Salimia mkuu..Mkuu haimaanishi hamsaidiani kwenye dharula,hapo lazima ufike,nami nishapata zangu nao lazima wafike.
Hakuna chokochoko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiiHuwa wanasema hivi mtaani:
1.Salimia Housegirl,,wife husafiri [emoji16]
2.Salimia wauza mkaa,gesi huisha
Siku ukihitaji msaada toka kwa usiyemsalimia, ndo utaelewa maana ya kusalimia..!! Kama unajitoshereza, sawa.Mimi binafsi sipendi kusalimiwa salimiwa.. au kusalimia ..
Mkuu hawa jamaa wanaboa, salamu zao zinapoteza hata na wakati..Yaaani salamu una kereka kweli ..!?
Hapana mkuu salamu sio kitu cha kupoteza mda.....Mkuu hawa jamaa wanaboa, salamu zao zinapoteza hata na wakati..
Mimi hizo mambo Sina.. unisalimie , usinisalimie, Huwa naona fresh tu, na Sina kinyongo kabisa, na siwezi kukuiliza.. na msaada nakusaidia kiroho safiSiku ukihitaji msaada toka kwa usiyemsalimia, ndo utaelewa maana ya kusalimia..!! Kama unajitoshereza, sawa.
Soma kuwa boss, nije kupanga mafaili, kwa style tatu, nitumze Siri za ofisi yako[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], nzuri tu naona unapita pita humu,
Uwe na siku njema secretary akee [emoji847][emoji847]
ndo mambo ya waswahili hayo utafanyaje?Habari za asubuhi Jambo Forums!
Wengi nimeshuhudia wakisemwa vibaya kwenye mikusanyiko mbali mbali kwa sababu ya kutosalimia aidha kwa bahati mbayaau makusudi.
Hivi kwa nini imefika kipindi ni bora Mtanzania umnyime chakula ila si salamu?
Yaani hata ukiwa ndani ya gari ukampita mtu bila kumsalimia atasambaza maneno mtaa wote na wote watakuona unajivuna.
Hata ukikuta tu 'wasela' wamekaa basi ukiwapa salamu wanaweza hata kutokukukaba kabisa.
Ingawa salamu ni nzuri ila ni kwa nini Watanzania wengi wanailazimisha na kuifanya kama chakula?
Mpaka kufikia watu kuchukiana na kujengeana husuda kwa ajili ya salamu si dalili nzuri. Tujithamini!.
Katika hali ya kawaida. kusalimia humfanya msalimiwaji ajisikie kuheshimika. Sasa unayemuheshimu, ni rahisi sana kukupa msaada. Nikupe mfano mmoja; kuna jamaa, kule Mbeya, alikuwa anatoka Mwanjelwa na anakwenda soko la makungulu kupitia vichochoroni kwa mguu. Kuna vichochoro vinginge vipo kama unafika mwisho wa njia, ni kama havitokei upande wapili. Sasa mwamba huyo aliwakuta watu wamekaa pembeni ya kichochoro na hakuwasalimia. Kufika mbele akahisi kukwama, akaona arudi akawaulize wale aliowapita kama NGUZO YA UMEME..!! Jamaa alijikakamua akawauliza kama kile kinjia kinatoka au la. Walimpa kwanza vipande vyake na baada ya hapo wakampa msaada. Wakati anapewa vipande jamaa alibaki kuomba msamaha tu..!!Mimi hizo mambo Sina.. unisalimie , usinisalimie, Huwa naona fresh tu, na Sina kinyongo kabisa, na siwezi kukuiliza.. na msaada nakusaidia kiroho safi
Sawa sisterSoma kuwa boss, nije kupanga mafaili, kwa style tatu, nitumze Siri za ofisi yako[emoji16]
Kumsaidia mtu aliyedondoka ni utu. Matendo ya utu yapo mengi, la kusalimia ni mojawapo katika hayo. Kutosalimia ni alama mojawapo kati ya alama zinazoonyesha uadui. Na ndiyo maana kumsalimia uliye na uadui naye ni kazi sana..!!Kumsaidia mtu akidondoka ni jukumu la mtu aliye karibu naye kwa wakati huo, iwe aliyeanguka alisalimia au hakusalimia. Mbali na hapo, huo utakuwa si msaada bali ni unafiki.
Yaani kumsaidia mtu aliyeanguka ni mpaka usalimiwe?
Sio kwamba nimekataa, na mm Huwa nasalimia..na kusalimiwaKatika hali ya kawaida. kusalimia humfanya msalimiwaji ajisikie kuheshimika. Sasa unayemuheshimu, ni rahisi sana kukupa msaada. Nikupe mfano mmoja; kuna jamaa, kule Mbeya, alikuwa anatoka Mwanjelwa na anakwenda soko la makungulu kupitia vichochoroni kwa mguu. Kuna vichochoro vinginge vipo kama unafika mwisho wa njia, ni kama havitokei upande wapili. Sasa mwamba huyo aliwakuta watu wamekaa pembeni ya kichochoro na hakuwasalimia. Kufika mbele akahisi kukwama, akaona arudi akawaulize wale aliowapita kama NGUZO YA UMEME..!! Jamaa alijikakamua akawauliza kama kile kinjia kinatoka au la. Walimpa kwanza vipande vyake na baada ya hapo wakampa msaada. Wakati anapewa vipande jamaa alibaki kuomba msamaha tu..!!
HATA HUKO MAOFISINI, HUWEZI ACHA SALIMIA MTU UNAYEKWENDA KUOMBA MSAADA AU KUPATA HUDUMA KWAKE, KIBINADAMU LAZIMA UKWAME..!! HATA KAMA KUTOA MSAADA AU HUDUMA HIYO NI WAJIBU WAKE. SALIMIA WATU UPATE MSAADA KIRAHISI..!! AU SALIMIA WATU UISHI MAISHA YASIYO NA MAKWARUZANO NA WATU. TUNAHITAJIANA..!!!
Mkuu trust me, yaani unaweza ulizwa kila member kwenye familia yenu anaendeleaje,? hyo ni kupoteza wakati,Hapana mkuu salamu sio kitu cha kupoteza mda.....