Tabia za Vipanga wa darasa na vimbwanga vyao

Tabia za Vipanga wa darasa na vimbwanga vyao

Hahaa unanikumbusha mwaka 2017 wakat naingia chuo nimechelewa bhana dah jamaa wananizodoa ile tunapiga tests kwanz napiga dkka 25 hadi 40 nimemaliza afu matokeo yakitoka ni mabanda tu.

Hiyo semester one nilipiga banda 7 na B moja afu semester two banda zote...i assist people na ni wengi sana sina uchoyo na Mungu ananibariki sana i don't pray that much lakini watu wananiombea mwaka wa tatu semester one ambayo nimeimaliza march nina banda zote.

lakini vipanga wenzangu saidieni wengine na nilichojifunza wote walionidharau mwanzo wananiheshimu sana kumbe kwenye maisha unapata heshima unapokua na kitu..over

Sent using Jamii Forums mobile app
Senester moja masomo 8 course gani hiyo mkuuu 🤔
 
Back
Top Bottom