Tabia za wanawake kuchukiana bila sababu.

Tabia za wanawake kuchukiana bila sababu.

Je, kwenye gari mbele hakukuwa na wanaume?!
Walikuwape sana...... na hoja yangu hapa ni kuonesha kuwa wanawake huwa hawamjui adui yao kabisa..... kama wengekuwa ni waelewa wasingeli angaika kugombana na mwenzao kwakuwa swala la kumsaidia mtu si mpaka lifanywe na mwanamke tuuu.... Hata mimi nilistahili kumsaidia whether nilikuwa nyuma au mbele....
Shida wanawake huwa hamjui kupambana pamoja bali mnajua kuvurugana......
 
Hakika nimefurahi saaaana kwa huu ushuhuda wako Kaka, asante sana Chifu[emoji120][emoji119][emoji28]
Mimi hata hii sakaya nimekuwa nikikutana nayo sana na kwangu huwa nachukulia kama credit na baraka pia.... na hii huwa naitumia kama opportunity ya kuhakikisha ninyi wanawake mnaendelea kutokupendana na kupatana na muendelee kugombana na kuonana wabaya...

Kuna siku nilipanda gari sehemu fulani .....wakati gari linaanza kuondoka lakini kuna mdada aliyekuwa na mtoto akasimamisha gari......akaingia kwenye gari kila akicheki seat zote zimejaa akaendelea kusimama uku gari linakwenda na alipokuwa amesimama kulikuwa na wamama na wasichana wamekaa karibu na yeye ....mimi nikawa nacheki mchezo tuuu....... bahati mbaya yule mtoto akaanza kulia yule binti akawa ana mbembeleza uku ameshikilia chuma ....

Hakuna aliyekuwa ana jali kuhusu yule binti si wale waliokuwa karibu nae wala sisi tuliokuwa nyuma ....wote tulikumbatia siti kama hatumuoni vile........
Moyo ukawa unaniambia wagombanishe, mara mpishe akae, wagombanishe, wagawe....
Ilibidi ni muite yule dada nikamwambia njoo ukae huku dada...... unajua aligeuka fasta nusura aanguke na mtoto..... yani alishukuru huyo....oooh ubarikiwe sana kaka...oooh Mungu akutunze... .
Mimi nikabaki naitikia tuu Amina,amina, amina lakini moyoni nasema bado jambo langu halijatimia la kuhakisha hawa wanawake wanapeana adabu humu....na kitchen party..hahaha

Mara mapepo yakaanza kulipuka....konda akanza kusema hakika wanawake hampendani kabisa yani mmemuacha mwanamke mwenzenu ana teseka mmeshindwa kumpisha mpaka mtu mwingine tena mwanaume ndio anashikwa uchungu ana muonea huruma? hahahahha
basi na wanaume wengine wakalipuka......oooh hawa wanawake wanaongoza kwa roho mbaya kabisa yani hata hao wambele wameshindwa kumpisha mpaka mtu wa huku nyuma ampishe kweli halafu mnatwambia kuwa huwa mnasikia uchungu wa kuzaaa..... jamaa akaongeza kwa kusema nani kawaroga nyinyi? watu vicheko daladala nzima hahahha

Mimi moyoni nikawa nasema bado sijafanikisha ninalolitaka......hatujakaa dakika moja vicheko vinaendeleaa...... Mara mwanamke mmoja kalipuka nakusema ni kweli wanawake hatupendani kabisa na hatuna huruma kabisa yani mtu unakaa na mtu karibu hapo anataka kukuangukia unashindwa kumuonea huruma? wanawake tubadilike kabisa hii ni aibu...........

Moyoni nikasema yes....yes....yes.... hapa ndipo nilikuwa napataka....hahahha
Sasa wale waliokuwa karibu na yule dada wakati amesimama na hakumpisha ...... nao wakalipuka na kumvaa mwanamke mwezao...........oooooh wewe mwanamke acha unafiki wewee.....na matusi juuu siyakumbuki....... wakamuuliza kwanini hukumpisha mpaka ukamuacha huyo kaka ampishe? Wanawake wengine nao wakalipuka wakasema mwambieni huyo mnafiki anajipendekeza ili watu wamuone mwemwa wakati sura yake inaonesha kabisa ana roho mbaya......hahahaha

Sasa kwakuwa daladala ilianza kuwaka moto wa wanawake kwa wanawake wakirushiana matusi mimi nikakaa kimya sikuchangia lolote na nikamwambie yule binti anyamaze asichangie..... kwakweli moto uliwaka wakaanza kutukanana matusi ya nguoni.......uku wanaume tuko kimya na wengine wanacheka tuu jinsi wanavyorushiana madongo....

Mara konda akaanza kukusanya nauli uku anasema endeleeni kugombana uku mnanipa nauli yangu.......
Mimi moyoni nikasema hapa ni kuongeza kuni na kuchochea moto..... hahahaha
Konda akafika niliposimama akaomba nauli nikampa buku na kumwambia ni ya wawili mimi na huyu dada..... hahahahah hapo ndipo nilichochea moto zaidi.....
Kumbe kuna mama pembeni alisikia nampa konda nauli na kumlipia yule dada....... mara akamuita konda konda akamwambia chukua hii buku tano naomba umrudishie yule kaka hela yake nitalipa mimi na ya yule dada halafu na wale mashakumpe wawili pale mbele ntawalipia.....hahahaha.....moto ukawaka tena.....

