SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,077
- 13,953
Aisee! Kuna vijana walikuwa wanatisha kwenye masomo!
Mimi nilikuwa mkali Primary tu!
O'level na A'level nilikuwa nafauru kama zari tu, sikuwa napenda kupiga msuli sana. Ila wanashangaa nafauru tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikuwa mkali Primary tu!
O'level na A'level nilikuwa nafauru kama zari tu, sikuwa napenda kupiga msuli sana. Ila wanashangaa nafauru tu.
Sent using Jamii Forums mobile app