viumbe wengine, kama tukizitumia akili zetu ipasavyo hizi nature za kipuuzi haziwezi kuendelea
 
Sababu ni kuwa mko hivyo kwakuwa ni wanawake,nimeona hata kazini kwangu,mwanamke mzuri akiingia utaona anaangaliwa kuanzia juu mpaka chini,akianza kuondoka bado watamuangalia kwa kumthaminisha,akishafunga mlango wanaanza vijembe,hayo masikio!mara,utasikia hiyo milonjo yake!mara,hiyo pua ilivorundikwa!yaani hao ndio wanawake bana...
 
Wanaume wakisalimiana utasikia we fara vip?POA,niambie we bwege?fresh tu.

Wanawake Sasa mambo dear za siku love? Nzuri mpenzi,unapendeza tu mwali wangu.Ndo hivo shosti Mungu Anasaidia..

Nyuma ya pazia Sasa mwanaume utasikia yule jamaa mshikaji wangu sana tumesoma nae yule.Mwanamke utasikia yule dadani Malaya sijapata kuona.
 
Sababu ni kuwa mko hivyo kwakuwa ni wanawake,nimeona hata kazini kwangu,mwanamke mzuri akiingia utaona anaangaliwa kuanzia juu mpaka chini,akianza kuondoka bado watamuangalia kwa kumthaminisha,akishafunga mlango wanaanza vijembe,hayo masikio!mara,utasikia hiyo milonjo yake!mara,hiyo pua ilivorundikwa!yaani hao ndio wanawake bana...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanaume wakisalimiana utasikia we fara vip?POA,niambie we bwege?fresh turkey.

Wanawake Sasa mambo dear za siku love? Nzuri mpenzi,unapendeza tu mwali wangu.Ndo hivo shosti Mungu Anasaidia..

Nyuma ya pazia Sasa mwanaume utasikia yule jamaa mshikaji wangu sana tumesoma nae yule.Mwanamke utasikia yule dadani Malaya sijapata kuona.
Huhuuhuu[emoji2960]

Unawajulia
 
Khaaah!..? [emoji15][emoji3]
Wanaume wakisalimiana utasikia we fara vip?POA,niambie we bwege?fresh turkey.

Wanawake Sasa mambo dear za siku love? Nzuri mpenzi,unapendeza tu mwali wangu.Ndo hivo shosti Mungu Anasaidia..

Nyuma ya pazia Sasa mwanaume utasikia yule jamaa mshikaji wangu sana tumesoma nae yule.Mwanamke utasikia yule dadani Malaya sijapata kuona.
 
Kuna wanawake walidiriki kunambia iviii
mmoja alisema hapendi kuwa na marafiki wasichana wenzake akajazia wanafiki sana..
Mwingine katika miaka tofauti alinambia ana marafiki wakiume wengi kuliko wakike..
Twende kweny mitandao ivi unafriendz wangapi fb au insta...jijibu mwenyewe
Sasa hapa ndo nilishangaa wasikilize akiwa anapiga simu au anapokea iwe ni rafiki ake wa kike ona anavotoa majibu mazuri ..utasikia mambo mpenzi...sawa best mara watatumia love ,dear ,honey yaani mengi wala akiwa hamaanishi ...jinsi ya kujua hilo ona simu inapokata atasonya ,atatamka neno baya au kusema uyu naye anajishaua kweli bana wee awaa watuu daaa
nihitimishe hata wanavyotuita mademu zetu eti mpenzi au hubby mi nadhani ni mwendelezo wao tyuu wa yale yale mambo yao ...nikisikia mafriend zangu wakiitwa ayoo majina na mademu zao huwa nacheka tyuu maana najua hawana safari ndefu...
Mademu bana ...
Sitaki kukumbuka watu walikuwa mpaka wanaulizana "vp umewahi kuichukua" [emoji23][emoji23][emoji23]

Kikawaida wanawake hatupendani hata chembe. Kwani wengi huwa tunakawaida ya kufurahia na si kuhuzunikia anguko la wengine.
Girl wangu akirudi magetoni kutoka kwenye mihangaiko yake kazi yake inakua ni kuwapiga madongo rafiki zake, mimi nakua naitikia tu ee ndio, aisee mpaka nashangaa hawa watu ni marafiki gani? Na mwenzie akija magetoni wanaungana tena wanaanza kuwapiga mdomo wenzao wengine hapo ndio hua nachoka
Mkuu Hawa viumbe waache tu, niliwai kuwa na rafiki job wa aina hii ,kila siku kuponda wezake tena kwa mabaya, Hadi aliyemsaidia kupata kazi yeye anaponda tu, kilichomsaidia alikaa kwa muda na sisi madume tunasikiliza na kuitika ee,ee,ee,eee, duh lkn alikuwa ananikera ,badae nikabadilishiwa kitengo akaletewa mwanamke mwenzio hawakukaa hata wiki moja .nikarudishwa tena hapo tukawa madume na yeye, kilicholeta mtafaruko tulikuwa tunafukuzia wasichana wa field kutoa ugwadu alichotufanyia yule dada ni aibu ya kinyamaa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Back
Top Bottom