Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,581
- 34,267
Vipanga asilia wanatabia hizi.
1 hawasomi sana.
2 wanapenda Michezo sana.
3 siyo wachoyo wa knowledge waliyonayo.
4 vipanga wengi ni watoro.
5 wanapenda kujisomea peke yao bila assistance ya mwalimu wala discussion
6 they are cool guys
Sent using Jamii Forums mobile app
1 hawasomi sana.
2 wanapenda Michezo sana.
3 siyo wachoyo wa knowledge waliyonayo.
4 vipanga wengi ni watoro.
5 wanapenda kujisomea peke yao bila assistance ya mwalimu wala discussion
6 they are cool guys
Sent using Jamii Forums mobile app