Nyingine hii, mko kwenye usafiri wa puplic basi anatokea mtu anaweka loud speaker kwenye simu yake, simu yenyewe mchina na music hata haujulikani ni dogoli ama segere.... Wakati huo ndo muwe mnarudi home... mmechoka akili, mwili na damu. Huwa natamani nimwambie azime kha!!!!!
7. kugombania daladala hasa kupitia dirishani,
Wambea wa JF nao wanakera sana.
Unakuta jitu halikujui lakini kwa kujifanya linakujua ni bingwa. Kila mtu linamwambia 'aah yule Ngabu mi namjua sana yule'
Umenijulia wapi wewe mburula?
Halafu linaeneza umbea wake eti limekutana na wewe sehemu fulani wakati hata jinsi ufananavyo halijui.
Sasa mmekutania wapi kama mtu hata humjui zaidi ya kumsoma tu hapa JF?
Mazafacka hunijui sikujui, acha kujifanya unanijua. Kunijua siyo ujiko.
Au we ulidhani mashori watakushobokea ukijifanya unanijua?
Sio kawaida bwana weeh. Kuandika ukuta kwa kinyesi ni ukichaa. Unashikaje kinyesi chako mwenyewe? Ptuu!
Kwani ukiwa mliberali ni lazima kila.mada uhusianishe na hobby yako???
Unachokoza watu halafu muandamane kuwa mnanyimwa haki zenuuu!!!!!!!
Halafu nusu nyingine nimuachie nani?
mpwa lakini sio fair kabisa bana
Afu kuna tabia unakuta mtu anafanya afu hajistukii kabisa. Kuna siku nilikuwa na rafiki yangu kwenye ji-international airport. Kuna que ya maana, nikampa chewing gum. Yaani nilitaka kuzimia alipoifungua na kutupa kikaratasi hapo chini! Niliinama tu kukiokota bila kuongeza neno! Na alivyo mrembo na msomi!
Afu kuna tabia unakuta mtu anafanya afu hajistukii kabisa. Kuna siku nilikuwa na rafiki yangu kwenye ji-international airport. Kuna que ya maana, nikampa chewing gum. Yaani nilitaka kuzimia alipoifungua na kutupa kikaratasi hapo chini! Niliinama tu kukiokota bila kuongeza neno! Na alivyo mrembo na msomi!
Kuongea na mtu mpaka umguse au neno unaliishia kati afu wewe ulimalizie.
Mfano akisema tutae.......basi wewe umjibu nda.Teh teh teh
Kuna madogo sijui wanakuwa wamepewa magari ya mashamaji zao basi wanapiga mziki mkubwa hadi kwenye makusanyiko ya watu ili mradi wa draw attention......
Je mnaekaa siti moja kwenye daladala kisha anakuzungushia mkono kwenye siti uliyoegemea?
Au anasinzia halafu anakuegemea? Natamani nimtie konzi
mtu anajiachiaaaaa mguu mmoja kule mwingine kule ...
wanaume wanaoita wadada ovyo barabarani wakati mfukoni hata sh mia hana....
Acha hizo kuna hii pia.
Unasafiri na mtu kwenye basi la kwenda mkoa hadi mkoa (dar to mbeya, mfano) mara kaagiza machungwa, mara ndizi, mara mahindi ya kuchemshwa, mara karanga mbichi, mua,na anamalizia na mayai ya kuchemsha. baada ya muda watu hawakai hapo! full tantalizing smell!
duh! hii Tabia bado ipo mpaka sasa hivi?
kuchokonoa chokonoa pua mbele ya watu..af akimaliza anakupa mkono huo huo msalimiane au muagane
hii tabia ni maarufu sana kwa wale ndugu zetu waishio maeneo ya simiyu , shinyanga na mwanza...... usiombe ukae naye siti moja hasa yule primitive kutoka interior unaweza tembeza kichapo.