Konda akanirudishia buku yangu nikaweka mfukoni moto ukaendelea kuwaka baada ya wale wadada kusikia wanalipiwa na wameitwa mashakumpe hahahahaha yani ilikuwa timbwili ni kutukanana matusi tuu.....umlipie nani wewe ......acha kujipendekeza kama unamtaka huyo kaka mwambie sio kutumia migongo yetu....hahahahahahhahha
Mimi moyoni nasema hapa ndipo nilipopataka acha wafunzane adabu..... walikuwa wanaambiana maneno aiseee hadi wanaume tulikuwa tuna shangaa.....hahahaha.... ugomvi uliendelea muda mrefu...sana hadi nashuka bado walikuwa wanagombana.....

Hakika naendelea kufurahi kwakuwa dawa ya matatizo yao hawajeweza kuijua....
Mimi siingili ugomvi wa wanawake bali nikipata nafasi naongeza kuni moto uwake.......
Lazima wanawake wajifunze wenyewe kupatana na kutatua matatizo yao.....
 
Ndo asili yetu. Ukikuta wanawake wanapendana bila sababu jua huo ni urafiki wa kweli au kuna faida ndani ya upendo huo. Sijawahi kuona mume akichukiwa na baba mkwe bali mama mkwe na mke ndo tifu huwa kubwa
Niliupinga ule uzi kwa nguvu zote kujaribu kummaliza nguvu kile kivulana na bado baadhi ya ID za kike zilinishambulia pm na jukwaani nikazushiwa na mengineyo lukuki,,, wanawake hatupendani sijui tukoje hapa
 
Walikuwape sana...... na hoja yangu hapa ni kuonesha kuwa wanawake huwa hawamjui adui yao kabisa..... kama wengekuwa ni waelewa wasingeli angaika kugombana na mwenzao kwakuwa swala la kumsaidia mtu si mpaka lifanywe na mwanamke tuuu.... Hata mimi nilistahili kumsaidia whether nilikuwa nyuma au mbele....
Shida wanawake huwa hamjui kupambana pamoja bali mnajua kuvurugana......
Naomba Mungu nikutane na hiyo siku moja, yaani mchochezi kama wewe!
 
Good... [emoji106]
Kuna sehemu nimemwambia akitaka kuishi nao peaceful aongee machache, awasikilize sana, asiyape uzito maneno watayoongea na awapuuze,,, na ukitaka kula cha mwanamke mwenzio basi msifie ama muonekano wake, utendaji kazi wake au maisha yake
 
Ni kawaida hiyo mzee kipindi nipo home nilikua nakaa karibu sana na mamaangu, sasa tukiwa nje tunapiga mastory ya hapa na pale vikipita visichana anaweza akavipiga mdomo kinyama na baba la baba anamchomekea kwahiyo ni kawaida yao mzee.
Basi sawa Mzee Baba
 
Swali ni moja tuu, kwenye gari mbele hapakuwa na wanaume?!

Kama walikuwepo, wao hawana roho mbaya?!
Nadhani huyu kabase zaidi kwenye jinsia

Anachokimaanisha why wanawake wenzie na yule mdada mwenye mtoto asimame wakati wanamuangalia mwenzao tu?

Means wanaume hapo haiwahusu
 
Mmmh mkuu we noma khaa[emoji16][emoji16]
Wanawake wote mule walishindwa kujiuliza kuwa kwanini wanaume pale mbele hawakumpisha yule dada mpaka mimi wanyuma huku? kwani wanaume hawapaswi kufanya uungwana mpaka wanawake? kwanini wanawake wsipofanya uungwanwa ni nongwa? na wanaume wasipfanya ni sawa? na kwanini wanawake wanashindwa kuteteana au kuungana kusema facts? wao wanachojua ni kuungana na wanaume kuwapiga wenzao na hata wakibaki peke yao hawaachi kupigana? kwanini?
Mimi natumia njia ya kuweka kuni........learn the hard way....
 
Nadhani huyu kabase zaidi kwenye jinsia

Anachokimaanisha why wanawake wenzie na yule mdada mwenye mtoto asimame while wanawake wanamuangalia tu?

Means wanaume hapo haiwahusu
Tunarudi mule mule, roho mbaya haina jinsia!.
Ila kuna kamfumo kamejengeka na kuaminishwa kwenye jamii kuwa wanawake hatupendani! Na tumelibeba hivyo hivyo na kulivalia uhalisia!
 
Kuna siku 1 hv 2013 nilikuwa zangu ghetto nimetulia nikawa naskilizia dirishani Ke wenyewe kwa wenyewe wakijadili kuhusu wanavyochukiana wakikaa mahali pa1 kama ktk nyumba zetu hizi za kupanga, lkn nashukuru waliafiki kuwa ndivyo walivyoumbwa 7bu pa1 na yote hayo ila akipatikana Mwanaume m1 tu anayejitambua basi ataweza kuwatawala wote na amani ikapatikana hata kama atakuwa ni mdogo kiumri lkn bado ni msaada tosha kwao kuliko wakiendelea kuishi Ke kwa Ke pekeyao.
Mazingira yalifanya mkaona mnapendana wenyewe kwa wenyewe lakini haikuwa kweli...
Lakini naona kama wewe unaweza ukapata dawa ya tatizo lenu....lakini bahati mbaya wanawake mnacho kiandika ni tofauti mnacho kitenda.....
Nitasikitika sana mkipata dawa ya shida yenu kupitia wanaume....
Lakini ntafurahi mkipata dawa ya tatizo lenu kupitia ninyi wenyewe
 
Back
Top Bottom