Ganda la ushuru
Senior Member
- Mar 18, 2020
- 132
- 112
Hahahahaaa a.....Angalau watu wakujue vizuri 😂😂🤣.
GLU™
"kufaulu sometimes ni tabia " hii statement ungeielezea vizuri mkuu utufungue wengi .
Point notedYaani ukishafika level fulani unakuta mtu anaelewa halafu anaweza kukabiliana na pressure za mtihani, yaani inakuwa, kwa kiwango kile cha wastani alichosoma anaweza ku recall vitu kwenye paper, anaweza kuusoma mwenendo na kujua wapi kuna high probabilty ya kuwa kwenye paper.....
Alexander The Great
u T.O ulikukosakosa kidogo sanaHahahahaaa a.....
Basi mara akwambie sina ratiba ya physics, mara leo ni siku ya solving tu, mara sina mood ,mara njoo baada ya dakika 45Umenikumbusha dah kuna genius mmoja anajua vitu sana ata akikupigia pindi unaelewa ata kama klaza.
Tatizo ana roho mbaya kama nn, mpaka akufundishe basi umemlamba miguu hadi basi
Hapa hapa nathamini sana mchango wako
Watu waliokuwa wanasomea bara la Africa 😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23]nakubali mkuu .. mimi kila utakapo chorwa mstari yani watakapo kata kibangala cha waliofaulu yani nimo ndani hiyo from primary to university. Ila nimewahi kukimbiza form one wakati huo nasoma shule moja ivi ya kata nilisumbua sana kidato cha kwanza baadae nilihamishwa shule huko nikaenda kukutana na wanyabi waliochafuka nyongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Certified comment☑️Yaani ukishafika level fulani unakuta mtu anaelewa halafu anaweza kukabiliana na pressure za mtihani, yaani inakuwa, kwa kiwango kile cha wastani alichosoma anaweza ku recall vitu kwenye paper, anaweza kuusoma mwenendo na kujua wapi kuna high probabilty ya kuwa kwenye paper.....
Alexander The Great